Kifungilo Girls school U.S.A

there was this beauty katika hood,inasoma kifungiro,ilikuwa inatupiga vibuyu left,right and centre,we concluded we could not breach her defences due to maadili anayofundishwa shuleni,in her last year she got pregnant na mfanyakazi wao wa ndani of all people believe me we wept openly
 
Aisee wewe utakuwa umevunja rekodi ya kupigwa vibuyu humu ndani....hahahaaa...mwenzio Penny ana Balantanda wake....ahahahahaha....nimekuambia uachane na mambo ya u Soulja Boy lakini husikii....
Nilijua kauzibe lazima utokee....nani kakuambia nataka uhusiano wa kimapenzi na penny? nimemuandikia email tufahamiane tu no mapenzi at all
 
mfahamiane ili iweje? kwani huwezi kufahamiana naye hapa hadi umwandikie barua pepe? kwanza umejipendekeza kwa sababu hata hukupewa wewe hiyo anwani ya barua pepe
 
there was this beauty katika hood,inasoma kifungiro,ilikuwa inatupiga vibuyu left,right and centre,we concluded we could not breach her defences due to maadili anayofundishwa shuleni,in her last year she got pregnant na mfanyakazi wao wa ndani of all people believe me we wept openly

...SofA, Why did you weep?? Just Because she was DONE by their Mfanyakazi wa Ndani?? The Guy must have played his Cards better than You! Anyway, the rest of the story? Did he marry her, to make you weep even louder? teh teh.
 
the father disturbed by the shame that had been bestowed on the family,exiled the girl to her grandmother in singida-that was the last time we saw her-what a pity
 
Aisee wewe utakuwa umevunja rekodi ya kupigwa vibuyu humu ndani....hahahaaa...mwenzio Penny ana Balantanda wake....ahahahahaha....nimekuambia uachane na mambo ya u Soulja Boy lakini husikii....

Asante NN, maana kazidi huyo hebu mwambieni my beiberry asijechukia saizi bure!
 
mara 'cupcake' sasa 'beiberry' it seems in JF we have experts in the art of 'building castles in the air'
 
Thanks my sister for the compliments! Sasa sijui my beiberry yuko wapi maana leo sijamuona.

Yeah hata mimi sijamuona leo kabisa...i guess atakuwa kidogo busy somewhere..hakuna shaka kwako amefika mdogo wangu!....i know that!...wink!!!
 
Mlisoma Kifungilo Waambieni Ma-sister wapunguze michango maana imezidi kila siku na hatuoni kinacho jengwa kila graduation some time wana pata zaidi ya 100Milioni na bado kwenye ada unachangia ujenzi cha ajabu wameturundikia michanga na kokoto tu hatuani nyumba zikijengwa...au ndiyo ufisadi wenye huo..
 
Haya watoto wa "mother FI USA" keep up the motto, always aiming higher.
 
Hao watoto hao wa Kifungilo hao! lol mna maneno ka nini! Sina hamu. Na niwaulize hao Masister walikuwa wanawafundisha haya maneno ama mmeyajulia humu mtaani?
 
Mlisoma Kifungilo Waambieni Ma-sister wapunguze michango maana imezidi kila siku na hatuoni kinacho jengwa kila graduation some time wana pata zaidi ya 100Milioni na bado kwenye ada unachangia ujenzi cha ajabu wameturundikia michanga na kokoto tu hatuani nyumba zikijengwa...au ndiyo ufisadi wenye huo..

Mbona miye nimeenda kifungilo last year na nimeona maendeleo makubw atuu?!besides bado wanahitaji msaada sana...we might need to do a fundraising ili kusaidia shule ya kifungilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom