Kero: Nataka nimzabe kibao huyu binti sababu ananishawishi

Makubwa...kama hajui unapoishi si ubuloki namba yake, au kingine kipi unataka kwake???!!!!
Sihitaji chochote kabisaaa. Kama nilivyoeleza alinifahamu muda mrefu Mimi nikiwa simfahamu, na alinifahamu kwasababu tunaishi Mtaa mmoja. Wazazi wake wananifahamu na Mimi nawafahamu vizuri.
 
Hapo sasa unafunguka eeeh
Kwa hiyo kama hutaki, si unajua cha kufanya hadi ulengeshwe mimba na kumuoa ndio utajua kwanini anakusaka...anakupenda huyo.. itajua mwenyewe cha kufanya..na haujaoa hahahaaaaa
 
Kama miezi mitatu imepita nilikutana na binti tukiwa kwenye jumuiya. Yeye ndo alinifata akaniomba namba, sikuwahi kumfahamu Ila yeye kumbe ananifahamu. Lengo la kuniomba namba ilikuwa nimsaidie kusolve kiissue flani maeneo ya ofisin kwangu.

Huyu binti yuko form four kwasasa. Baada ya kusolve tatizo lake, kuna siku aliniomba kuniona nikamkubalia akaja tukaongea, lengo lilikuwa kunishukuru kwa kumsaidia na ikumbukwe sikujua kama bado anasoma, ndio akaniambia yuko form four Ila umri wake ni 19, amechelewa kumaliza kutokana na matatizo ya kifamilia hapo nyuma.

KERO: Toka nikubali kuonana nae siku ile imekuwa kero, simu kila jioni nahisi akitoka shule, na kila weekend anataka kuonana na Mimi. Ananiita kaka. Nilimwambia mdogo wangu Mimi ni MTU mzima sasa ingawa sijaoa, so na jinsi unavokaa karibu na Mimi sio vizuri nitashawishika nikutafne iwe soo kwangu na kwako. Anasema Hamna tatizo yeye anajiamini kwasababu Mimi ni kama kaka yake.

Kwa akili yangu ya kuzaliwa inaonekana huyu Dogo analake jambo sio bure, ila tatizo ni mwanafunzi ambaye nahisi akiendelea hivi anaweza kufeli vibaya.

Nimeongea nae sana, ila inaonekana hasikii. Je nikimzaba vibao kama mdogo wangu nitakosea?
Hahahaaa....naona vibao unazotaka kumzaba sio zakawaida...roho la uzinzi linakunyemelea...kimbia dhambi..
 
Aiseee! Kipind nikiwa mwl nakumbuka mkuu wa shule aliwahi nambia " hawa sio watoto wako,ukiwaheshimu kama wanao huko mtaani wanagongwa na watu wazima kuliko wewe hivyo tafuna ila utumie akili yakikukuta simo" tumia hako kamsemo aiseee ila uwe makini

Duuuh, huyo mwalimu wako mkuu ni kiboko...yaani kapinda kwelikweli. Kwahiyo, ikabidi ufungulie mbwa na kuanza kuwatafuna kondoo !!
 
Mkuu kimbia mbio. Huyo binti atakusababishia msala. Mpotezee haraka...usimruhusu tena akuzoee. Tell her you are busy na kwasababu wewe ni mfanyakazi ataelewa. Am smelling a rat...
 
Kumpiga_si_suluhIsho.
Mwanamke_hapigwi,haijalishi_amefanya_kosa_gani.

Unachoweza_kufanya_ni_kutopokea_simu_wala_kutokujibu_messege_zake.

Itafikia_wakati_atachoka,Na_kitu_kizuri_atachoka_mapema_kwa_maana_umeshamkanya....Kwa_kutokujibu_text_na_calls_zake_atajua_tu_kuwa_hupendi_akusumbue,kuliko_kumpiga_inaweza_kukuungiza_matatizoni.
Kumpiga vibao ametumia lugha ya picha tu mkuu,sanuka..
 
angalia watoto wa masolex kaa nao mbali miaka 30 we mpotezee tu fanya kama hujui kinaendelea
 
Kumpiga_si_suluhIsho.
Mwanamke_hapigwi,haijalishi_amefanya_kosa_gani.

Unachoweza_kufanya_ni_kutopokea_simu_wala_kutokujibu_messege_zake.

Itafikia_wakati_atachoka,Na_kitu_kizuri_atachoka_mapema_kwa_maana_umeshamkanya....Kwa_kutokujibu_text_na_calls_zake_atajua_tu_kuwa_hupendi_akusumbue,kuliko_kumpiga_inaweza_kukuungiza_matatizoni.
Unajifunza kuandika?
 
Wewe Tafuna mkuu. Unakapiga miti mandingo ya hatari, kenyewe kata punguza mihemko ya kifal*a fal*a
 
Kama miezi mitatu imepita nilikutana na binti tukiwa kwenye jumuiya. Yeye ndo alinifata akaniomba namba, sikuwahi kumfahamu Ila yeye kumbe ananifahamu. Lengo la kuniomba namba ilikuwa nimsaidie kusolve kiissue flani maeneo ya ofisin kwangu.

Huyu binti yuko form four kwasasa. Baada ya kusolve tatizo lake, kuna siku aliniomba kuniona nikamkubalia akaja tukaongea, lengo lilikuwa kunishukuru kwa kumsaidia na ikumbukwe sikujua kama bado anasoma, ndio akaniambia yuko form four Ila umri wake ni 19, amechelewa kumaliza kutokana na matatizo ya kifamilia hapo nyuma.

KERO: Toka nikubali kuonana nae siku ile imekuwa kero, simu kila jioni nahisi akitoka shule, na kila weekend anataka kuonana na Mimi. Ananiita kaka. Nilimwambia mdogo wangu Mimi ni MTU mzima sasa ingawa sijaoa, so na jinsi unavokaa karibu na Mimi sio vizuri nitashawishika nikutafne iwe soo kwangu na kwako. Anasema Hamna tatizo yeye anajiamini kwasababu Mimi ni kama kaka yake.

Kwa akili yangu ya kuzaliwa inaonekana huyu Dogo analake jambo sio bure, ila tatizo ni mwanafunzi ambaye nahisi akiendelea hivi anaweza kufeli vibaya.

Nimeongea nae sana, ila inaonekana hasikii. Je nikimzaba vibao kama mdogo wangu nitakosea?
kiukweli mkuu umeshatafuna huo mfupa,hapa unataka ututamanishe kwa kutupima akili zetu ili ujijue ulipo kama ulikosea ama lah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom