Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
Huyu ni wa kumpata kesho... I'm fuming with wrath! povu linanitoka hadi masikioni....
Ukimpata kesho yatakuwa yale yale. Alipolipwa na Rostam akaja kwako ukamrushia soft balls akaya knock out of the park.
Kesho najua utavyo muuliza: "Sasa, hapo Mchungaji hudhani kwamba watu watapoteza Imani kwako ?" (staili ile ya soft-pedalling: you know, like "hudhani 'kumng'oa' Rais linaweza kutafsiriwa vingine kama tuliyoyaona Nigeria?" )
Mtikila atakujibu: "Dhamira yangu ya kupigana na ufisadi iko pale pale.... blah blah blah ...." Kwishne.
Kesho kutwa ataitisha crummy-press conference kutangaza kufungua ka kesi ka Katiba kujisafisha au ataahidi kufungua ka kesi ka madai ka kupigwa, crummy press haitamuuliza, ngoja kwanza, kesi yako dhidi ya Rostam umeshinda? atatokomea kimya kimya, Watanzania watasahau, atahongwa tena, atakwenda kujieleza KLH News, tutaanza tena. Same ol' muck.