Kesi ya kupinga matokeo ya Godless Lema

Hii inamhusu Crashwise zaidi nakushangaa unashindwa kumweleza.
sasa huyu crashwise kazi yake ni ipi sasa katibu wa Lema, mwandishi wa habari, hana kazi zaidi ya umatonya( kama raisi wa Kikwete)... hebu liweke sawa
 
Mratibu wa mbunge acha upotoshaji nimesema kachangisha fedha nyingi katumia kiduchu upo muzee.

ama kweli Ngongo umeishiwa yaani mtu kuandaa sherehe ni tuhuma, njo kwangu nina tuhuma za kufanya sherehe ya kuzali mtoto wangu maana inaelekea unatuhuma nyingi sana zidi wana-CHADEMA ila kwasasa na kushauri concentrate kwenye hii kesi maana inavyoelekea kesho mna chinjiwa baharini...
 
Birigita kuna uwezekano wewe ni nyumba ndogo ya Lema,shangazi yake,mama mdogo,mama mkubwa,shemeji yake,mke wake na nk.Huna mamlaka ya kutukataza kumjadili maadamu yeye ni mbunge wetu [public office].Nina kila sababu ya kukuweka kundi la wajinga hujui kitu unajidai unajua Nanyaro yupo hapa nina hakika kasoma niliyoandika kakaa kimya wewe ni nani ?.Rejea bandiko la PakaJimmy yamkini utaelewa na kuacha uropokaji na ushabiki maandazi.
sasa nimeanza kupata picha kwanini una mchukia Lema ni kwamba Brigita ni mnyumba ndogo ya Lema na wewe unamtaka Lema...
 
Mratibu wa mbunge acha upotoshaji nimesema kachangisha fedha nyingi katumia kiduchu upo muzee.
unajua alieanda hiyo sherehe au unarukia tu acha ujinga mtu mzima hovyo...kazi ya uratibu ulinipa wewe
 
Mleteni kesho batilda tumpime DNA kama mtoto siyo wa yule msomali....
 
Nilishamkanya sana lakini mbishi kichwa ngumu,sasa nifanyeje hakanyiki.

Ngongo,

Nafahamu kwamba Lema ni mwanasiasa, tena mbunge wako kwahiyo una haki ya kumjadili kwa namna yoyote unavyoona inafaa, aidha kwa kumponda ama kumpongeza. Lakini kutokana na yanayojiri hapa JF tangu mwaka jana kabla ya uchaguzi hadi sasa, umeonekana kuwa upande mmoja tu-against Lema.

Honestly ningependa kufahamu tatizo lako na Lema ni nini? nitashukuru kama utanifahamisha mkuu, isijekuwa ninakuchukulia ndivyo sivyo, ni hilo tu mkuu.
 
Masikini Musa Nkangaa enzi zake!!!!!!!!!!!!!!

Lakini hata hivyo kura za huyu bibie Buriani kamwe hazitokaa zitoshe n jinsi ilivyo Ngumu kwa swahiba wake Lowassa kuwa rais wa nchi hii.

Hakika kwa jinsi ninvyowafahamu vichwa vyao watu wa A-Town, pamoja n ukweli kwamba tayari rais Kikwete keshaagiza 'Wale Wazee wa Zamani' kufanyike kila kinachowezekana Lema asiwe Mjengoni Dodoma, nguvu hizi kwa kweli kuna HATARI kubwa zikamg'o mwenyewe huyu mchimba kaburi kwa Kamanda Lema. Mpango mzima tuno tayari mkononi utakavyokua hadi mwisho.

Ni mizani kati ya People's Power dhidi ya Ikulu's Power. Sote tukae vizuri kuanza kutazama hii Cinema ya Arusha ambayo tayari majibu yake au matokeo tunayo KAMA ILIVYOPANGWA hata kabla ya kesi kunza.

Ni sinema tu hakuna kesi hapo tena amini msiamini.

Ile kesi ya kupinga matokea ya ubunge wa Arusha mjini iliyofunguliwa na Musa mkangaa na wenzanke zidi ya kamanda Godbless Lema, mkurungezi wa manispaa ya Arusha na mwanasheria itaanza kuunguruma leo...

Katika matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba, mwaka jana, Lema, alimbwaga kwa kura nyingi aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Batilda Burian.

Lema alipata kura 56,196 na Dk. Burian aliambulia kura 37.460......nitawajuza zaidi kinachoendelea
 
Masikini Musa Nkangaa enzi zake!!!!!!!!!!!!!!

Lakini hata hivyo kur za huyu bibie hazikaa zitoshe kwa jinsi ninvyowafahamu vichwa vya watu wa A-Town japo Kikwete tayari kaagiza kufanyike kila kinachowezekana Lema asiwe Mjengoni Dodoma.

Ni mizani kati ya People's Power dhidi ya Ikulu's Power. Sote tukae vizuri kuanza kutazama hii Cinema ya Arusha ambayo tayari majibu yake au matokeo tunayo KAMA ILIVYOPANGWA hata kabla ya kesi kunza.

Ni sinema tu hakuna kesi hapo tena amini msiamini.
Yaani sasa hivi wana muwinda kishenzi mbaya zaidi wanao tumika ni hawa wajinga wanao jiita usala wa taifa....
 
Akili yako ndogo ndiyo maana kazi ya uratibu wa mbunge imekushinda.Umeshindwa kuelewa Jaji kakubali hoja za wakili wa upande wa mashtaka !Najua hauko tayari kuwaambiwa mashabiki wasichopenda kusikia.Ngoja nikufafanulie kidogo Dr Batilda akitinga mahakamani na akawa tayari kupima vipimo vya DNA na ikithibitika kwamba Lema alikuwa akimzushia uongo [Defamation] unadhani nini kitafuata !.Crashwise sidhani kama kuna mtu mwenye akili nzuri atapinga mageuzi ninachokataa ni kuburuzwa na wajinga.

Niko mbali lakini tayari nimebaini mambo si mazuri kwa Lema bwahaa haaa.Umejitahidi kuficha lakini wenye akili zetu tumeguindua nini kimejiri leo huko Arusha.

....jaji kawa shauri waliofungua kesi wamrete batilda mwenyewe na awe tayari kupima vipimo vya DNA kuzipitisha kama mtoto ni wa baba husika...kesho itaendelea tena ila itakuwa chemba
 
Akili yako ndogo ndiyo maana kazi ya uratibu wa mbunge imekushinda.Umeshindwa kuelewa Jaji kakubali hoja za wakili wa upande wa mashtaka !Najua hauko tayari kuwaambiwa mashabiki wasichopenda kusikia.Ngoja nikufafanulie kidogo Dr Batilda akitinga mahakamani na akawa tayari kupima vipimo vya DNA na ikithibitika kwamba Lema alikuwa akimzushia uongo [Defamation] unadhani nini kitafuata !.Crashwise sidhani kama kuna mtu mwenye akili nzuri atapinga mageuzi ninachokataa ni kuburuzwa na wajinga.

Niko mbali lakini tayari nimebaini mambo si mazuri kwa Lema bwahaa haaa.Umejitahidi kuficha lakini wenye akili zetu tumeguindua nini kimejiri leo huko Arusha.
kinachofata akafungue kesi ya madai....au ulikuwa unataka kusemaje
 
Niko mbali lakini tayari nimebaini mambo si mazuri kwa Lema bwahaa haaa.Umejitahidi kuficha lakini wenye akili zetu tumeguindua nini kimejiri leo huko Arusha.
Mchezo unaocheza ni wakitoto sana kama usalama wa kikwete wanavyotega mitego yao.....
 
Niko mbali lakini tayari nimebaini mambo si mazuri kwa Lema bwahaa haaa.Umejitahidi kuficha lakini wenye akili zetu tumeguindua nini kimejiri leo huko Arusha.
Huwa najiuliza imekuwaje umeruhusu kuwa mtumwa wa Lema kiasi hiki.
 
Mwita Maranya.

Mkuu kuna sehemu nimewahi kumuunga mkono Lema tena ukitaka ushahidi nitakuletea.Lema alipotangazwa mshindi nilimpongeza.Kuna thread ililetwa hapa jamvini ikimushisha Lema na utajiri niliipinga tena kwa mifano hai.

Mkuu mtu unayemchukia unaweza kumwandalia nondo za uhakika tena ambazo zinaweza kumyanyua kisiasa rejea issue ya General Tyre.

[1] Kifupi sana ugomvi wangu na Lema ulianza pale alipomnadi diwani wa CCM kata ya Sombetini Bwana Mawazo.Bwana Mawazo alikuwa diwani wa TLP akshiriki kumchomoa kipindi hicho Lema alikuwa mwenyekiti wa umoja wa vyama vya upinzani Arusha.

[2] Wakati wa kampeni Lema alidanganya anayo elimu ya juu Advance Diploma in Human Resource Managemant jambo ambalo si kweli hata kidogo.Kabla ya hapo mwaka 2005 aligombea ubunge kwa tiketi ya TLP alidai ana Diploma ya Theolojia.Mwaka 2010 akadai ana ADHRM mwaka na chuo alichosoma havijulikani wala hataki kuvitaja.Mashabiki wake wakaja na utetezi dhaifu kwamba alisoma IAA nilipowastua IAA hakuna kozi ya namna hiyo wakakimbila kutaja vyuo vya nje !.Haya mambo yakifanywa na kiongozi ambaye si mwanaCDM tunakuwa huru kujadili bila mizengwe lakini jambo kama ili likitokea kwa mbunge wa Magwanda ukijaribu kujadili utaambiwa una roho mbaya,una wivu wa kike,mbona unamfuata fuata Lema !!!!!!.

Mwita Maranya umeuliza nimekujibu kama ulikuwa unataka sababu natumaini umejua lakini kama ulitaka kwaajili ya kejeli nitakuwa nimepoteza muda wangu bureeeeee.Ukimaliza niambie nitakupa nyingine leo nimeanza na hizi chache.

Ngongo,

Nafahamu kwamba Lema ni mwanasiasa, tena mbunge wako kwahiyo una haki ya kumjadili kwa namna yoyote unavyoona inafaa, aidha kwa kumponda ama kumpongeza. Lakini kutokana na yanayojiri hapa JF tangu mwaka jana kabla ya uchaguzi hadi sasa, umeonekana kuwa upande mmoja tu-against Lema.

Honestly ningependa kufahamu tatizo lako na Lema ni nini? nitashukuru kama utanifahamisha mkuu, isijekuwa ninakuchukulia ndivyo sivyo, ni hilo tu mkuu.
 
Kesi iliyoko mahakamani ni kesi ya ubunge kama ni kesi ya madai Jaji alipaswa kuifuata kesi na kuwaamuru walalamikaji kama hawakuridhika wafungue kesi ya madai.Jaji hana sababu za msingi kuwaamuru walalamikaji wamwite Dr Batilda wakati anajua kesi iliyoko mbele yake haina nguvu za kisheria za kuendela kuisikiliza.Crashwise tumia akili za kawaida muzeee wewe ni mratibu wa mbunge jambo dogo kama hili umeshindwa kulidadavua ndiyo maana Lema anazidi kupwaya kumbe wasaidizi wake hamna kitu kichwani.

kinachofata akafungue kesi ya madai....au ulikuwa unataka kusemaje
 
Kati yangu mimi na wewe nani mtumwa wa Lema ebu pekua kamusi yako tafuta maana ya neno mtumwa labda unazungumza jambo usilojua.

Huwa najiuliza imekuwaje umeruhusu kuwa mtumwa wa Lema kiasi hiki.
 
Huyu ndiyo mratibu wa mbunge wa Arusha Mheshimiwa Lema wakati mwingine namlaumu Lema bure kumbe wasaidizi wake wanastahili lawama !.Unajua jambo unaloshabikia au ndiyo ulimbukeni.

Mleteni kesho batilda tumpime DNA kama mtoto siyo wa yule msomali....
 
Mkuu tutajua kesho kama ngoma inatupwa au inaendela ingawa jamaa wa CCM walikuwa wamebanwa sana...
Well done.......! appreciated. nakushukuru sana kamanda Crashwise kwa jinsi unavyotuweka updated. Kwangu mimi hii ndo msg ya kuijibu baada ya kufuatilia mtirirko wa taarifa,zingine zote zipo nje ya "fact in issue". jioni njema na tunakutegemea tena kesho mechi ikianza.
 
Mwita Maranya.

Mkuu kuna sehemu nimewahi kumuunga mkono Lema tena ukitaka ushahidi nitakuletea.Lema alipotangazwa mshindi nilimpongeza.Kuna thread ililetwa hapa jamvini ikimushisha Lema na utajiri niliipinga tena kwa mifano hai.

Mkuu mtu unayemchukia unaweza kumwandalia nondo za uhakika tena ambazo zinaweza kumyanyua kisiasa rejea issue ya General Tyre.

[1] Kifupi sana ugomvi wangu na Lema ulianza pale alipomnadi diwani wa CCM kata ya Sombetini Bwana Mawazo.Bwana Mawazo alikuwa diwani wa TLP akshiriki kumchomoa kipindi hicho Lema alikuwa mwenyekiti wa umoja wa vyama vya upinzani Arusha.

[2] Wakati wa kampeni Lema alidanganya anayo elimu ya juu Advance Diploma in Human Resource Managemant jambo ambalo si kweli hata kidogo.Kabla ya hapo mwaka 2005 aligombea ubunge kwa tiketi ya TLP alidai ana Diploma ya Theolojia.Mwaka 2010 akadai ana ADHRM mwaka na chuo alichosoma havijulikani wala hataki kuvitaja.Mashabiki wake wakaja na utetezi dhaifu kwamba alisoma IAA nilipowastua IAA hakuna kozi ya namna hiyo wakakimbila kutaja vyuo vya nje !.Haya mambo yakifanywa na kiongozi ambaye si mwanaCDM tunakuwa huru kujadili bila mizengwe lakini jambo kama ili likitokea kwa mbunge wa Magwanda ukijaribu kujadili utaambiwa una roho mbaya,una wivu wa kike,mbona unamfuata fuata Lema !!!!!!.

Mwita Maranya umeuliza nimekujibu kama ulikuwa unataka sababu natumaini umejua lakini kama ulitaka kwaajili ya kejeli nitakuwa nimepoteza muda wangu bureeeeee.Ukimaliza niambie nitakupa nyingine leo nimeanza na hizi chache.

Ngongo nakushukuru sana kwa maelezo yako, kwa hali hii ni lazima nikiri kwamba wewe ni mtu wa karibu sana, tena sana na Lema.

Kwanini hukujaribu kumweleza udhaifu wake kabla hujaamua kuja kumlalamikia hapa jamvini? Huoni kwamba ukaribu wako ungekuwa wa manufaa kama ungemwelewesha udhaifu wake na namna ya kujirekebisha? yeye kama walivyo binadamu wengine, kufanya makosa ni sehemu ya maisha.

Kama kumbukumbu yangu bado iko vizuri issue ya general tyre Lema ameizungumzia akiwa mbunge tayari, sasa kama alikuamini hadi kuendelea kukutumia kutokana na ukaribu wenu na uaminifu wake kwako, inbakuwaje tena unamgeuka namna hii?

Suala la mawazo nakubaliana nawe kwamba haikuwa sahihi kwa Lema "kumuuza" kwa magamba lakini napata shida kukuelewa na kuelewa mantiki ya kusema Lema alimuuza mawazo kwa magamba, kwa bei gani? mawazo hawezi kufanya uamuzi wake binafsi hadi Lema amuamlie? na kama mawazo anafanya kile Lema anachomuelekeza, mbona sasa bado yuko chama cha magamba na hajaungana na Lema Chadema? ama unataka kunithibitishia kwamba Lema hajamshauri mawazo kuhamia chadema?
 
Back
Top Bottom