Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,756
- 1,733
gggggggggggggggggg
Hahahaaaa, mi nimemwelewa vibao anavyotaka kumzaba!!!!Haaaa...mpaka unamuanzishia thread umeshafeli, shetani anakaribia kukushinda
Mkuu kiukweli mi nataka nikapige hata kerebu mbili labda kataniogopaHaaaa...mpaka unamuanzishia thread umeshafeli, shetani anakaribia kukushinda
Mkuu huyu mtoto anatakiwa asome kwa faida ya maisha yake na famiia yake hapo badae.Katafune then acha nyoya mkuu.......
hahaaaaaa kaja kuweka ushahidi sio bureHaaaa...mpaka unamuanzishia thread umeshafeli, shetani anakaribia kukushinda
Nashukuru Mkuu kwa ushauri, ila nilichogundua ni kuwa, toka kanakuwa, kalikuwa kananisoma vizuri maana almost tunaishi Mtaa mmoja. Kwa kasi kalionayo nawaza Mengi sana hadi naogopa, jamani wazazi wanakazi sana.Kumpiga_si_suluhIsho.
Mwanamke_hapigwi,haijalishi_amefanya_kosa_gani.
Unachoweza_kufanya_ni_kutopokea_simu_wala_kutokujibu_messege_zake.
Itafikia_wakati_atachoka,Na_kitu_kizuri_atachoka_mapema_kwa_maana_umeshamkanya....Kwa_kutokujibu_text_na_calls_zake_atajua_tu_kuwa_hupendi_akusumbue,kuliko_kumpiga_inaweza_kukuungiza_matatizoni.
Ameshamshinda tayari mkuuHaaaa...mpaka unamuanzishia thread umeshafeli, shetani anakaribia kukushinda
Kama miezi mitatu imepita nilikutana na binti tukiwa kwenye jumuiya. Yeye ndo alinifata akaniomba namba, sikuwahi kumfahamu Ila yeye kumbe ananifahamu. Lengo la kuniomba namba ilikuwa nimsaidie kusolve kiissue flani maeneo ya ofisin kwangu.
Huyu binti yuko form four kwasasa. Baada ya kusolve tatizo lake, kuna siku aliniomba kuniona nikamkubalia akaja tukaongea, lengo lilikuwa kunishukuru kwa kumsaidia na ikumbukwe sikujua kama bado anasoma, ndio akaniambia yuko form four Ila umri wake ni 19, amechelewa kumaliza kutokana na matatizo ya kifamilia hapo nyuma.
KERO: Toka nikubali kuonana nae siku ile imekuwa kero, simu kila jioni nahisi akitoka shule, na kila weekend anataka kuonana na Mimi. Ananiita kaka. Nilimwambia mdogo wangu Mimi ni MTU mzima sasa ingawa sijaoa, so na jinsi unavokaa karibu na Mimi sio vizuri nitashawishika nikutafne iwe soo kwangu na kwako. Anasema Hamna tatizo yeye anajiamini kwasababu Mimi ni kama kaka yake.
Kwa akili yangu ya kuzaliwa inaonekana huyu Dogo analake jambo sio bure, ila tatizo ni mwanafunzi ambaye nahisi akiendelea hivi anaweza kufeli vibaya.
Nimeongea nae sana, ila inaonekana hasikii. Je nikimzaba vibao kama mdogo wangu nitakosea?