Serikali na CCM wameadhimisha wapi Kifo cha Magufuli?

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,407
4,075
Jana 17/03/2024 ilikuwa ni siku ya kumbukizi ya Kifo cha Raisi wa Awamu ya Tano, tena akiwa Kazini lakini sijasikia kauli yeyote ya Serikali au CCM kuenzi au kuyaendeleza mazuri ya Kiongozi huyo. Naona shughuli zilizofanyika imekuwa kama ya kifamilia zaidi na sio ya MTU aliyewahi kuwa Kiongozi wa Nchi na Chama Kwa wakati moja.
 

"Sirikali na CCM wameazimisha wapi Kifo cha Magufuli"​

Kwani kuna mtu alikuwa anataka kuazima?
 
Back
Top Bottom