Kauli za Jussa juu ya uchaguzi wa Uzini ni hatari kwa umoja wa kitaifa!

Nimerecord clip ya ushahidi wa aliyoyasema. Ni kweli kabisa kayasema hayo. Kesho nitaipost humu hiyo clip, leo cwez natumia cmu
 
Katika taarifa ya habari ya Mliman TV Ismail Ladhu Jussa yule naibu katibu mkuu wa Cuf Tanzania Zanzibar amekiri kuwa chama chao kimeshindwa uchaguzi mdogo wa uwakilishi kule uzini kwa sababu wakazi wengi wa jimbo lile ni wakristu tena wanatoka bara. Maana yake ni kwamba wangekua waislamu basi wangekipigia kura chama chao cha CUF.
 
..sasa mbona aliyeshinda siyo Mkristo au mwenye asili ya Tanganyika?

..I dont think Jussa can be that shallow. Ningefurahi sana kama ungetuletea hayo mahojiano na sisi tupate kumsikia.

wadau nami nimemuona live runingani mlimani akisema maneno hayo. nimemshangaa sana. kweli huyu ni mwanasharia. tendwa angekuwa makini na majukumu yake, walahi chama hiki kichovu angekifuta kesho. yaani hatimaye wamedhihirisha sera yao. barubaru upo au wala halua umangani?
 
Binafsi nimemsikiliza Jussa akihojiwa na Mlimani TV sababu za kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa uzini amesema
wakazi wengi wa uzini kwanza ni wakristo na si waislam na wanaasili ya bara hivyo hawakupoteza muda kufanya kampeni ya nguvu.
Kikweli naona Cuf wamechanganyikiwa.

Huyu Jussa ni mtu wa hovyo kabisa katika Taifa letu.Huyu ni janga la Taifa
 
Kwa kile alichokitamka toka kinywa chake ndiyo maana yake na nimerudia kuangalia tena tarifa ya saa tatu nimejiridhisha

Msajili wa vyama vya kisiasa anapaswa awe makini sana na wanasiasa wa ajabu kama huyu Jussa
 
Kama umepata wasaa mliani tv wairudia hii kitu kwenye taarifa ya saa tatu na nusu

Nimeiangalia mkuu na nimewaita majirani rafiki zangu wa CCM nao waone hakika kila mtu amefunga mdomo kwa masikitiko.Haikutarajiwa Mtanzania atoe maneno ya kibaguzi kama hayo
 
Kwa kile alichokitamka toka kinywa chake ndiyo maana yake na nimerudia kuangalia tena tarifa ya saa tatu nimejiridhisha

Ninaanza sasa kupata jibu kwanini vibanda vya Watanganyika na makanisa yanachomwa moto.Ni sababu ya wanasiasa wa hovyo kama huyu
 
Back
Top Bottom