INAUZWA Kifaa cha kuzuia wizi wa Magari, Pikipiki na Bajaj. (Wireless Kill switch)

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,327
9,328
Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote.

Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa na remote control ya hiyo switch.

Nipigie simu/Whatsapp 0621 221 606 au 0688 758 625.

Kwa lugha rahisi kifaa hiki kinafanya kazi kama ambavyo wewe ungekata wire fulani, au kuchomoa fuse au relay fulani ili mwizi akija kuiba chombo chako cha moto asiweze kuwasha. Na njia hiyo ina hasara kubwa mbili.

1. Kusahau kuchomoa waya baada ya kuzima chombo. Hapa mwizi atakuja na kuondoka na chombo.

2. Watu kukuona ukiitumia hiyo njia.

Kuna faida kuu mbili za kutumia mfumo wa kisasa wa Wireless kill switch.

1. Switch inafungwa kwenye gari/pikipiki/bajaj kwa siri na hakuna mtu atajua kama imefungwa. (ina size ndogo sana).

2. Kila utakapozima chombo chako kwa funguo, switch nayo itajizima automatic. Utakapotaka kuja kuwasha chombo chako utaruhusu kwanza kwenye remote ndio utawasha chombo. Yaani kwa lugha rahisi zima chombo kama unavyozima siku zote, atakayekuja kuwasha hakitawaka, mpaka wewe unatapokuja na remote yako ubonyeze ndio utaweza kukiwasha.

Kwa maana hiyo mwizi akitaka kuja kuwasha kwa sababu hana remote hataweza kuwasha.

Bei yake ya kuuza ni Tsh. 40,000 tu.

Tunayo pia mifumo mingine kwa bei rahisi. Kama,

1. GPS trackers, Hii inakuwezesha kufuatilia chombo chako popote kitakapokuwa kupitia kwenye simu yako, pia inakuwesha kukizima kupitia simu yako, Bei inaanzia Tsh. 75,000/= mpaka Tsh. 150,000/=.

2. Immobilizer, Hii inakuwezesha kuwasha chombo chako cha moto remote ikiwa karibu, na hakitawaka kama remote itakuwa mbali, Pia kama ukiporwa chombo chako cha moto, kitazima ndani ya muda mfupi. Bei yake Tsh. 75,000/= tu.

3. Biometric Car start n.k. 250k

Nipo Dar es salaam, Karibu sana.
 
kuna uzi wangu umefutwa ila wako imepewa kipaumbele kuhusu vifaa kuingizwa
alafu mnarudisha tarehe nyie Jf .
kuna katabia kapo ila jiko lenu

kuna mada nimeeleza kuhusu vifaa vinavo hack magari na shangaa kuona ushapata solution wakati mada yangu imefutwa
 
Weka apa huo Uzi
 
Tusichokijua:
 
kuna uzi wangu umefutwa ila wako imepewa kipaumbele kuhusu vifaa kuingizwa
alafu mnarudisha tarehe nyie Jf .
kuna katabia kapo ila jiko lenu

kuna mada nimeeleza kuhusu vifaa vinavo hack magari na shangaa kuona ushapata solution wakati mada yangu imefutwa
Dah taratibu mkuu. Hope mlimalizana na mods.
 
Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote.

Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa na remote control ya hiyo switch.

Nipigie simu/Whatsapp 0621 221 606 au 0688 758 625.

Kwa lugha rahisi kifaa hiki kinafanya kazi kama ambavyo wewe ungekata wire fulani, au kuchomoa fuse au relay fulani ili mwizi akija kuiba chombo chako cha moto asiweze kuwasha. Na njia hiyo ina hasara kubwa mbili.

1. Kusahau kuchomoa waya baada ya kuzima chombo. Hapa mwizi atakuja na kuondoka na chombo.

2. Watu kukuona ukiitumia hiyo njia.

Kuna faida kuu mbili za kutumia mfumo wa kisasa wa Wireless kill switch.

1. Switch inafungwa kwenye gari/pikipiki/bajaj kwa siri na hakuna mtu atajua kama imefungwa. (ina size ndogo sana).

2. Kila utakapozima chombo chako kwa funguo, switch nayo itajizima automatic. Utakapotaka kuja kuwasha chombo chako utaruhusu kwanza kwenye remote ndio utawasha chombo. Yaani kwa lugha rahisi zima chombo kama unavyozima siku zote, atakayekuja kuwasha hakitawaka, mpaka wewe unatapokuja na remote yako ubonyeze ndio utaweza kukiwasha.

Kwa maana hiyo mwizi akitaka kuja kuwasha kwa sababu hana remote hataweza kuwasha.

Bei yake ya kuuza ni Tsh. 40,000 tu.

Tunayo pia mifumo mingine kwa bei rahisi. Kama,

1. GPS trackers, Hii inakuwezesha kufuatilia chombo chako popote kitakapokuwa kupitia kwenye simu yako, pia inakuwesha kukizima kupitia simu yako, Bei inaanzia Tsh. 75,000/= mpaka Tsh. 150,000/=.

2. Immobilizer, Hii inakuwezesha kuwasha chombo chako cha moto remote ikiwa karibu, na hakitawaka kama remote itakuwa mbali, Pia kama ukiporwa chombo chako cha moto, kitazima ndani ya muda mfupi. Bei yake Tsh. 75,000/= tu.

3. Biometric Car start n.k. 250k

Nipo Dar es salaam, Karibu sana.

Safi.
 
Back
Top Bottom