Kesi ya Kiongozi Uamsho: Mawakili watishia kujitoa, Sheikh Farid anyolewa ndevu...

Namfahamu vizuri sana Salum Tawfik , ni wakili makini sana tuombe tu haki itendeke.

kwani kuwanyoa ndevu ni kinyume cha sharia kwani hao bado ni watuhumiwa tu mpaka mahakama itakapowatia hatiani.

napinga kwa nguvu zote kulazimishwa au kunyolewa ndevu zao wakiwa ni watuhumiwa (kama kweli wamenyolewa ndevu isije kuwa ni manjonjo tu ya computer
)
 
Back
Top Bottom