wadau nami nimemuona live runingani mlimani akisema maneno hayo. nimemshangaa sana. kweli huyu ni mwanasharia. tendwa angekuwa makini na majukumu yake, walahi chama hiki kichovu angekifuta kesho. yaani hatimaye wamedhihirisha sera yao. barubaru upo au wala halua umangani?
Mkuu wangu Tendwa anapaswa sasa kutumia mamlaka yake kwa hawa wavuruga amani ya Taifa.Wabaguzi wa hali ya juu na walaghai wakubwa.