Namuonea huruma huyu binti

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,425
9,824
Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.

Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina ajira rasmi takribani miaka 6 sasa tangu nimehitimu chuo. Nahishi kwa kuungaunga tu na wala sioni dalili yoyote ya mambo yangu kutulia miaka ya hapa karibuni.

Ni binti anaevutia na anani-push sana tuishi pamoja yaani yale mahusiano rasmi. Kiukweli nampenda lakini nahisi nampotezea muda. Muda wote ambao yupo nami ambae bado nayumba kiuchumi angeweza kumpata mwanaume mwenye uwezo kiuchumi wakaishi pamoja.

Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote.
 
KAA CHINI JIFANYIE TATHMINI PENGINE UMEATHIRIKA KISAIKOLOJIA, KAMA BINTI WA WATU KAKAA NA WEWE MIAKA MIWILI NA UNAONA HAJAWAHI KUKUSALITI MZEE HUYO NDO WA KWAKO, UNAONEKANA WEWE NDO UNA TATIZO NA PENGINE MUNGU AKUFUNGULII RIZKI YA AJIRA KWAKUA UKIIPATA TU HUYO MUIRAQ UTAMTEMA, KAMA HAUMUHITAJI MUWEKE WAZI SIO USEME HAUNA KAZI UJIFANYE UNAMUONEA HURUMA KUMBE USHAMCHOKA.
 
Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.

Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina ajira rasmi takribani miaka 6 sasa tangu nimehitimu chuo. Nahishi kwa kuungaunga tu na wala sioni dalili yoyote ya mambo yangu kutulia miaka ya hapa karibuni.

Ni binti anaevutia na anani-push sana tuishi pamoja yaani yale mahusiano rasmi. Kiukweli nampenda lakini nahisi nampotezea muda. Muda wote ambao yupo nami ambae bado nayumba kiuchumi angeweza kumpata mwanaume mwenye uwezo kiuchumi wakaishi pamoja.

Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote.
Uza pumbu zako kama unapenda kuoa, unaogopa nini yumkini huna nguvu za kiume unaogopa nini kuoa?
 
KAA CHINI JIFANYIE TATHMINI PENGINE UMEATHIRIKIA KISAIKOLOJIA, KAMA BINTI WA WATU KAKAA NA WEWE MIAKA MIWILI NA UNAONA HAJAWAHI KUKUSALITI MZEE HUYO NDO WA KWAKO, UNAONEKANA WEWE NDO UNA TATIZO NA PENGINE MUNGU AKUFUNGULII RIZKI YA AJIRA KWAKUA UKIIPATA TU HUYO MUIRAQ UTAMTEMA, KAMA HAUMUHITAJI MUWEKE WAZI SIO USEME HAUNA KAZI UJIFANYE UNAMUONEA HURUMA KUMBE USHAMCHOKA.
Nasota kupata ajira tangu sijawa nae katika mahusiano.
 
ila sisi wanaume bana,

tusipopendwa tunalalamika, tukipendwa tunaanza kujiogopa

hatujui tunachokitaka

jiamini mkuu, huyo amekupenda jinsi ulivyo, ukimuacha utakuja kujuta

kakupenda pamoja na kufulia kwako, kapenda boga na ua lake....
Najua lazima nitajuta na nishajiandaa kisaikolojia lakini iyo ni kwa upande wangu vipi kuhusu yeye mkuu, huoni kama nampotezea muda
 
Humpendi huyo dada bora tu umwambie usimpotezee muda.
Sema chochote kulingana na mada husika usitumie hisia kuja na assumptions binafsi maana sio mara zote hisia zitakuambia ukweli. Mada inajieleza. Nampenda ila nahisi nampotezea muda kwa sababu sioni dalili za kuwa sawa kiuchumi hapa karibuni ili tuweze kuishi pamoja kama anavyotarajia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom