Kauli za Jussa juu ya uchaguzi wa Uzini ni hatari kwa umoja wa kitaifa!

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,236
9,841
Binafsi nimemsikiliza Jussa akihojiwa na Mlimani TV sababu za kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa uzini amesema na wakazi wengi wa Uzini kwanza ni wakristo na si waislam na wana asili ya bara hivyo hawakupoteza muda kufanya kampeni ya nguvu.

Kikweli naona CUF wamechanganyikiwa au Jussa ni mpotoshaji mkubwa.

Haya wadau evidence hii hapo chini - maneno ya jussa mwenyewe!!

[video=youtube_share;agep7E2bafk]http://youtu.be/agep7E2bafk[/video]
 
..sasa mbona aliyeshinda siyo Mkristo au mwenye asili ya Tanganyika?

..I dont think Jussa can be that shallow. Ningefurahi sana kama ungetuletea hayo mahojiano na sisi tupate kumsikia.
 
Eeeh!!! Kwa hiyo alikuwa anaudhihilishia uma kwamba,CUF ni chama cha kiislam tu na si wakristo,anyway acha waendelee kujizika wenyewe.
 
Aiseeeeeeeeee........ kweli huyu ni 'mwanasharia' aliyebobea lol......
 
Binafsi nimemsikiliza Jussa akihojiwa na Mlimani TV sababu za kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa uzini amesema
wakazi wengi wa uzini kwanza ni wakristo na si waislam na wanaasili ya bara hivyo hawakupoteza muda kufanya kampeni ya nguvu.
Kikweli naona Cuf wamechanganyikiwa.

Haya ni maneno ya kiongozi kweli? Kwani CUF ni chama cha Kidini? Au ni chama cha visiwani pekee?
Kwanza mshindi si mkristo, na hata ukichanganya KURA za washindani wengine shiriki bado kura hizo hazifiki hata robo ya kura za mshindi. Sasa ni wakati wa kuukubali ukweli, na ukweli wenyewe ni kwamba ...
 
Binafsi nimemsikiliza Jussa akihojiwa na Mlimani TV sababu za kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa uzini amesema
wakazi wengi wa uzini kwanza ni wakristo na si waislam na wanaasili ya bara hivyo hawakupoteza muda kufanya kampeni ya nguvu.
Kikweli naona Cuf wamechanganyikiwa.
Kwa maana hiyo CUF ni chama cha kidini,ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha na bado ****** type!
 
Hakika nitaongea baada ya kupata uthibitisho wa hili jambo.Sidhani kama Jussa anaweza kujidhalilisha kwa kiwango hiki.
 
kayasema kweli nadhani taarifa ya habari ya mlimani tv itarudiwa saa tatu na nusu. Angalia kama hutamwana Jusa
 
tutaangalia kwenye mtandao wao wa mzalendo kama hizi pumba aliongea, halafu mimi nashangaa wananchi wa ZNZ wanajaza wahindi tu kwenye serikali haahhaaaa yaani......
 
uyu jamaa ana hoja akubali ameshindwa sasa uo ni upuuuzi gani anaongea anatafuta uharari hana wa hoja kisisasa acha dah! kweli ukiwa ujui ndo ivo tena:A S 465:
 
uyu jamaa ana hoja akubali ameshindwa sasa uo ni upuuuzi gani anaongea anatafuta uharari hana wa hoja kisisasa acha dah! kweli ukiwa ujui ndo ivo tena:A S 465:
Duh mkuu UYU JAMAA ANA HOJA.......
 
..sasa mbona aliyeshinda siyo Mkristo au mwenye asili ya Tanganyika?

..I dont think Jussa can be that shallow. Ningefurahi sana kama ungetuletea hayo mahojiano na sisi tupate kumsikia.

Hata mimi sikutegemea huwa namkubali sana jussa kwa kujenga hoja lakini leo nimemuona kama anajazba hivi.
 
..sasa mbona aliyeshinda siyo Mkristo au mwenye asili ya Tanganyika?

..I dont think Jussa can be that shallow. Ningefurahi sana kama ungetuletea hayo mahojiano na sisi tupate kumsikia.

wasiasa shikamooni!!!!!!!!!!!!!
 
Eeeh!!! Kwa hiyo alikuwa anaudhihilishia uma kwamba,CUF ni chama cha kiislam tu na si wakristo,anyway acha waendelee kujizika wenyewe.
hapo anasema CDM imeishinda Cuf kwa ukiristo ulionea. maana kuna makanisa mengi jimbo hilo
 
Binafsi nimemsikiliza Jussa akihojiwa na Mlimani TV sababu za kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa uzini amesema
wakazi wengi wa uzini kwanza ni wakristo na si waislam na wanaasili ya bara
hivyo hawakupoteza muda kufanya kampeni ya nguvu.
Kikweli naona Cuf wamechanganyikiwa.

Kwahiyo anasisitiza kwamba CUF ni chama cha waislamu tu?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom