Kazi kwenu wapambe wa Wema Sepetu.

tena mi hapa hasira imezidi kupanda manake naona kama anatuchezeya huyu!sasa mwaJ nawe si unajua idara yako kwenye wizara hii ya misuto na misutano ni ile idara ya habari na mawasiliano?eti boss Madame B mbona kama mwaJ hawajibiki kazini?

mwaJ hawajibiki?
Au mamitumbo ndio B/F wake?

Shoga mwaJ kama unanisikia,shughulika na idara yako.
Andaa na lipstic na wanja kbs,usisahau na ile top ya pink.

Amelikoroga,
Asubiri kulinywa leo.
 
Last edited by a moderator:
Nimefika Kaizer hujambo wewe? Naburudika tu kwa kuwasoma cacico, snowhite na Madame B. Bado sijaelewa nani kawachokoza.

waooh
23_11_54.gif
mwaJ. Maadamu umefika, bhaaaas. Madame B na mwalimu wangu snowhite mniruhusu niingie chemba na mwaJ kidogo tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
tena mi hapa hasira imezidi kupanda manake naona kama anatuchezeya huyu!sasa mwaJ nawe si unajua idara yako kwenye wizara hii ya misuto na misutano ni ile idara ya habari na mawasiliano?eti boss Madame B mbona kama mwaJ hawajibiki kazini?

We snowhite mbona unanichongea kwa boss? Mie nimekwama kwenye foleni huku niliwafuata kina Gea hekaheka leo hawakuwa na usafiri. Tuko njia tunakuja.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahaha


shemeji si ni huyo kisarata wa mtaa, anayetuona watu wa chit chat vilaza ka jk! atukomeeeeeeeee ndio maana na yeye wa kule kuleeee, nasikia ni ndugu damu na okwi! yaani kwa kifupi anaweza kuwa na yeye stering wa kihindi!! hahahahahah wapi mrs govindaaaaa!!
 
Kweli unahitaji kushikwa, maana hiyo keyboard karibia itameguka. Japo sijamuelewa vizuri huyo alosema wana chit chat ni vilaza nadhani yeye ndio poyoyo kabisaa. Inaelekea hajui umuhimu wa hili jukwaa kwa afya ya akili za binadamu.

Yani acha tu,
Me kanichoma wewe kwani ukiangalia ndo nimetoka mashindanoni juzijuzi.

Leo ni kunyambwa mpaka sura ihamie magotini.
Afu ohoo hamna kazi,

Hebu Nishikeni jamani,
NAUAAAAAA....
 
huyo mjinga mjinga lazima avae pempas leo. Acheze na paka wa kufugwa ndani lakini si nyoka wa porini

Hehehehe mie yangu macho tu hapa manake hata sijui nini kinaendelea .....naogopa kudandia treni kwa mbele mie......acha niwe mtazamaji tu lol
 
Back
Top Bottom