Kifungilo Girls school U.S.A

Curiosity can kill a cat...coulr you please kill my curiosity?!....any mmh alafu mbona jina lako lina-cound kidogo kama la my cupcake?!...dang!

While your Cupcake is away I can be your Studmuffin'....
 
I am scared maana you might end up getting used to me alafu ukaanza kuningangania....And then nikaanza feel guilt with misdemeanour charges hahaha!

...and then I may have to put you on trial baby girl.....
 
Bhe bhe mbehi unataka kununua vita...una silaha? ama unategemea mbio....you have been warned hata kama ni wakukaya ....

hahaha i knew hata kama my cupcake is away (safarini kikazi)...lazima shem wangu utakwepo kuangalia usalama wangu....hahaha you ng'waninyami you have been warned!
 
Yaani angeniona hapa nilivyokunja uso na nimejifunga mgolole na nina rungu nitamrushia oh oh ooohhhh wigwa obebe ng'wana nsazi?
 
Uwiii shemeji yangu kama nakuona vile hahahaha!...i guess hatarudia tena yaani ile wanted uliyompa ni tosha kabisa.....na hivi ume swear kabisa kwa kisukuma lazima ajue si mchedho.
 
Hapo shem nimemtusi kidogo Ng'wana nsazi ni mtoto wa Kichaa tusi common sana kule sukumaland...sisi huwa tunatukana hata Ng'ombe kama wanasumbua!
 
Yeah hata wanyalu pia tuna matusi common wakati wakiwa wanakunywa ugimbi (ugimbi ni pombe ya kihehe unakunywa kwa kupokezana lol)......Na ulanzi ni pombe ya kienyeji huwa wanategesha waakti wa usiku then wanaenda kugima asubuhi ni tamu kweli....kama wine vile..
 
Katoto kama kanasumbua mama yake kanapewa mtogwa eeehh nikumbushe!! Wanyalu mhhhh
 
hahaah that is not true bwana ila tongwa ni tamu sana nitamuenjesha cupcake siku nikimpeleka kijijini aonje...togwa na ulanzi....na once akishakunywa tuu eeh lazima atafikiria ku-invent trust me...hahahaha
 
Hakawii kuanza kaproject ka ujenzi huko maana anapenda sana investments!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom