Kifungilo Girls school U.S.A

Why only Europe and America and not the rest of the world ukijumlisha na Tanzania yenyewe sasa jamani Union iwe ni ya watu waliokuja Marekani tu na Ulaya na si kwingineko.Kuna watu wapo India, Japan, The Phillipines,Mexico,Cuba,Canada,Brazil sasa huu ubaguzi tena nye vyangu si mnofu siwo. Lol!!

hahahaha Pakawa...okay mnyalukolo i know its bad kubagua but mainly ni kwa ajili ya yeyote yule aliyeko kokote kule iwe africa,asia you name it!....basi ingia jiunge kwenye kitabu cha sura jamani we need to re-unite
 
Nipo my dear...siunajua tena second trimester! hope some miracle will happen this time as per your footnote? Lets keep our finger crossed in Gods help. Safari ipi tena tuliokwendea au nilikwenda? Well, no was just around europe. Hopefully in December if God willing.

Kamdada ilikuwa safari ya december mwaka jana kumbe hukwenda tena>?mweeh hongera kamdada i am so happy for you...miracle happen and i will continue to pray for you my darling!....you made me so happy today with these news...In god we trust!....ooh tears!tears!tears!
 
Thanks ma dear, nimeshaiona hiyo site and I will soon join. Yani safi sana dear, umefanya kitu kizuri sana maana kwa kweli nimeweza kuwaona wenzangu tulomaliza nao 95`...it was so wonderful na nimeweza kuwacontact yani. Cheers for that my dd(darling dear).
 
Kwa wale waliosoma shule ya Kifungilo it doesn't matter umesoma mwaka gani.

Apparently Me and My other 2 classmates (The original M&K "as you know what i mean lol!...blushing!! -:)..) tumeletewa ombi la ku-organize re-union ya wanafunzi wale walisoma shule ya wasichana ya kifungilo-Lushoto...Wale ambao wanaishi Marekani na wale wa ulaya.....

Kwa hiyo basi nilikuwa naomba kama kuna mtu/watu wapo interested and have any ideas and stuff like that,... please send me a PM or email me at auntykelly@hotmail.com....

Na pia kama umeona hili tangazo tafadhali mtumie na rafiki yako pia.

Lets do this!...

NA TULENGE JUU

Kelly01!
R.I.p sista Octavia mama mkuu wa shirika kifungilo
 
Mmetutesa sana nyie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom