Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,288
- 9,923
Binafsi nimemsikiliza Jussa akihojiwa na Mlimani TV sababu za kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa uzini amesema na wakazi wengi wa Uzini kwanza ni wakristo na si waislam na wana asili ya bara hivyo hawakupoteza muda kufanya kampeni ya nguvu.
Kikweli naona CUF wamechanganyikiwa au Jussa ni mpotoshaji mkubwa.
Kikweli naona CUF wamechanganyikiwa au Jussa ni mpotoshaji mkubwa.
Haya wadau evidence hii hapo chini - maneno ya jussa mwenyewe!!
[video=youtube_share;agep7E2bafk]http://youtu.be/agep7E2bafk[/video]