Kifo cha Wangwe: Mtikila ajirudi au anazushiwa?

Hili saga lote limesababishwa na kukurupuka kwa huyu anaejiita Invisible. The way alivyoileta hii habari anadai Mtikila "kasema" wakati kumbe ni taarifa fake tu.

I know of late standard zimeshuka hapa jf lakini kwa hili kutoka kwa mtu kama Invisible kwa kweli inasikitisha sana, tatizo watu wanasukumwa na kupagaishwa na ushabiki kiasi kusahau na ku cross check usahihi wa habari.

Hawa ITV ndio kabisa yaani chombo kikubwa cha habari kama hiki kinaokota habari ovyo tuu majaani? very sad indeed..

Mwanakijiji as usual spinning, spinning.....

Hakuna tatizo na alichoandika Invisible, naona labda una agenda nyingine. Kama kweli hiyo statement kaandika Mtikila basi "kasema".....vinginevyo BAKITA wakatae hajasema.
 
Hakuna tatizo na alichoandika Invisible, naona labda una agenda nyingine. Kama kweli hiyo statement kaandika Mtikila basi "kasema".....vinginevyo BAKITA wakatae hajasema.

Kazi kweli kweli "aseme" mwingine wakanushe BAKITA!
 
enough is enough,they should throw the book at mtikila,CCM will rule this country forever,if third rate politicians like mtikila are allowed to constantly led us to blind alleys
 
Hili saga lote limesababishwa na kukurupuka kwa huyu anaejiita Invisible. The way alivyoileta hii habari anadai Mtikila "kasema" wakati kumbe ni taarifa fake tu.

I know of late standard zimeshuka hapa jf lakini kwa hili kutoka kwa mtu kama Invisible kwa kweli inasikitisha sana, tatizo watu wanasukumwa na kupagaishwa na ushabiki kiasi kusahau na ku cross check usahihi wa habari.

Hawa ITV ndio kabisa yaani chombo kikubwa cha habari kama hiki kinaokota habari ovyo tuu majaani? very sad indeed..

Mwanakijiji as usual spinning, spinning.....

well, the record shows.... who is the spinner..
 
enough is enough,they should throw the book at mtikila,CCM will rule this country forever,if third rate politicians like mtikila are allowed to constantly led us to blind alleys

Mkuu tupo ukurasa mmoja hapo.
 
ka nzi kamerudi:

a. Suala hili linahusiana na Tarime. Maoni ya watu hasa Tarime yameonekana kuelemea upande wa kuipendelea Chadema. Zaidi kilichowatibua hasa ni kuwasili kwa mwenyekiti wa Chadema na kinyume na watu wengine walivyofikiria amepokewa kwa maelfu ya watu.

b. Jana Mtikila alionesha kukerwa na kuchukizwa waziwazi kuwa licha ya kampeni yake dhidi ya Chadema na Mbowe watu wa Tarime wame"ng'ang'ania" tu "Mbowe Mbowe" na kwa maneno yake mwenyewe "wamemfanya kama Mungu Mtu".

c. Kumbuka pia kuwa katika tuhuma za mauaji ya Wangwe siyo tu Chadema Mtikila anadai wanahusika bali pia Mzee Mengi (mmiliki wa ITV iliyorusha habari hiyo). Hivyo ukiwa upande wa Mtikila utaona kuwa adui yako siyo Chadema tu bali pia Mengi.

Now: Ka "nzi" hakana uhakika lakini kutokana na kunusa nusa kadokeza mambo kadhaa:

a. Kuna mtu "kigogo" ambaye ITV inamuamini ambaye aliwadokeza kuwa Mtikila ameamua kukanusha na ya kuwa anayo barua/statement hiyo. Mtu huyo ni mtu wa kuaminiwa kabisa na kiongozi yeyote yule.

b. Huyo mtu yeye mwenyewe hakujua kabisa kuwa anasetiwa na akapeleka habari hizo ITV (sijui ni hadi level gani ilifikia lakini possibly way up "there"); kutokana na kuaminiwa kwa mtu huyo au ukweli hasa kuwa kauli hiyo ipo na ikaonekana ni genuine, wakaamua kuirusha.

c. Walichosahau/kutotilia maanani ni kwenda bila ya kumuweka Mtikila on record (yawezekana iko rekodi yake) na badala yake kusoma kile simply kutokana na uzito wa mtu aliyewapatia. Mtikila alikuwa anajua hilo.

d. Baada ya kusomwa Mtikila akafanya "his roll" nayo ni kukanusha na kupanga kuitisha mkuttano wa waandishi wa Habari kule kule Tarime kukanusha juu ya taarifa hiyo. Unaweza kuuliza why? (this is where I come in)

Sababu kubwa ni suala la coverage. Vyombo vya habari vingi vitapenda kwenda kumnukuu Mtikila kesho na kurusha madai yake ambapo sasa atapata nafasi ya kurusha shutma dhidi ya wabaya "wake" kwa kutumia vyombo vya kitaifa nakurushwa "nationally". Kimsingi atakuwa amejipatia muda wa dezo wa kujitangaza na kutangaza mipango yake. Hivyo madongo yake yatarushwa dhidi ya Chadema, ITV kama taasisi na dhidi ya Mbowe na Mengi kama watu binafsi.

kumbuka kuwa hayo mengi yatasomwa siku ya Jumamosi, siku moja kabla ya uchaguzi! Lakini si hivyo tu, CCM wanatarajiwa kuchukua side ya Mtikila na kulaani kitendo cha ITV. Na kauli za kila aina zitatolewa. Unaweza kujiuliza "why now"?

Uamuzi wa Baraza la Wahariri kuficha ripoti yao ya suala la nafasi ya vyombo vya habari kule Tarime kwenye coverage ya Wangwe ripoti ambayo inamnyoshea kidole mmoja ya wanasiasa na wafanyabiashara maarufu nchini, basi hii ni zamu yao kushambulia ITV na Mengi kwani wanajua wiki ijayo yawezekana ikawa ni zamu yao kukaangwa.

Hata hivyo hisia yangu ni kuwa mstari kati ya wahusika na wafanyabiashara wakubwa unazidi kuchorwa na siku si nyingi sitoshangaa wafanyabiashara binafsi na wakubwa wakajitokeza wazi kusupport opposition kama vile wengine wanavyofanya kusupport CCM.

That is my 50cents

Watanzania wezangu mtakuja kuelewa lini CHADEMA ni hovyo ,bomu na tupu.

Chama chenu MBADALA kimezuliwa jambo badala ya kufuata taratibu husika VIONGOZI wenu makini wamefoji sahihi eti nao kupika TUHUMA na vyambo vyenu makini vikatanganza mambo ya ajabu.

CHAMA chenu mbadala ni chama cha MIFISADI tu ,kuendelea kukitegemea na propaganda zao na vyombo vya habari vyao utadhani kweli wasemayo.

Tujaribu kuwa huru
Hawa CHADEMA wanatriki yao nzuri sana wanawaletea hapa mambo ya vyombo vya habari feki kama vilivyo vya RA ili kujijengea kinga,yani wanawaaminisha kuwa wao ni wateule na kuteka akili za watu na wakija kubwagwa kwa sababu tayari umeshakua na fikra ya picha kichwa unaona kabisa kweli wameibiwa.

Kwenye hili tayari wameshaanza kuwachoresha mazingira ya picha kichwani kuwaaminisha kuwa hayo ni mambo ya Mengi na si CHADEMA.

Watu wengi wananiona mimi kama KANDA wa CCM kwa vile naipinga CHADEMA .LAkini nawaambieni wazi CCM ni bomu lakini CHADEMA ndio basi kabisa.

Ni kweli saizi tumetekwa nawakoloni weusi na tunahitaji ukombonzi wa kweli LAkini mimi nasema chama cha ukombonzi si CHADEMA cha sasa,Narudia tena kweli ukombozi unawezwa letwa na CHADEMA lakini si kwa MIFISADI iliyopo sasa.
 
Mwalimu umesema vema...
 
.....

Watu wengi wananiona mimi kama KANDA wa CCM kwa vile naipinga CHADEMA .LAkini nawaambieni wazi CCM ni bomu lakini CHADEMA ndio basi kabisa.

.....

hii ya kuwa kanda wa ccm imenivunja mbavu...

mkamap, sidhani kama kuna makosa ya wewe kuwa kanda wa ccm kwani nacho pia ni chama.
 
hii ya kuwa kanda wa ccm imenivunja mbavu...

mkamap, sidhani kama kuna makosa ya wewe kuwa kanda wa ccm kwani nacho pia ni chama.

Nakuambieni ukweli CHADEMA chini ya viongozi MIFISADI kama hiii tumeumia ndg yangu.

Kama hufungamani na upande wowote wewe jaribu kufikiria tu pale akina LISU ,Mbowe na wenzao walivyomtimua CHACHA waliongea nini kuhusu chacha wengine haohao walikwenda mbali zaidi na kusema chacha alikua jambazi toka enzi hizo alibomoa na kuiba udsm akatimukia kenya/

Wengine walisema chacha alikimaliza NCCR na sasa anamikakati wa kukimaliza chadema.
LEo kawasikilize wanasema nini huko tarime?

Na uunganisha vipengele hivyo ili upate chama chenu MBADALA
 
Kazi kweli kweli "aseme" mwingine wakanushe BAKITA!

Ndio wenye dhamana ya kufafanua juu ya utata wwt kwenye matumizi ya maneno ya lugha yetu mkuu......maana ulivyoambiwa statement yake imesomwa ITV....ww washangaa kuambiwa "kasema"!

Ri mutikira ritapigwa mawe hata kama rimetumwa na CCM.
 
ITV nayo wameingiaje kirahisi hivyo kwenye upuuzi huu? Madai makubwa kama haya kweli utayaweka kwenye TV bila kupata maoni ya mhusika?

Wangemtumia maswali na akakataa kujibu, hapo ningeelewa, lakini hii ya kukurupuka na wao utafikiri wanasiasa?

Hivi Mengi na Mtikila si walikuwa kitu kimoja kwa muda mrefu? Kumetokea nini?

Tatizo la vyombo vya habari TZ ni pale vinapoacha ku report habari na badala yake vinatengeneza habari zao kwa faida ya wenye vyombo hivyo. Losers hapa ni waandishi wa habari, maana hata kwenye mambo ya maana tutawaamini vipi?
 
Nakuambieni ukweli CHADEMA chini ya viongozi MIFISADI kama hiii tumeumia ndg yangu.

Kama hufungamani na upande wowote wewe jaribu kufikiria tu pale akina LISU ,Mbowe na wenzao walivyomtimua CHACHA waliongea nini kuhusu chacha wengine haohao walikwenda mbali zaidi na kusema chacha alikua jambazi toka enzi hizo alibomoa na kuiba udsm akatimukia kenya/

Wengine walisema chacha alikimaliza NCCR na sasa anamikakati wa kukimaliza chadema.
LEo kawasikilize wanasema nini huko tarime?

Na uunganisha vipengele hivyo ili upate chama chenu MBADALA

Kada wa chama, hukosei kutetea itikadi yako. Wakati mwingine jaribu pia kutetea taifa lako mkuu, penye ukweli tutakuwa pamoja, lakini ukiweka unazi hata pasipo stahili mkuu, we will give you a punch on the face!
 
Kada wa chama, hukosei kutetea itikadi yako. Wakati mwingine jaribu pia kutetea taifa lako mkuu, penye ukweli tutakuwa pamoja, lakini ukiweka unazi hata pasipo tahili mkuu, we will give you a punch on the face!

IPP nani kawanunua? Inabidi SAKINA aweke kamati ya kuchunguza hii habari na ripoti yake itolewe mara moja.

Tatizo letu tumekuwa vipofu sana na je? kama vyombo vya RA vingeripoti kuwa mbowe kakubali kuwa alitimuliwa nawakawa wamefoji sahihi ya mbowe leo si mngebomoa skrini zenu kwa munkali?

Balile aliandika kahabari kake uzushi mnakumbuka bango lilivyobebwa humu?? Wewe unatetea taifa gani? mkuu la kofoji sahihi za watu na kuzipeleka kwenye vyombo vya habari kutia uzushi?Pole sana kama huo ndio utetezi wako.
 
Sijapata mfano wa mtu cheap kama huyu. Anadhani nani atamuamini tena kuwa ana nia ya kulipigania taifa lake? Alichokifanya si kulihujumu Taifa? Kama mtu anakubali kutumiwa kiasi hiki hana chembe ya uzalendo kwa chochote kile. Huyu anaweza hata kuiuza familia yake iwapo mtu atafika bei

Kweli nimeanza kuamini!kuna dr. mmoja wa UDSM aliniambia Mtikila si mwanasiasa wakumsikiliza ni kichaa na mtu aliechanganyikiwa kwa kukosa muelekeo!!!!!!!!!!hasa nikizingatia ujasiri wake wa kufungua na kushinda kesi muhimu za kikatiba nilikuwa na imani nae lakini baada ya kusikia yale ya rostam na hili la leo!!???sitaki kabisa kumsikia MNAFIKI na Mtu hatari kama huyu!!!!!!!!!!!! anatia kinyaa........he is very chip yani hana mfano...

pengine amesha tumika sana kufanya mabo mabaya zaidi!! usishangae kuwa ndio alikuwa messenger wa kupeleka barua za mafisadi.........benki na serikalini..........
 
IPP nani kawanunua? Inabidi SAKINA aweke kamati ya kuchunguza hii habari na ripoti yake itolewe mara moja.

Tatizo letu tumekuwa vipofu sana na je? kama vyombo vya RA vingeripoti kuwa mbowe kakubali kuwa alitimuliwa nawakawa wamefoji sahihi ya mbowe leo si mngebomoa skrini zenu kwa munkali?

Balile aliandika kahabari kake uzushi mnakumbuka bango lilivyobebwa humu?? Wewe unatetea taifa gani? mkuu la kofoji sahihi za watu na kuzipeleka kwenye vyombo vya habari kutia uzushi?Pole sana kama huo ndio utetezi wako.

Mkuu kwa hiyo umerule out the other possibility kuwa inawezekana ikawa ni genuine sahihi ya Rev Mtikila akiwa kwenye usanii wake! Makapu unaongea kama uko kwenye kikao cha NEC-CCM calm down bwana. Mtikila ni prostitute wa kisiasa, very cheap kutumika, mimi leo Ushirombo nikitua bongo na USD 3000 nikampa Rev Mtikila aitishe mkutano na waandishi wa habari na kuwaambia mzee Ushi wa Rombo anafaa kugombea uraisi kupitia CCM si nitapata coverage kirahisi?

Ushi wa Rombo
 
Habari za uhakika nilizopata sasa hivi ni kwamba ITV/Mengi this time wana ushaidi wa uhakika kabisa wa kumpa kibano Mtikila. Inasemekana walijua kitakachofuata (kwamba Mtikila atakanusha). Wamemuingiza mtegoni na amenasa.

My take: Chombo kikubwa kama ITV kisingeweza kufanya blunder kubwa hivi bila kuwa na ushahidi wa uhakika kwa 100%. Walijua na kujiandaa pia kwa reaction ya Mtikila. Tusubiri hii sinema ndio kwanza inaanza. Nina uhakika Mtikila this time ataumbuka vilivyo, kuliko hata kwenye lile sakata la kuvuta hela kutoka kwa Rostam.
 
Thanks Nuru ya jamii, wataumbuka wengi, si Mtikila tu na watetezi wao....Masatu, Mkamap na yule mzee mwingine anayeheshimika sana hapa JF!
 
Safi sana.........ole wenu mafisadi na timu zenu........tunafikia mahali pesa chafu inazidiwa nguvu na mioyo safi......tutawapata tu

hivi huyu mtikila anakanisa analoongoza kweli???lazima uwe kichaa kwenda kwenye ibada anayo soma kiumbe kama huyu
 
Habari za uhakika nilizopata sasa hivi ni kwamba ITV/Mengi this time wana ushaidi wa uhakika kabisa wa kumpa kibano Mtikila. Inasemekana walijua kitakachofuata (kwamba Mtikila atakanusha). Wamemuingiza mtegoni na amenasa.

Nurujamii,

"Habari za uhakika" my foot!

Wengine tumechoka na taarifa za kasema kakanusha kagushi saini this time hakusema inasemekana kwa uhakika kabisa....!

Naomba nukuu ya kilichosemwa, na ni nani kasema au usiseme una uhakika mpaka utakapokuwa tayari kuleta huo uthibitisho wa Mengi au kusema nani kakwambia.

Source za kutoka kwa "Nurujamii," "Asiyeonekana," "TV," "Kuhani," "Nat666," "Mleta Data," na "Inzi wetu" bila uthibitisho ni mazungumzo ya ki kahawa kahawa.

Utasemaje "uhakika kabisa...inasemekana" !

Inaonekana imetolewa statement tu na Mtikila mwenyewe anasema anajiandaa kujibu mapigo, anasema forgery ni police case na atahakikisha anawaburuza polisi wote waliohusika katika kumchafua namna hiyo

Mwanzoni ulisema umeongea na Mtikila halafu bado kumbe huna uhakika kimetokea nini kwenye TV. Yani waleta data hakuna anaejua kilichotokea kwenye TV au anaeweza kuripoti alichokiona kwenye TV kimetokea/kimesemwa. Duuh! Imesomwa karatasi ya Mtikila, au imesemwa Mtikila kasema au katokea laivu. Nusu ya mijadala ya hapa iko based on misinformation!
 
Hivi Mengi nae ameshaanza kushabikia wapinzani uchwara?
Ningekuwa na uwezo ningemshauri aendelee kuwa neutral vinginevyo hao Chukua Chako Mapema watamfilisi sasa hivi!
 
Back
Top Bottom