penny nimekuadd yahoo messenger......nia ccept......
...Mods huyo Nyani Ngabu msimfungulie mpaka Pasaka ipite.....kijana hana adabu kanifanya nionekane muhuni mwenzie....
Jamani wacha afunguliwe mnatesa familia yake bana....Nyani Ngabu!
wacha anyee ndooo na Liyumba.....unajua penny kaniona labda mimi muhuni...Jamani wacha afunguliwe mnatesa familia yake bana....Nyani Ngabu!
I know shem!..tena naona yo yo ndiyo mmoja wapo ya wapiga debe afungiwe..and how did he find out kuwa my cupcake kafungiwa?btw hajafungiwa bana yupo busy tuu.
ningekuwa na ushawishi na mamods ningependekeza akae mpaka pasaka iishe.....wengine tumefunga hatutaki tafrani...
wacha anyee ndooo na Liyumba.....unajua penny kaniona labda mimi muhuni...
ningekuwa na ushawishi na mamods ningependekeza akae mpaka pasaka iishe.....wengine tumefunga hatutaki tafrani...
Msahau Ngabu Nyani kuna masingle wengi tupo hapa......sasa hao kifungiloz tunakutanikia wapi?Natahakikishia hizo sala hako zinaigonga ukuta...wakati wa mfungo wa pasaka hutakiwi kumuombeya mwenzio mabaya unatakiw akuomba mema so wewe unafanya vice versa na ni dhambi.
Pengine nikuweke wazi tuu, sisi tunashea kila kitu mpaka mail address...may be wewe ulikuwa unasemaje tuwasiliane hapa!
penny nimekuadd yahoo messenger......nia ccept......
...Mods huyo Nyani Ngabu msimfungulie mpaka Pasaka ipite.....kijana hana adabu kanifanya nionekane muhuni mwenzie....
Msahau Ngabu Nyani kuna masingle wengi tupo hapa......sasa hao kifungiloz tunakutanikia wapi?
lol wewe wa wapi na jina lako kama treni......Ngabu hafunguliwi mpaka tule pasaka kwa amani......cupcake wake shem wake masanilo anam "take care"hehehehe...dogo unahaha sana....
penny nimekuadd yahoo messenger......nia ccept......
...Mods huyo Nyani Ngabu msimfungulie mpaka Pasaka ipite.....kijana hana adabu kanifanya nionekane muhuni mwenzie....
lol wewe wa wapi na jina lako kama treni......Ngabu hafunguliwi mpaka tule pasaka kwa amani......cupcake wake shem wake masanilo anam "take care"
mkuu vidole vilitereza samahani sana......Mpwa taratibu eeeh
mkuu vidole vilitereza samahani sana......
mkuu vidole vilitereza samahani sana......
wewe endelea kutamani tu kwani Ngabu is in full control of his affairs na Ngabu is always present...hehehehehe
cupcake haendi kokote...yuko mikononi mwa Ngabu
Oy oy oy,kama kawa bradha naona unawakilisha Nkwingwa...Sisi wenyewe akina Ngosha...Lol
mambo kama kawa Nkwingwa....tunatesa vibaya sana
Bhe bhe mbehi unataka kununua vita...una silaha? ama unategemea mbio....you have been warned hata kama ni wakukaya ....