Kigwangala na Jicho la Habari star tv!!!

Vakwavwe

JF-Expert Member
May 16, 2009
503
100
nimeangalia jicho la habari star tV leo asubuhi,nimesikitishwa na mwanaJF mmoja anaitwa Kigwangala(mbunge wa nzega) kuupotosha uma kwa makusudi kabisa. anaseme CHADEMA walisema wangeandika katiba mpya ndani ya siku 100.....na mbunge wa viti maalumu anaitwa BULAYA nae anaunga mkono kuwa ndivyo CDM walivyoahidi....waliahidiwa wapi hawa wenzetu????mbona uongozi wa CDM ulifafanua wakati wa kampeni kuwa wangeanzisha mchakato ndani ya siku 100 na siyo kumaliza kila kitu ndani ya siku hizo.....

nimekuwa nasoma mabandiko ya mheshimiwa huyu kwa umakini hapa jamvini nikiamini ni mtu makini sana kumbe ni another Tambo Hizi of its kind. kwa nini utumie muda mwingi kupotosha jamii ya watz wanaomuamini kiasi hicho??????
amenikera kwa kuwa anatumia propaganda hizo kujustify uharaka walionao CCM kuburuza wananchi kuhusu mchakato huu wa katiba kwa kulinganisha kuwa mtapata katiba nzuri kwa kuwa ccm itaandika kwa miaka minne mizima sio kama CDM waliosema siku 100!!!!

why?why? whyyyyyyyyyyyyyyyyy?
napata wasiwasi mtu akiwa ccm anazuiwa kufikiri kwa kina ila anaandaliwa cha kusema na akina Tambo Hizi
 
Yaan mi nina waswas mkubwa, km aliisoma vizuri ilani ya uchaguz ya chadema na hakuielewa bs hata huo muswada ndo kabisaa na hawez ku2eleza et ameusoma ndan ya 1hr. Ninapata waswas kua hata ukiwa ng Phd ndan ya Ccm bs huna tofauti na Lukuvi au Makamba. Af star tv kwanin wameleta wa2 wote toka CCM? Ndo maagizo waliyopewa na wakubwa wao?.
 
Hata mimi nilikuwa namheshim huyu hamisi lakini ameonyesha fikra mgando kwelikweli.inaelekea ukienda CCM uwezo wako wa kufikiria unapungua kwa asilimia nyingi mno!
 
Yaan mi nina waswas mkubwa, km aliisoma vizuri ilani ya uchaguz ya chadema na hakuielewa bs hata huo muswada ndo kabisaa na hawez ku2eleza et ameusoma ndan ya 1hr. Ninapata waswas kua hata ukiwa ng Phd ndan ya Ccm bs huna tofauti na Lukuvi au Makamba. Af star tv kwanin wameleta wa2 wote toka CCM? Ndo maagizo waliyopewa na wakubwa wao?.

kuna andiko kwenye moja ya magazeti ya maana hapa nchini limesema kuna kamati ya kushughulikia vyombo vya habari...na star media wamo,wamelaumiwa kutoibeba ccm! naona sasa wameanza kutumika rasmi kwa kadri ya maelekezo ya chama..

kazi kwelikweli...
 
nimekuwa nasoma mabandiko ya mheshimiwa huyu kwa umakini hapa jamvini nikiamini ni mtu makini sana kumbe ni another Tambo Hizi of its kind. kwa nini utumie muda mwingi kupotosha jamii ya watz wanaomuamini kiasi hicho??????
amenikera kwa kuwa anatumia propaganda hizo kujustify uharaka walionao CCM kuburuza wananchi kuhusu mchakato huu wa katiba kwa kulinganisha kuwa mtapata katiba nzuri kwa kuwa ccm itaandika kwa miaka minne mizima sio kama CDM waliosema siku 100!!!!...
napata wasiwasi mtu akiwa ccm anazuiwa kufikiri kwa kina ila anaandaliwa cha kusema na akina Tambo Hizi

Mkuu Wakwavwe pengine inaweza kueleweka kwa nini anasema vile (kuwa CCM unahitaji sifa muhimu ya unafiki na ile ya kupoteza uwezo wako wa kujitegemea kimawazo). Tatizo liko kwa James Range na mwenzake wa Mwanza. Kwa nini walimaliza kipindi bila kumsahisha? Ni kweli na wao walikuwa hawajui au ndio walijifanya hawajui kwa maslahi tusiyoyafahamu? Televisheni zetu ni upupu mtupu
 
Wanandoa hufanana.Sasa mtu aniambie eti ndani ya CCM kuna watetezi wachache na wenye mawazo huru,Atuambie nia yake ya kutetea watu wa nzega kwa kutonufaishwa na mgodi wa RESOLUTE iko wapi? Tarehe 3 April imepita maslahi kwa wana Nzega yamepatikana?

Hawa ni walewale tu,nasema historia itawahukumu hawawezi watu wachache wahatarishe maisha yetu na wajukuu zetu kwa kunyonga haki zetu.
 
Kimsingi naona Ccm wanamkakati na media na wanaendeleza uzandiki wao dhidi ya watanzania ...lakini hii katiba ni lazima iwachoshe maana mil4 (CCM) wanashindana na mil36 (wasio CCM)
 
Kimsingi naona Ccm wanamkakati na media na wanaendeleza uzandiki wao dhidi ya watanzania ...lakini hii katiba ni lazima iwachoshe maana mil4 (CCM) wanashindana na mil36 (wasio CCM)

Milioni nne wako wapi? Mbona kila penye mjadala unawaohusisha wananchi wa kawaida hao wanachama hawaonekani? Au ndio hawa watoto wanaokatishwa usingizi alfajiri kwenda kuitetea CCM?
 
dr kigwangangala hamis andrew namfaham nimesoma nae kigoma sec, ni kijana aliyekuwa makini sema kaingia choo cha kike badala ya choo cha kiume, anasema wananchi wasiburuzwe hivi haoni kama ccm ndio inaburuza watanzania, Hamis wewe bado kijana epuka unafiki na uzandiki mswada huu ni sumu na unaonesha usultani na udikiteta,
 
Kweli ukipenda,chongo hugeuka kuwa kengeza.Mapenzi humfanya mpendaji asipate hata lepe la usingizi.Sasa nenda kamwambie mpenzi anayekufanya kukonda ni kicheche hapo unataka kuchukiwa daima. Ukipenda sana ukikosewa unasamehe na kusahau kabisa.Haya ndiyo yanayofanyika leo hapa.Watu wamesahau kwenye jukwaa la kampeni chadema na Slaa walituahidi katiba mpya ndani ya siku miamoja(100) tu endapo tutawapa ridhaa ya kuingia ikulu.Leo anayekumbusha ahadi hii anapondwa, kweli kupenda sana ni uwendazimu.
 
Mimi hata hao watangazaji wa Star Tv wameniacha hoi. Yaani mtu anadanganya kuwa mjadala wa Nkurumah haukuonyesha mapungufu ya muswada na unamuacha tu aendelee kubwabwaja. Hivi kweli watu wa Star Tv hawakusikia mapungufu yaliyotajwa siku ile wala hawayajui? Sijui baadhi ya Watanganyika wanalishwa nini kinachowapumbaza hivi.
 
Nilibahatika pia leo asubuhi kuangalia Kipindi cha jicho letu ndani ya habari katika Televisheni ya Star TV. Sikuamini nichokishuhudia kama Dr. anaweza kukaa sehemu ambayo anaangaliwa na maelfu ya watu na either kwa makusudi au kwa kutojua akaamua kuupotosha umma unaomsikiliza. Ukweli ni kwamba CDM waliahidi kuanzisha mchakato wa mabadiliko ya katiba ndani ya siku mia moja na sio katiba mpya ndani ya siku mia moja! Cha kusikitisha zaidi Mh. Chigwangala na mwenzie waliamua kwenda nje ya hoja kwa kuelekeza mashambulizi kwa mtu asiyekuwepo! Ni fikra mgando na uwezo mdogo wa kupambanua mambo!
 
Msiweke sana imani yenu kwa vijana aina ya Dr. Kigwangala. Nadhani ni vizuri kupitia wasifu wake, then do background check you will see and Marvel loll! Ameandika kama alishafanya kazi mgodini after high school studies? moja ya ambitions zake mbali ya udktr ilikuwa ubunge je mnafahamu alishajaribu akiwa MUHAS? MNAJUA KAMA ANA TABIA YA KUJIPENDEKEZA KWA MASLAHI BINAFSI? ULIZENI WATU WALIOKUWA NAE KUANZIA SEC HADI MUHAS THEN MTAPATA NEWS ZAKE. HE IZ NO GOOD BUT HAS TYM TO JOIN THE RIGHT PATH
 
Ohhh yes, kama Nyarandu
 
Kigwa tumekupata..kumbe nawe mweupe tu. make sure you walk with your 'phd papers' wherever you go..people might not know you have them.
 
Kigwa tumekupata..kumbe nawe mweupe tu. make sure you walk with your 'phd papers' wherever you go..people might not know you have them.

Sungurampole, Dr. Kigwangala ninayemfahamu hana phd ila ni MD sawa? kama ingekuwa American style ingeandikwa Kigwangala, MD
 
,Atuambie nia yake ya kutetea watu wa nzega kwa kutonufaishwa na mgodi wa RESOLUTE iko wapi? Tarehe 3 April imepita maslahi kwa wana Nzega yamepatikana?.

Na badala yake aliandaa mkutano wa hadhara kuwa-please wapigakura wake. To his suprise walikuja na mabango ya kumponda na kumuulizia maandamano yako wapi?
 
Back
Top Bottom