Kesi ya Kiongozi Uamsho: Mawakili watishia kujitoa, Sheikh Farid anyolewa ndevu...

Wawaongezee na kosa la uhaini pia ili wanyongwe maana wanataka kujitangazia jamhuri ndani ya jamhuri. Pia kosa la ugaidi liongezwe. Kuchoma makanisa ni ugaidi.
Kesi imetajwa leo katika mahakama ya Mwanakwerekwe na kisha ikahamishiwa katika mahakama ya Vuga.

Mawakili wametishia kujitoa katika kesi hyo kwa madai ya usumbufu wanaoupata wateja wao. Mawakili hao ni Salim Tawfik na Abdallah Juma wanaowawakilisha Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake sita. Leo hii wamesusa kabisa kuingia mahakamani na wamesema wanakusudia kujitoa kutokana na uusmbufu wanaofanyiwa wateja wao wa kuhawangaisha.

Na sasa hivi mawakili hao wameshaondoka na watuhumiwa ndio wanafikishwa mahakamani wakiwa wamenyolewa ndevu zote wakiwa mahabusu. Kesi leo inatarajiwa kutolewa maamuzi ya masharti ya dhamana yaliyokuwa yanapingwa na mawakili wa utetezi ambao wameshaondoka mahakamani hapa.

Hatujui nini kitaendelea tena maana watu wamezuiliwa kuingia katika eneo la mahakamani. Nikipata updates nitawajulisha

Updates:
406877_300222736744489_1479620875_n.jpg

Mawakili wakisoma tamko la kutaka kujitoa kabla hawajaondoka mahakamani hapo.

293737_300224926744270_948112269_n.jpg

Sheikh Farid akiwa kanyolewa ndevu akiwasili mahakama ya Vuga leo.

MORE UPDATES:

Sheikh Farid na wenzake wasomewa mashtaka mapya:
1) Kusababisha uvinjifu wa amani zanziba
2) Kusababisha uharibifu wa mali kisiwani zanzibar kutokana na vurugu
3) Kushawishi na kuchochea vurugu zilizosababisha kuhatarisha maisha ya watu na serikali kuingia hasaraK

Aidha mtuhumiwa mmoja anatuhumiwa kumtukana Kamishna wa Polisi Zanzibar Musa Ally Musa

washtakiwa wote wamenyimwa dhamana kwani ni Jaji pekee ndie anayeweza kutoa dhamana kwa makosa yao lakini wana haki ya kukata rufaa kudai dhamana katika mahakama ya juu.
 
taratibu za Maabusu zinabaki palepalee anaweza ficha cyanide kwenye ndevu halafu asingizie kanyeshwa! hakuna compromise kwa hilo hata kiduchu! BTW atamaliza sabuni na kutumia maji za mengi ya chuo cha Mafunzo huko mahabusu!
 
Kesi imetajwa leo katika mahakama ya Mwanakwerekwe na kisha ikahamishiwa katika mahakama ya Vuga.

Mawakili wametishia kujitoa katika kesi hyo kwa madai ya usumbufu wanaoupata wateja wao. Mawakili hao ni Salim Tawfik na Abdallah Juma wanaowawakilisha Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake sita. Leo hii wamesusa kabisa kuingia mahakamani na wamesema wanakusudia kujitoa kutokana na uusmbufu wanaofanyiwa wateja wao wa kuhawangaisha.

Na sasa hivi mawakili hao wameshaondoka na watuhumiwa ndio wanafikishwa mahakamani wakiwa wamenyolewa ndevu zote wakiwa mahabusu. Kesi leo inatarajiwa kutolewa maamuzi ya masharti ya dhamana yaliyokuwa yanapingwa na mawakili wa utetezi ambao wameshaondoka mahakamani hapa.

Hatujui nini kitaendelea tena maana watu wamezuiliwa kuingia katika eneo la mahakamani. Nikipata updates nitawajulisha

Updates:
406877_300222736744489_1479620875_n.jpg

Mawakili wakisoma tamko la kutaka kujitoa kabla hawajaondoka mahakamani hapo.

293737_300224926744270_948112269_n.jpg

Sheikh Farid akiwa kanyolewa ndevu akiwasili mahakama ya Vuga leo.

MORE UPDATES:

Sheikh Farid na wenzake wasomewa mashtaka mapya:
1) Kusababisha uvinjifu wa amani zanziba
2) Kusababisha uharibifu wa mali kisiwani zanzibar kutokana na vurugu
3) Kushawishi na kuchochea vurugu zilizosababisha kuhatarisha maisha ya watu na serikali kuingia hasaraK

Aidha mtuhumiwa mmoja anatuhumiwa kumtukana Kamishna wa Polisi Zanzibar Musa Ally Musa

washtakiwa wote wamenyimwa dhamana kwani ni Jaji pekee ndie anayeweza kutoa dhamana kwa makosa yao lakini wana haki ya kukata rufaa kudai dhamana katika mahakama ya juu.

Kazi ya wakili ni kumsemea, kumwakilisha na kumtetea mteja; wala si kuchagua MAHAKAMA au kesi iamriwe wapi. Mawakili wengi ni wasanii, hata kama kesi utashindwa watakupa moyo na kula ela yako. Hawa mawakili wamesoma alama za nyakati wakaona mbeleni mziki mzito. Acheni hizo, kama ni usumbufu si ndio ela yako ya uwakili inaongezeka!
 
Nashauri ulinzi uimarishwe kwenye mahabusu walipo hao magaidi, maana nasikia wafuasi wao wanamabom tayari...kwa kuanzia wamemlipua katibu wa BAKWATA Arusha.
 
Kumbe akinyoa ndevu ni mzuri hivyo eee!!!!!! Wa mombasa wakimuona itakuwa vp hapo yaheeeee
 
MBONA Vidole viwili juu jamani?.............Ndo alama ya uamsho hiyo au?
 
huyu Farid......ni mshenzi tu wa tabia kutumia dini
kujitafutia umaarufu katika jamii huku akiwatia
raia katika kadhia kwa sababu ya upumbvau wake
 
Amenyolewa ndevu kapendeza kweli. Ngoja nimtonye Cameroon aje amshughulikie hapo gerezani!
 
safi.... kumbe serikali ipo sasa inafanya kazi... na huyu ponda naye aendelea kuwa huko huko ..tuendele kuishi kwa amani mana sasa hata kusalimiana na muislam unaogopa ... dah haya hayakuwepo na hatukuzoea tz.
 
Kesi imetajwa leo katika mahakama ya Mwanakwerekwe na kisha ikahamishiwa katika mahakama ya Vuga.

Mawakili wametishia kujitoa katika kesi hyo kwa madai ya usumbufu wanaoupata wateja wao. Mawakili hao ni Salim Tawfik na Abdallah Juma wanaowawakilisha Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake sita. Leo hii wamesusa kabisa kuingia mahakamani na wamesema wanakusudia kujitoa kutokana na uusmbufu wanaofanyiwa wateja wao wa kuhawangaisha.

Na sasa hivi mawakili hao wameshaondoka na watuhumiwa ndio wanafikishwa mahakamani wakiwa wamenyolewa ndevu zote wakiwa mahabusu. Kesi leo inatarajiwa kutolewa maamuzi ya masharti ya dhamana yaliyokuwa yanapingwa na mawakili wa utetezi ambao wameshaondoka mahakamani hapa.

Hatujui nini kitaendelea tena maana watu wamezuiliwa kuingia katika eneo la mahakamani. Nikipata updates nitawajulisha

Updates:
406877_300222736744489_1479620875_n.jpg

Mawakili wakisoma tamko la kutaka kujitoa kabla hawajaondoka mahakamani hapo.

293737_300224926744270_948112269_n.jpg

Sheikh Farid akiwa kanyolewa ndevu akiwasili mahakama ya Vuga leo.

MORE UPDATES:

Sheikh Farid na wenzake wasomewa mashtaka mapya:
1) Kusababisha uvinjifu wa amani zanziba
2) Kusababisha uharibifu wa mali kisiwani zanzibar kutokana na vurugu
3) Kushawishi na kuchochea vurugu zilizosababisha kuhatarisha maisha ya watu na serikali kuingia hasaraK

Aidha mtuhumiwa mmoja anatuhumiwa kumtukana Kamishna wa Polisi Zanzibar Musa Ally Musa

washtakiwa wote wamenyimwa dhamana kwani ni Jaji pekee ndie anayeweza kutoa dhamana kwa makosa yao lakini wana haki ya kukata rufaa kudai dhamana katika mahakama ya juu.

Kweli huyu ni FARID? Hapo kwenye PICHA HIYO Anaonekana zaidi kama MWARABU
 
Mbinu za shekh Farid anazozitumia kutimiza malengo yake ya kisiasa ni mbinu za hali ya juu na ni za kigaidi,mi naamini serikali ilihusika katika utekaji wa Dr Ulimwomboka,lkn la huyu shekhe,ni kwamba alijificha makusudi ili atengeneze hali ya sintofahamu,na hatimae aendelee na mpango wake aliotoka nao Yemen.Watanzania tuwe makini.
 
Back
Top Bottom