Mathematic
Member
- May 15, 2011
- 56
- 2
Ukifuatilia kwa makini mtiririko wa taarifa na namna ya uchangiaji humu ndani utagundua kuwa anaeharibu chronological sequence ya thread sio watu kama Ngongo,Faiza Fox ua Ritz. Hao wapo kwa ajili ya ku-divate mind za watu kwa kupost irrelevant topics kama vile kuingiza personal life ya mtu basi na sisi tunakubali kutoka nje ya topic na kuanza kujibizana nao. Wao hapo wanakuwa wamefanikiwa azma yao. Wakati Kamanda Crashwise anatujuza yaliyokuwa yanajili mahakamani tulitakiwa kuwa makini kwa kufuatilia taarifa zake na sio kuanza kujibu hoja irrelevant toka kwa ma-agent wa magamba ambao kazi yao ni kuvuruga mtiririko wa thread.Unakopi- pesti tekniki ya maisha yako ya kujipendekeza kwa mafisadi na mitoto yao kwa watanzania wengine?
What works best for you, only does so only for you and your dependent family.
My Note: Tu-ignore kwa kutojibu hoja yoyote itakoyopostiwa katikati ya mtiririko wa taarifa ambayo ni irrelevant na suala linalojadiliwa maana zinaletwa kwa lengo la kutufanya tu-loose concentration kwa ku-divate mind zetu.
Mkuu Crashwise tunakutegemea sana kwa kutujuza kipindi cha pili kitakapoanza........Keep it Up Kamanda........!