Kero: Nataka nimzabe kibao huyu binti sababu ananishawishi

Mkuu epuka hilo jaribu....juzi tu mjengoni walipitisha Sheria yenye meno.....
 
mzabe fimbo za kutosha za makalioni ili aelewe. Hujasema yeye alikufamuje wakati wewe humjui? au ushapita ukasahau?
 
makonda ndio anatafuta watu kama wewe sina hakika kama wee ni mzima,mi ningeshakula mzigo zamani sana
 
hamzabi kama mnavofikir ni kumzaba kiutu uzima tehteheteheeee....Ila ngono acha iitwe ngono
 
Kama kweli una lengo zuri na huyo binti hakika utayashinda yote hayo lakini kama unasema hapa wakati pengine ulishafanya yako ni shida, kwa jambo kama hilo sidhani kama linahitaji kutafuta ushauri humu ndani, ni wewe mwenyewe tu kujua namna ya kumsaidia huyo binti ili amalize shule yake salama
 
Kama bado ni mwanajumuiya mwenzako nafikiri utakuwa umeshajua na familia yake, mtishe kuwa utaieleza familia yake na akipuuza ifahamishe familia yake wamdhibiti.
 
yan binti mdogo kama huyo ni wa kuanzisha thread humu? toa maamuzi ya kiutu uzima bhana. Akiendelea kuzingua tandika bakora
 
kakuona huna demu,,, na mtaani wanasema haudisi,,,,kanataka kuhakikisha....hahahahahaaa
 
wanaume bana tuna shida sana unaweza ukakuta binti wala hana time na wewe sema fikra zake tu ndio zinakupoteza
 
Aiseee! Kipind nikiwa mwl nakumbuka mkuu wa shule aliwahi nambia " hawa sio watoto wako,ukiwaheshimu kama wanao huko mtaani wanagongwa na watu wazima kuliko wewe hivyo tafuna ila utumie akili yakikukuta simo" tumia hako kamsemo aiseee ila uwe makini
Kuna kabinti nilikang'oa kwa gia hiyo!
Nilikuwa nakaona kama kadogo bt siku moja nikakaona kanaongozana na libaba kubwa Kunizidi hata mimi.
Nilisikitika sana kuwa mi nalea kumbe wenzangu wanafaidi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom