Kazi kwenu wapambe wa Wema Sepetu.

matumbo omba msamaha kwa wenyeji wako humu. Umemuudhi sana Madame B na wengine wengi tu. Kumbuka thread iliyopo hapa haikuhusu wewe ni ya Wema Sepetu ila umeamua kuteka jukwaa.

niombe msamaha kwani nimekosea nini??....anza kuisoma sredi toka mwanzo alafu uone nani mchokozi na anaelazimisha ugomvi..ata ivyo nilishatoa onyo kabla,wakanipuuza..sasa nikalusha vibomu viwili tu watu jana wameshindwa hadi kula.je ningeendeleza mabomu yaliyo baki??

mie ndio inabidi kuombwa msamaha kwa matusi wanayotukana kama wamekosa malezi.
 
Loooh!! Mwanaizaya mkubwa wewe!!
Nani kaogopa vibomu vyako Uchwara humu?

Hakuna anaekuogopa Katuni kama wewe.
Hapo kwenye Bold hata Uzikili Uc.hi hakuna wa kukuomba Msamaha Bw.ege kama wewe.

Rusha Mabomu mengine,niyafumbate kifuani mwangu.
Na Malezi tumeyapta na ndo Mana Mpaka leo tuko Majumbani mwetu,cjui wewe Unaetafuta Bwana wakati ni mwanaume.
 
mkuu tusivunjiane heshima....hao wenzio niliwaonya kwanza kabla sijawahalibia,hawakunisikia,yasingefika hapa..sitaki tena ugomvi na mtu.

We Mi matumbo uliyemuharibia humu nani?
LAKO HILO.
MANENO KUNTU!!
 
Last edited by a moderator:
Loooh!! Mwanaizaya mkubwa wewe!!
Nani kaogopa vibomu vyako Uchwara humu?

Hakuna anaekuogopa Katuni kama wewe.
Hapo kwenye Bold hata Uzikili Uc.hi hakuna wa kukuomba Msamaha Bw.ege kama wewe.

Rusha Mabomu mengine,niyafumbate kifuani mwangu.
Na Malezi tumeyapta na ndo Mana Mpaka leo tuko Majumbani mwetu,cjui wewe Unaetafuta Bwana wakati ni mwanaume.
huyu mpuliza moto hajakoma tu!analo analolitafuta!
 
Yaani shoga an'gu Arabela nakishangaa kimtu kimoja humu ndani.
Jana kajidai kuleta nyodo,leo vigimbi juu juu kuja kusapoti thread ya mwana Chitchat mwenzetu.

Babu wee ChitChat ni Kama Maji Usipoyanywa,Utayaoga, kiko wapi sasa,Karudia matapishi yake.

Heheheeeee!!!
Halooooo!!!
Ukiujua Huu, Wenzako tunaujue Ule,
Mbona umekuja,kakuita nani???

Nashanga, una simu,lakini Hupigiwi wala Hutumiwi Sms,
Kaogeeee....!!!!

Sura nzito kama unapiga chafya.

Tuachie babu we na ChitChat yetu.
Eti ohooo Madame B huujui mji,kasema nani?
Kwa taarifa yako,Nimezaliwa Muhimbili,na kitovu changu kimezikwa TuaTugawe.
Utajijua wewe uliyezaliwa Porini na kitovu kimeliwa na changarawe.

Halooooo!!!
Tupishe Sie,wapi mchele wa Kitumbo na matumbo ya Samaki.
HUTAKI,UNAACHA!!

I salute you Madame B
 
mkuu tusivunjiane heshima....hao wenzio niliwaonya kwanza kabla sijawahalibia,hawakunisikia,yasingefika hapa..sitaki tena ugomvi na mtu.

Mtu mzima hatishiwi nyau..Unijui,so usijiamini kivile.
Kwa taarifa hakuna wa kukuomba msamaha humu.
Kama hutaki ugomvi na mtu kaa pembeni hakuna hatakae kufata.
 
314183_380651215338989_325832894_n.jpg
 
Back
Top Bottom