Kifo cha Wangwe: Mtikila ajirudi au anazushiwa?

Kama vile SINEMA,mCHUNGAJI Christpher Mtikila ametoa waraka KUTUBU DHAMBI ZAKE kwa kitendo alichokifanya huko Tarime.

Amekiri wazi kuwa alitumwa na watu kuichafua CHADEMA na kuidhoofisha nguvu yake.
Iko LIVE ITV
 
sasa sisi yanatuhusu nini ? kama alifanya makosa basi angoja afikishwe katika vyombo vya sheria mahakama ndio itaweza kumsamehe sio sisi
 
Mtikila anasema

- Nililipwa kwa kazi niliyokuwa nafanya ya kusema uwongo kuhusu Uchaguzi wa Tarime na Chacha Wangwe

- Niliahidiwa kupewa ulinzi mkali katika harakati za kufanya hiyo kazi.

- Sikupewa ulinzi nilivyokuwa Tarime na kujikuta napigwa na kutokwa na damu yangu.

- Nimetubu

Mwisho
Nia yangu ya kutetea taifa langu la Tanzania iko pale pale na nina sababu zote za kuhakikisha kuwa rasilimali za nchi yangu ambazo tumepewa urithi kwa ajili yetu na watoto wetu haziporwi na
Mafisadi na Magabachori bali zinavunwa na kutumiwa kwa manufaa ya wana na mabinti wa nchi yangu Tanzania

Mtikila anasema

- Nililipwa kwa kazi niliyokuwa nafanya kwa kusema uwongo kuhusu Uchaguzi wa Tarime na Chacha Wangwe

Mafisadi na Magabachori bali zinavunwa na kutumiwa kwa manufaa ya wana na mabinti wa nchi yangu Tanznaia

Sijawahi ona mzee mwenye akili mbovu kama huyu!!! anasema hivyo ili iweje tuanze kumuonea huruma au?mbona hakusema hayo yote wakati anakua approached anakuja kusema wakati kesha kula hizo hela au zimeisha hakuongezwa nyingine?
 
Baada ya taarifa ya habari mtikila katoa taarifa kwa uma kuwa alidanganya kifo cha wangwe.Kadai alitumwa kusema uongo na watu kadhaa (hakuwataja) na walikuwa wamemuahidi kumpa ulinzi.Walimuelekeza aseme uongo na kukidhoofisha chadema.
Katubu, mengi yatajiri later(taarifa kamili).
 
Huyu basi ni mchuro kabisa huyu!
 
Ndio hiyo ya mtikila kutubu au ?

Nani wanadhamini hicho kipindi ? Chadema wenyewe ??

Ndiyo hiyo hiyo.

Ni waraka wa Mtikila kwa umma.Muhimu siyo kujua nani kalipia bali umuhimu na ukweli wa content yake bwana
 
Watu walioumia na kufa kwa ajili ya statement zake wao vipi? anaona maisha ya watu ni ya kuchezea tu, damu yao itamlilia tu huyu.

Kalipwa kiasi gani? na nani kamtuma?
 
Mtikila anasema

- Nililipwa kwa kazi niliyokuwa nafanya ya kusema uwongo kuhusu Uchaguzi wa Tarime na Chacha Wangwe

- Niliahidiwa kupewa ulinzi mkali katika harakati za kufanya hiyo kazi.

- Sikupewa ulinzi nilivyokuwa Tarime na kujikuta napigwa na kutokwa na damu yangu.

- Nimetubu
Alilipwa na nani?
 
Sijawahi ona mzee mwenye akili mbovu kama huyu!!! anasema hivyo ili iweje tuanze kumuonea huruma au?mbona hakusema hayo yote wakati anakua approached anakuja kusema wakati kesha kula hizo hela au zimeisha hakuongezwa nyingine?

Tangu mafisadi walipoanza kuumbuliwa ndipo safari ya kufichuliwa kwa kila ovu hapa Tanzania ilipoanza.WATANZANIA WAMECHOKA NA SASA NI WAKATI WA MUNGU KUWAUMBUA WABAYA WETU, MAADUI WA UHAI WA TAIFA HILI.
 
Baada ya taarifa ya habari mtikila katoa taarifa kwa uma kuwa alidanganya kifo cha wangwe.Kadai alitumwa kusema uongo na watu kadhaa (hakuwataja) na walikuwa wamemuahidi kumpa ulinzi.Walimuelekeza aseme uongo na kukidhoofisha chadema.
Katubu, mengi yatajiri later(taarifa kamili).
 
Mtikila anasema

- Nililipwa kwa kazi niliyokuwa nafanya ya kusema uwongo kuhusu Uchaguzi wa Tarime na Chacha Wangwe

- Niliahidiwa kupewa ulinzi mkali katika harakati za kufanya hiyo kazi.

- Sikupewa ulinzi nilivyokuwa Tarime na kujikuta napigwa na kutokwa na damu yangu.

- Nimetubu

Mwisho
Nia yangu ya kutetea taifa langu la Tanzania iko pale pale na nina sababu zote za kuhakikisha kuwa rasilimali za nchi yangu ambazo tumepewa urithi kwa ajili yetu na watoto wetu haziporwi na
Mafisadi na Magabachori bali zinavunwa na kutumiwa kwa manufaa ya wana na mabinti wa nchi yangu Tanzania

Sijapata mfano wa mtu cheap kama huyu. Anadhani nani atamuamini tena kuwa ana nia ya kulipigania taifa lake? Alichokifanya si kulihujumu Taifa? Kama mtu anakubali kutumiwa kiasi hiki hana chembe ya uzalendo kwa chochote kile. Huyu anaweza hata kuiuza familia yake iwapo mtu atafika bei
 
Alilipwa na nani?

Hajawataja waliomlipa lakini kwa kusema tu kuwa aliahidiwa ulinzi wa kutosha wa polisi" wewe unafikiri ulinzi wa polisi wa Tanzania unaweza kuahidiwa na CHAUSTA, NRA,Mzee wa gumzo au firstlady???hujajua tu?
 
Back
Top Bottom