chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,722
Nchini Uingereza imeweza kuwa kamata wahalifu wanaojiusisha na wizi wa magari hasa yale magari yanayo tumia funguo za rimoti.
vijana walio kamatwa ni Armer, 29, Bowes, 33, and Poulson, 31, baada ya kukutwa na gari aina ya Mitsubishi Outlander ambayo ilishakwisha tolewa ripoti ya kuibiwa usiku yake.
Baada ya kuwaoji ndipo walipoweka wazi kuhusu mbinu wanayotumia kwenye kifaa cha michezo ambacho kimeongezewa mifumo ambayo si rahisi kutambua hata ukiwakamata.
NOTE:
Kuna mada nilishajaribu kueleza mbinu za kiharifu za wizi wa magari hasa haya rimoti.
Serikali na idara ya polisi wasipokuwa makini wa kutambua vifaa vinavoingia na kutoelewa matumizi yake basi ni hatari.
Hizi ni moja tu sample.