Kigwangala na Jicho la Habari star tv!!!

Na badala yake aliandaa mkutano wa hadhara kuwa-please wapigakura wake. To his suprise walikuja na mabango ya kumponda na kumuulizia maandamano yako wapi?
huyu bulaya kamwacha mume wake kwa ajili ya vigogo wa ccm walimgeuza mke wao pale rumumba sasa unategemea awe na mawazo gaini mtu aliyebebwa? Na huyu mruundi naye ana dissappoint baba yake mdogo shehe rukala yuko bujumbura alredy. Cdm oyeeeeeeeeeee
 
kikwete na kundi lake lazima wabanwe washirikishe watu kutunga katiba. Hamna kulindana hapa. Lazima watu wafungwe kutokana na economic mess walofanya.... Segerea na keko expansion project financed by chinese people;s govt watajenga machinjio ya watu wanaohukumiwa murder na container 800 za chemical za ku slow poison wale wote convicted na death penalty
 
Hata mimi nilikuwa namheshim huyu hamisi lakini ameonyesha fikra mgando kwelikweli.inaelekea ukienda CCM uwezo wako wa kufikiria unapungua kwa asilimia nyingi mno!

Pole sana ndugu yangu kwa kumheshimu asiyestahili. Huyu ni mfano mzuri wa maajabu ya Dunia - inawezekanaje mtu wa aina ya Kigwangala akaenda darasani, na akafaulu mitihani yote lakini akija kwenye jamii akaonekana ni aheri aliye na certificate kuliko yeye. Ukimlinganisha Kigwangala na Makamba - Makamba ni genius. Endelea kumfuatilia zaidi utakatishwa tamaa zaidi ya sasa.
 
Namjua sana huyu, hata mimi nimemsikia, waliouliza maswali wote wamemponda. inatosha kumwambia tu kuwa maneno yake yanaiongezea sifa cdm mbele ya jamii. Propaganda hazimsaidii amwachie Tambe. Alikuwa kiongozi wa migomo, anajiita medical doctor lakini hana uhalali wa kutibu.
 
Hamna haja ya kuumiza vichwa maana Star TV ni ya Diallo na usitegemee Star Tv wakakiponda Chama Cha Manyang'anyi hata siku moja! Dr. Mwenyewe si wale wanafiki na wanaotafuta umaarufu kwa kuwapumbaza wananchi na fikra za usingizi wa pono.
 
dr kigwangangala hamis andrew namfaham nimesoma nae kigoma sec, ni kijana aliyekuwa makini sema kaingia choo cha kike badala ya choo cha kiume, anasema wananchi wasiburuzwe hivi haoni kama ccm ndio inaburuza watanzania, Hamis wewe bado kijana epuka unafiki na uzandiki mswada huu ni sumu na unaonesha usultani na udikiteta,

nami nimesoma naye Shy sec! Akili anayo, ila naona akina Makamba washaichakachua. Ustaadh anadanganya?
 
Mimi hata hao watangazaji wa Star Tv wameniacha hoi. Yaani mtu anadanganya kuwa mjadala wa Nkurumah haukuonyesha mapungufu ya muswada na unamuacha tu aendelee kubwabwaja. Hivi kweli watu wa Star Tv hawakusikia mapungufu yaliyotajwa siku ile wala hawayajui? Sijui baadhi ya Watanganyika wanalishwa nini kinachowapumbaza hivi.
Wala usiwashangae waandishi wengi wa habari ni wale waliofeli form four au form six. uwezo wa kufikiri ni mdogo. Hamisi namfahamu vizuri sana tulikuwa naye MUCHS kabla hajapata matatizo ya migomo na kufukuzwa chuo. Ni mtu ambaye ni dhaifu sana anapoona fedha. Hata kwenda CCM si kwamba anakipenda chama hicho cha majambazi bali ni fedha tu ndo inamsumbua. Naomba nirudie maneno yangu kuwa CCM hakuna mpiganaji watanzania muelewe hilo. Msiwe na vichwa vigumu
 
Ukikubali kuwa thinking tank ya ccm inabidi upindishe mambo kwa manufaa yao,kazi ambayo naiogopa kwelikweli
 
Nadhani mtoa mada ulikuwa huna shuguli ya kufanya, yaani mimi nipoteze muda wangu kumsikiliza huyu Idiot Kigangwala! na wewe uliekuwa unamsikiliza nadhani huna kazi ya kufanya.
 
Kigwa tumekupata..kumbe nawe mweupe tu. make sure you walk with your 'phd papers' wherever you go..people might not know you have them.
Kwani nani aliwaambia Kigwangala ni PhD holder? Udaktari wake ni ule wa kutibu watu i.e. ana degree moja tu huyo. Hata kama angekuwa na PhD tayari alishapitia tundu bovu la CCM na hivyo ni lazima awe mbovu tu. Hapa ajiandae na fagio la chuma 2015 kwani Nzega hatupendi wanafiki na wapotoshaji wa aina hii ya kina Kigwangala.
 
Huyu naye si chai Maharage tu anajua nini, jamani mstishike na phd walizonazo hawa watu kwani mmemsahau yule mwanasheria KAINELUGHABA alipowaorozesha mafisadi wa elimu??
 
Na badala yake aliandaa mkutano wa hadhara kuwa-please wapigakura wake. To his suprise walikuja na mabango ya kumponda na kumuulizia maandamano yako wapi?
Huyu jamaa ni mnafiki tu, tangu lini ngedere akamkemea nyani kula mahindi ya watu?
 
Ni msimu wa mvua ukiambatana na radi ambazo kwa masikitiko makubwa zimeua watoto wetu wakiwa ktk shule zile tulizowajengea tukasahau kwa makusudi kabisa kupeleka waalim pamoja na vifaa vya maabara; na pia hizo radi zimeuwa akina mama wakiwa na jembe la mkono katikati ya sera ya kilimo 1- kuelekea wapi mi sijui.
Kwa nini enyi radi msituondolee mafisadi pamoja na hawa wasomi ambao hofu kubwa kwao ni minyoo ya matumbo yao. Au nanyi radi mnawaogopa hawa mafisadi na wasomi wa kabila hii, au huku umasikini ndo mmeamua kushambulia wote yaani mafisadi wanasababisha ugumu wa maisha nanyi radi mnaleta misiba.
 
Bornvila mbona mgum kuelewa mwepes kusahau DR SLAA alisema akiingia madarakan ataanza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 na si kubadilisha katiba ndani ya siku 100. Refer mdahalo uliondeshwa na Star tv Dr Slaa akiwa mwanza Kinana akiwa Dar es salaam, sasa nashangaa kama na wao star tv walishindwa kukumbuka hilo wakat wao ndio walifanya mahojiano. Jaman there is darkness that means there is no Future in CCM, miaka hamsin ya uhuru bado kuna mgao wa umeme wakat vyanzo vya uzalishaji ni vingi kuliko hata zambia ambao 2mewazid resources. FIKIRIA KWA MAKIN CCM ITAKUPELEKA WAPI. Tafakar.
 
nimeangalia jicho la habari star tV leo asubuhi,nimesikitishwa na mwanaJF mmoja anaitwa Kigwangala(mbunge wa nzega) kuupotosha uma kwa makusudi kabisa. anaseme CHADEMA walisema wangeandika katiba mpya ndani ya siku 100.....na mbunge wa viti maalumu anaitwa BULAYA nae anaunga mkono kuwa ndivyo CDM walivyoahidi....waliahidiwa wapi hawa wenzetu????mbona uongozi wa CDM ulifafanua wakati wa kampeni kuwa wangeanzisha mchakato ndani ya siku 100 na siyo kumaliza kila kitu ndani ya siku hizo.....

Na mimi nilimksikia nikashangaa sana, nilimsikia pia yuko BULAYA jina la kwanza anaitwa Ester yeye sikumshangaa bse sitegemei afikie level hizo. Wote walipotosha uma tofauti ni kwamba kigwangala amefanya kwa kusudia wakati yule Bulaya amefanya kwa kutokusudia, yeye ilikua ni tatizo la kutoelewa, aliidandia tu point ya mwenzake bila hata kujua what is the content
 
Back
Top Bottom