Kwanini nchi hii viongozi wanauliwa pasipo uchunguzi? Ninaagiza uchunguzi huru kifo cha Rev. Mtikila

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
September 15 mwaka 2010
Mwanabodi Pascal Mayalla walikutana na mchungaji mtikila ambaye alimuhadithia mazingira ya kifo chake yatakavyo kuwa na muhusika na detail zote. Mtikila alirekodi audio ya matukio haya na aliripoti hata polisi kutoa taarifa. Naomba niweke hapa uzi huo ili ujisomee mwenyewe kabla haujafutwa kwa maagizo kutoka juu.
Miaka mitano mbeleni mchungaji huyu akauliwa katika tukio ambalo alishalitaadhalisha hapo kabla.

Nimesoma uzi huu wa mwanabodi nikashindwa cha kucomment. Taifa hili tunaliendekeza sana. Tumepoteza wanasiasa mahili kutoka ludewa kama kolimba, filikunjombe na mtikila na kutoka sehemu mbalimbali kama sokoinena Dr Omar Ali Juma achilia mbali vibopa wakubwa wa nchi kuna uwezekano waliuliwa katika matukio ya kisenge kama hili.

Wenzetu Korea wameendeleea kwakuwa wakali sana kwenye uvunjaji wa sheria. Lakini nchini kwetu tukio kama hili linaachwa tuu lipite.

Ninaagiza uchunguzi huru!

Kifo cha Mchungaji Mtikila
AHSANTE
 
Screenshot_20230928-094535_1.jpg
 
Mambo ya kinchi ndivyo yalivyo

Kuuana kawaida tu ukingilia maslahi ya watu au watu wakiona kama unawaaribia maslahi yao wao wanakuua tu,nchi nyingi ndivyo ilivyo

Ova
 
RIP mtoto wa wana Milo wilayani Ludewa mchungaji Mtikila hakika huyu mwamba ange kuwa hai kipindi cha Magufuli yeye na Tundu Lissu wao ndio
Wange kuwa na uwezo wa kumwambi ukweli bila ya kupepesa macho .
 
Ntakwenda kuhiji mwaka huu nikatazame alipo lala Mtwa Mwamtikila nikatazame alipo lala Filikunjombe kwenye makabuli ya umma pale Ludewa
 
September 15 mwaka 2010
Mwanabodi Pascal Mayalla walikutana na mchungaji mtikila ambaye alimuhadithia mazingira ya kifo chake yatakavyo kuwa na muhusika na detail zote. Mtikila alirekodi audio ya matukio haya na aliripoti hata polisi kutoa taarifa. Naomba niweke hapa uzi huo ili ujisomee mwenyewe kabla haujafutwa kwa maagizo kutoka juu.
Miaka mitano mbeleni mchungaji huyu akauliwa katika tukio ambalo alishalitaadhalisha hapo kabla.

Nimesoma uzi huu wa mwanabodi nikashindwa cha kucomment. Taifa hili tunaliendekeza sana. Tumepoteza wanasiasa mahili kutoka ludewa kama kolimba, filikunjombe na mtikila na kutoka sehemu mbalimbali kama sokoinena Dr Omar Ali Juma achilia mbali vibopa wakubwa wa nchi kuna uwezekano waliuliwa katika matukio ya kisenge kama hili.

Wenzetu Korea wameendeleea kwakuwa wakali sana kwenye uvunjaji wa sheria. Lakini nchini kwetu tukio kama hili linaachwa tuu lipite.

Ninaagiza uchunguzi huru!

Kifo cha Mchungaji Mtikila
AHSANTE
Sio kila Siri unaijuwa juu ya Taifa basi niruhusa kusema. Kuna wakati Kuna Siri unapaswa kufa nazo yasije kukuta makubwa.
Pili ukifuwatwa ukaambiwa hili acha wewe achana nalo wapo matajiri wamefungwa na Sasa wametoka na midomo wamefunga wala hawaongei... Jiulize why?
Wapo watu wana nyeti za Taifa mpaka hawataki kutana na watu wamejifungia kwenye mahekalu yao wakingoja kufa...
Kuna kazi ukipewa yakupasa kuwa smart nakufungaa bakuli lako...
Mbwa mwitu wa Sheria yao moja tunawinda pamoja na tunakula pamoja ila ukimaliza kula funga mdomo na safisha mdomo usibaki na na dam au vipande Lau jeraha maana tuna kukula tukiona alama ya dam mwilin mwako. Ndio maana mbwa mwitu pia wanakulana na hiyo ndio Sheria ya wana usalama. 🤐
 
Back
Top Bottom