Kifungilo Girls school U.S.A

penny nimekuadd yahoo messenger......nia ccept......

...Mods huyo Nyani Ngabu msimfungulie mpaka Pasaka ipite.....kijana hana adabu kanifanya nionekane muhuni mwenzie....
 
Jamani wacha afunguliwe mnatesa familia yake bana....Nyani Ngabu!
 
I know shem!..tena naona yo yo ndiyo mmoja wapo ya wapiga debe afungiwe..and how did he find out kuwa my cupcake kafungiwa?btw hajafungiwa bana yupo busy tuu.
 
wacha anyee ndooo na Liyumba.....unajua penny kaniona labda mimi muhuni...

ningekuwa na ushawishi na mamods ningependekeza akae mpaka pasaka iishe.....wengine tumefunga hatutaki tafrani...
 
Natahakikishia hizo sala hako zinaigonga ukuta...wakati wa mfungo wa pasaka hutakiwi kumuombeya mwenzio mabaya unatakiw akuomba mema so wewe unafanya vice versa na ni dhambi.
 
Siyo hivyo Yo Yo usiuseme mayo wangu...nimepokea your mail and thanks. Then nilimwambia my beiberry (Balant) akujibu vipi hajakujibu tuu mpaka saizi kwani. Pengine nikuweke wazi tuu, sisi tunashea kila kitu mpaka mail address...may be wewe ulikuwa unasemaje tuwasiliane hapa!
 
Natahakikishia hizo sala hako zinaigonga ukuta...wakati wa mfungo wa pasaka hutakiwi kumuombeya mwenzio mabaya unatakiw akuomba mema so wewe unafanya vice versa na ni dhambi.
Msahau Ngabu Nyani kuna masingle wengi tupo hapa......sasa hao kifungiloz tunakutanikia wapi?
Pengine nikuweke wazi tuu, sisi tunashea kila kitu mpaka mail address...may be wewe ulikuwa unasemaje tuwasiliane hapa!

unaharibu sasa mambo yetu ya mail hatakiwi kuyajua.......umeharibu
 
penny nimekuadd yahoo messenger......nia ccept......

...Mods huyo Nyani Ngabu msimfungulie mpaka Pasaka ipite.....kijana hana adabu kanifanya nionekane muhuni mwenzie....

Ahahahahaaa...to late Yo Yo you can't play with my yoyo

Ngoja nikamwambie Balantanda unamsarandia demu wake
 
penny nimekuadd yahoo messenger......nia ccept......

...Mods huyo Nyani Ngabu msimfungulie mpaka Pasaka ipite.....kijana hana adabu kanifanya nionekane muhuni mwenzie....

Mpwa taratibu eeeh
 
lol wewe wa wapi na jina lako kama treni......Ngabu hafunguliwi mpaka tule pasaka kwa amani......cupcake wake shem wake masanilo anam "take care"

wewe endelea kutamani tu kwani Ngabu is in full control of his affairs na Ngabu is always present...hehehehehe

cupcake haendi kokote...yuko mikononi mwa Ngabu
 
Oy oy oy,kama kawa bradha naona unawakilisha Nkwingwa...Sisi wenyewe akina Ngosha...Lol
 
LOL!...Penny i liek that...yaani umemaliza!....bravo my sistah oh!...

yo yo...re-union ya kifungilo kama ikibidi tutakualika usiwe na wasiwasi lakini kumbuka majority watakuja na wenza wao...na kama ulisoma Magamba secondary basi utakuwa kwenye list maana tutaalika shule ya wavulana Magamba iliyopo Lushoto kwenye re-union yetu.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom