Kero: Nataka nimzabe kibao huyu binti sababu ananishawishi

Ni PM namba yake inbox nimfanyie psychotherapy. Tatizo lake ni dogo mno.
 
Nilimwambia mdogo angu mim ni mtu mzm sasa ingawa cjaoa ,so na jnc unavyokaa karb na mim co vzur nitashawishika NIKUTAFUNE iwe soo kwang na kwako.........haya bana we
 
Kumpiga_si_suluhIsho.
Mwanamke_hapigwi,haijalishi_amefanya_kosa_gani.

Unachoweza_kufanya_ni_kutopokea_simu_wala_kutokujibu_messege_zake.

Itafikia_wakati_atachoka,Na_kitu_kizuri_atachoka_mapema_kwa_maana_umeshamkanya....Kwa_kutokujibu_text_na_calls_zake_atajua_tu_kuwa_hupendi_akusumbue,kuliko_kumpiga_inaweza_kukuungiza_matatizoni.
Umeonekana leo eee... Nina kesi nawewe
 
Amekuona uko singo, na vyoyyote vile amehisi unatafuta MTU wa kudabo nae. Amekuona wewe, sasa ukiendelea kurespond appointment zake kivyako........it means na ww unampenda!
 
Every Girl isn't the same and Every Boy isn't the
Same..
Just because You have been Hurt by Someone,
Doesn't mean You have to punish the Whole World !
 
Aiseee! Kipind nikiwa mwl nakumbuka mkuu wa shule aliwahi nambia " hawa sio watoto wako,ukiwaheshimu kama wanao huko mtaani wanagongwa na watu wazima kuliko wewe hivyo tafuna ila utumie akili yakikukuta simo" tumia hako kamsemo aiseee ila uwe makini
Duh! huyo mkuu wa shule ni balaa. Atakuwa kawatafuna sana wanafunzi wake.
 
Ungekuwa ni wa kupiga mbona ushapiga siku nyingii? Umekuja kuomba mbinu za kumtafuna huyu mwanajumuiya mwenzio ila kwa kutumia akili za kiutu uzima! Nasubiri backup!
 
Kumpiga_si_suluhIsho.
Mwanamke_hapigwi,haijalishi_amefanya_kosa_gani.

Unachoweza_kufanya_ni_kutopokea_simu_wala_kutokujibu_messege_zake.

Itafikia_wakati_atachoka,Na_kitu_kizuri_atachoka_mapema_kwa_maana_umeshamkanya....Kwa_kutokujibu_text_na_calls_zake_atajua_tu_kuwa_hupendi_akusumbue,kuliko_kumpiga_inaweza_kukuungiza_matatizoni.
Hii "style" ya uandishi ndiyo naiona kwa mara ya kwanza!!
 
Kumpiga_si_suluhIsho.
Mwanamke_hapigwi,haijalishi_amefanya_kosa_gani.

Unachoweza_kufanya_ni_kutopokea_simu_wala_kutokujibu_messege_zake.

Itafikia_wakati_atachoka,Na_kitu_kizuri_atachoka_mapema_kwa_maana_umeshamkanya....Kwa_kutokujibu_text_na_calls_zake_atajua_tu_kuwa_hupendi_akusumbue,kuliko_kumpiga_inaweza_kukuungiza_matatizoni.
Ha haa ana maanisha amzabe vibao vya mahaba sio makofi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom