Kesi ya kupinga matokeo ya Godless Lema

Unakopi- pesti tekniki ya maisha yako ya kujipendekeza kwa mafisadi na mitoto yao kwa watanzania wengine?
What works best for you, only does so only for you and your dependent family.
Ukifuatilia kwa makini mtiririko wa taarifa na namna ya uchangiaji humu ndani utagundua kuwa anaeharibu chronological sequence ya thread sio watu kama Ngongo,Faiza Fox ua Ritz. Hao wapo kwa ajili ya ku-divate mind za watu kwa kupost irrelevant topics kama vile kuingiza personal life ya mtu basi na sisi tunakubali kutoka nje ya topic na kuanza kujibizana nao. Wao hapo wanakuwa wamefanikiwa azma yao. Wakati Kamanda Crashwise anatujuza yaliyokuwa yanajili mahakamani tulitakiwa kuwa makini kwa kufuatilia taarifa zake na sio kuanza kujibu hoja irrelevant toka kwa ma-agent wa magamba ambao kazi yao ni kuvuruga mtiririko wa thread.
My Note: Tu-ignore kwa kutojibu hoja yoyote itakoyopostiwa katikati ya mtiririko wa taarifa ambayo ni irrelevant na suala linalojadiliwa maana zinaletwa kwa lengo la kutufanya tu-loose concentration kwa ku-divate mind zetu.
Mkuu Crashwise tunakutegemea sana kwa kutujuza kipindi cha pili kitakapoanza........Keep it Up Kamanda........!
 
Hivi wewe Crashwise! Kazi unafanya saa ngapi kila siku unashinda vijiweni pale maeneo ya Sakina, ukitoka hapo unakwenda vijiwe vingine vya Unga Limeted, ukisikia kesi za CDM unakimbila mahakamani kuripoti humu JF, tafuta kazi kijana maisha ya kama kwale sio mazuri.
Jaribu kuongea na Dr Slaa, upate kibarua hata cha utingo kwenye zile Fuso za CDM, msingi wa maisha ni kufanya kazi kwa bidii tu hakuna ujanja ujanja
wewe ungependa nifanyekazi ya namna gani ilinikufurahishe mama watoto...hapa nilipo niko kazini sijui ulina jingine...hahaha
 
Bei ya sukari ni tsh 2,500/=@ mpaka 3,000/=@ 1 kilo raia wanalalamika sana lakini kwangu mimi naona sawa kabisa tena naomba ifike 5,000/=@ 1 kilo ili wapate akili.Turejee kwenye kesi ya ubunge Crashwise punguza ushabiki muzeee Lema akibanwa tujuze alafu mwambie diwani wa Levolosi safari hii hatutaki michango ya kiujanja ujanja.

vipi huko mikoani sukari bei gani?
 
Ulifail hesabu !.

Ukifuatilia kwa makini mtiririko wa taarifa na namna ya uchangiaji humu ndani utagundua kuwa anaeharibu chronological sequence ya thread sio watu kama Ngongo,Faiza Fox ua Ritz. Hao wapo kwa ajili ya ku-divate mind za watu kwa kupost irrelevant topics kama vile kuingiza personal life ya mtu basi na sisi tunakubali kutoka nje ya topic na kuanza kujibizana nao. Wao hapo wanakuwa wamefanikiwa azma yao. Wakati Kamanda Crashwise anatujuza yaliyokuwa yanajili mahakamani tulitakiwa kuwa makini kwa kufuatilia taarifa zake na sio kuanza kujibu hoja irrelevant toka kwa ma-agent wa magamba ambao kazi yao ni kuvuruga mtiririko wa thread.
My Note: Tu-ignore kwa kutojibu hoja yoyote itakoyopostiwa katikati ya mtiririko wa taarifa ambayo ni irrelevant na suala linalojadiliwa maana zinaletwa kwa lengo la kutufanya tu-loose concentration kwa ku-divate mind zetu.
Mkuu Crashwise tunakutegemea sana kwa kutujuza kipindi cha pili kitakapoanza........Keep it Up Kamanda........!
 
Bahati mbaya niko nje ya mkoa lakini niko well represented.
Ngongo,
Natanguliza heshima, maana najua naweza kwenda extreme tukaudhiana, haya ni majukwaa tu, na najua tukikutana nina glass kadhaa za mvinyo toka kwako!
Wewe unamshutumu Crashwise kuwa yuko biased na cdm, lakini hapohapo unasema kuwa una marafiki zako Mahakamani ambao watakuelezea vizuri, huoni kuwa unarudi kwenye Square One?
Huoni kuwa rafiki zako ni rafiki wa ccm aka TLP, na hivyo wataeleza yanayokupendeza wewe?...sijui ugumu wa kuelewa hili uko wapi!

Ngongo punguza hasira!...TLP na ccm kushindwa ndio unakuwa mshari hivyo, tutafika kweli?
 
Diwani wa Levolosi vipi mkishinda kesi utachinja tena ng'ombe ?.Ulichangisha mazobe fedha za kumpongeza mbunge nusu ya fedha ukatia ndani au unadhani hatujui.Bora wewe mjanja mjanja si kama Crashwise kesi ikimalizika lazima akupige mzinga bwahaaaa haaa aa.
Utatunga sana kila aina ya maneno upate ushabiki, lakini kwa Arusha utagonga mwamba!
Kapeleke hukooo maneno yako yasiyo na mashiko!
Kwa taarifa yako, Arusha ilishabadilika!...Wakimtoa Lema anakuja Lema-Junior!
Utaishia kuombea mkono uanguke kama fisi!
 
Hivi Ngongo naLema wanafahamiana in person,manake chuki aliyonayo kwa Lema inaonyesha ni zaidi ya mambo ya kisiasa,nakubaliana na wewe Ngongo angepunguza hasira na chuki kwa Lema haimsaidii hata kidogo wana Jamvi wengi wetu tumejua kwamba ana mtazamo wa kutaka Lema ashindwe na je akishindwa atabalika na kuitwa ngungu jamani too much
 
Taratibu mpenda maziwa ninaposema nina marafiki zangu hapo mahakamani sina maana ni wanachama wa CCM ,TLP,CDM,CUF,UDP au chama kingine chochote.Ni watu huru kama mimi hatuna vyama tunavyoviwakilisha au kushabikia ni wanahabari ambao wameapaa kulinda maadili ya uandishi wa habari anachokifanya Crashwise nikuwafurahisha wanaCDM including you Mpenda maziwa.

Nitarejea Arusha next week nitapata news from ruputable sources najua unajua nikiaamua kufuatilia jambo siachi kitu.

Ngongo,
Natanguliza heshima, maana najua naweza kwenda extreme tukaudhiana, haya ni majukwaa tu, na najua tukikutana nina glass kadhaa za mvinyo toka kwako!
Wewe unamshutumu Crashwise kuwa yuko biased na cdm, lakini hapohapo unasema kuwa una marafiki zako Mahakamani ambao watakuelezea vizuri, huoni kuwa unarudi kwenye Square One?
Huoni kuwa rafiki zako ni rafiki wa ccm aka TLP, na hivyo wataeleza yanayokupendeza wewe?...sijui ugumu wa kuelewa hili uko wapi!

Ngongo punguza hasira!...TLP na ccm kushindwa ndio unakuwa mshari hivyo, tutafika kweli?
 
Hivi wewe Crashwise! Kazi unafanya saa ngapi kila siku unashinda vijiweni pale maeneo ya Sakina, ukitoka hapo unakwenda vijiwe vingine vya Unga Limeted, ukisikia kesi za CDM unakimbila mahakamani kuripoti humu JF, tafuta kazi kijana maisha ya kama kwale sio mazuri.
Jaribu kuongea na Dr Slaa, upate kibarua hata cha utingo kwenye zile Fuso za CDM, msingi wa maisha ni kufanya kazi kwa bidii tu hakuna ujanja ujanja
Huko ni kuingilia maisha binafsi ya Crashwise, hujatuambia kama anamatatizo ya kifedha au chakula kiasi cha kuanza kumsuta hapa jamvini. Kuna "peasants" kibao wanafanya kazi kutwa nzima lakini ni maskini wa kutupwa wala sijaona ukiwapa ushauri wa kuinua "labour productivity" yao, sana sana naona michango yako ya hovyo hovyo tu hapa. Nampongeza sana Crashwise kwa kutujuza hapa kuliko wewe na uwezo wako finyu wa kuona na kuchambua mambo. Ebu basi tujuze mchango wako ktk jamii zaidi ya kujikomba kwa watawala ni upi?"
 
Hivi Ngongo naLema wanafahamiana in person,manake chuki aliyonayo kwa Lema inaonyesha ni zaidi ya mambo ya kisiasa,nakubaliana na wewe Ngongo angepunguza hasira na chuki kwa Lema haimsaidii hata kidogo wana Jamvi wengi wetu tumejua kwamba ana mtazamo wa kutaka Lema ashindwe na je akishindwa atabalika na kuitwa ngungu jamani too much
Ngongo na Lema wanafahamiana sana!
Lakini ni kwamba Ngongo anamchukia Lema kwa kuwa yeye (Ngongo)alikuwa na crew ya mgomgea wa TLP kwenye Ubunge!...
Hivyo ana hasira sana, na akitoka kidogo usoni pa Lema anaingia JF kumnanga Lema!
Lakini kiujumla Lema anamwamini sana Ngongo akijua ni rafiki wa karibu, na kuna kipindi alimtumia katika kazi fulani nyeti bila kustukia, na Ngongo alivyo kichaa akaifanya na kuiwasilisha ili kuendelea kuvaa ngozi ya mwanakondoo, na kuendeleza unafiki!
 
Mpenda maziwa unajua dhahiri angekuja Lema Sr au Jr Ngongo hasingekuwa na kinyongo au umesahau pitia mabandiko taratibu lazima kuna kitu umesahahu.

[1] Nanyaro mwenyewe yuko hapa muulize hakuaanda sherehe za kumpongeza Lema ?.Usitake nichimbue zaidi utashangaa.

[2] Mambo ya sherehe madogo sana.Huyu Nanyaro ana tuhuma za kutishia kumuuwa Meya wa Arusha.

Utatunga sana kila aina ya maneno upate ushabiki, lakini kwa Arusha utagonga mwamba!
Kapeleke hukooo maneno yako yasiyo na mashiko!
Kwa taarifa yako, Arusha ilishabadilika!...Wakimtoa Lema anakuja Lema-Junior!
Utaishia kuombea mkono uanguke kama fisi!
 
Froida nina chuki na Cheyo,Lowassa,Mramba na Mkapa je unaweza kuniomba nipunguze chuki dhidi yao ?.

Hivi Ngongo naLema wanafahamiana in person,manake chuki aliyonayo kwa Lema inaonyesha ni zaidi ya mambo ya kisiasa,nakubaliana na wewe Ngongo angepunguza hasira na chuki kwa Lema haimsaidii hata kidogo wana Jamvi wengi wetu tumejua kwamba ana mtazamo wa kutaka Lema ashindwe na je akishindwa atabalika na kuitwa ngungu jamani too much
 
Taratibu mpenda maziwa ninaposema nina marafiki zangu hapo mahakamani sina maana ni wanachama wa CCM ,TLP,CDM,CUF,UDP au chama kingine chochote.Ni watu huru kama mimi hatuna vyama tunavyoviwakilisha au kushabikia ni wanahabari ambao wameapaa kulinda maadili ya uandishi wa habari anachokifanya Crashwise nikuwafurahisha wanaCDM including you Mpenda maziwa.

Nitarejea Arusha next week nitapata news from ruputable sources najua unajua nikiaamua kufuatilia jambo siachi kitu.

Kama wewe ni mwanahabari halafu huwa unatoa habari za upande mmoja tuu then wewe ni mwanahabari hatari sana unachuki sana na Lema ya wazi wote tulidhani ulikuwa wakati wa uchaguzi lakini jinsi unamshusha kwenye mizani ya utu kwa kweli unalo jambo kati yako naye
 
Ukifuatilia kwa makini mtiririko wa taarifa na namna ya uchangiaji humu ndani utagundua kuwa anaeharibu chronological sequence ya thread sio watu kama Ngongo,Faiza Fox ua Ritz. Hao wapo kwa ajili ya ku-divate mind za watu kwa kupost irrelevant topics kama vile kuingiza personal life ya mtu basi na sisi tunakubali kutoka nje ya topic na kuanza kujibizana nao. Wao hapo wanakuwa wamefanikiwa azma yao. Wakati Kamanda Crashwise anatujuza yaliyokuwa yanajili mahakamani tulitakiwa kuwa makini kwa kufuatilia taarifa zake na sio kuanza kujibu hoja irrelevant toka kwa ma-agent wa magamba ambao kazi yao ni kuvuruga mtiririko wa thread.
My Note: Tu-ignore kwa kutojibu hoja yoyote itakoyopostiwa katikati ya mtiririko wa taarifa ambayo ni irrelevant na suala linalojadiliwa maana zinaletwa kwa lengo la kutufanya tu-loose concentration kwa ku-divate mind zetu.
Mkuu Crashwise tunakutegemea sana kwa kutujuza kipindi cha pili kitakapoanza........Keep it Up Kamanda........!
Full Crackpot!! JF, sio ya CDM
 
Froida nina chuki na Cheyo,Lowassa,Mramba na Mkapa je unaweza kuniomba nipunguze chuki dhidi yao ?.

Kwa kweli mimi nitakuunga mkono kama unachuki na hao lakini yule bwana mdogo muonye,mkanya,mpe ushauri kama mwana Arusha bwana Ngongo mmh
 
Mpenda Maziwa vipi tena kamanda mbona siku hizi umekuwa msahaulifu sana.Nilianza kutofautiana na Lema alipomrubuni diwani wa TLP Bwana Mawazo kwenda CCM alishiriki kampeni akiwa amevaa magwanda ya CCM kijani na nyeusi.Hili PakaJimmy umelisahau au hutaki kuwajuza mashabiki wenzako wa CDM dhambi aliyoifanya Lema.

PakaJimmy,niliombwa na viongozi wa CDM nimsaidie Lema awasilishe hoja binafsi kuhusiana na ufisadi wa General Tyre.Lema binafsi hajawahi kunitafuta au kuniomba nimsaidie hii issue kwanza hana habari anachojua ni maandamano tu.Niliandaa taarifa nzuri bila kinyongo ambayo Lema angeiwasilisha kama ilivyo bila kubadilisha chochote hakika leo tungekuwa tunaongea mambo mengine.Mramba,Gachuma,Col Muro na wengine wengi wangekuwa wanahaha.

Badala yake Lema pengine aliwasiliana na wahusika wakuu [watuhumiwa]sina uhakika au pengine upumbavu au uchalii Mungu anajua akaishia kutaka General tyre igeuzwe machinga complex !.

PakaJimmy sikupenda kuweka wazi wewe umenilazimisha nilishaamua kumuunga mkono Lema lakini baada ya haya madudu nikabaini Lema si mtu wa kubadilika kama aliweza kumdalali Mawazo CCM atashindwaje nini tena.

Ngongo na Lema wanafahamiana sana!
Lakini ni kwamba Ngongo anamchukia Lema kwa kuwa yeye (Ngongo)alikuwa na crew ya mgomgea wa TLP kwenye Ubunge!...
Hivyo ana hasira sana, na akitoka kidogo usoni pa Lema anaingia JF kumnanga Lema!
Lakini kiujumla Lema anamwamini sana Ngongo akijua ni rafiki wa karibu, na kuna kipindi alimtumia katika kazi fulani nyeti bila kustukia, na Ngongo alivyo kichaa akaifanya na kuiwasilisha ili kuendelea kuvaa ngozi ya mwanakondoo, na kuendeleza unafiki!
 
Crashwise kama lilivyo jina lako kwa kweli umejibu hoja za wanakushambulia kwa umakini mkubwa! Yote kwa yote tunashukuru kwa kutujuza kinachotokea kwenye hiyo kesi ya kizushi'
 
Mpenda Maziwa vipi tena kamanda mbona siku hizi umekuwa msahaulifu sana.Nilianza kutofautiana na Lema alipomrubuni diwani wa TLP Bwana Mawazo kwenda CCM alishiriki kampeni akiwa amevaa magwanda ya CCM kijani na nyeusi.Hili PakaJimmy umelisahau au hutaki kuwajuza mashabiki wenzako wa CDM dhambi aliyoifanya Lema.
Na tuiache Historia iwe Historia!
Kila zama zina kitabu chake, na hasira zako za Diwani Mawazo kuondolewa TLP unaziendeleza hadi leo, wakati unajua kulikuwa na conflict za ndani kwa ndani kwenye TLP yako!...Kwa akili zako unadhani Mawazo yeye hana akili hadi arubuniwe na Lema?
Ngongo huna jipya unaloweza kusema juu ya mwanacdm yeyote!...Ishu mbofumbofu kama za Nanyaro kutaka kumuua Meya, hata mtoto wa Baby-Class atajua kuwa ni za kusukwa ili kumharibia!
Hivi unajua namshangaa sana Meya kumwogopa mtu mwenye umbo dogo kama la Nanyaro, hadi akaamua kukimbilia polisi , kisa anaona support ya Nanyaro inamtishia, na anahofia msimamo wa Nanyaro kuwa unaiweka nafasi yake ya kiutawalamashakani!
Ngongo ubabaishaji wa nini, najua unatumika mkuu, lakini hata saa mbovu huwa inasema ukweli mara 2 kwa siku!
 
<font size="3"><span style="font-family: lucida console"><b>Mussa Mkangaa ni diwani wa zamani CCM sijui siku hizi ana wadhifa gani ndani ya chama cha Magamba.</b></span></font>
<br />
<br />for really tz bado tuko nyuma anapingana na hali ya hewa,,t z reality that northng can change na upotezaji wa muda na pesa wake up pple
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom