Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

Sio lazima kila ccm akili kua hana akili kama alivyo fanya ndugu yao LUSINDE wengine utawajua hata kwenye comment zao! shame upon u ccm na rchuga tunachukua...yaani kumbe akili za nape zinaiishia hapo tu!!! ha ha haaa safarihii lazima mpoteane.
 
Kweli watanzania kwa sasa wana akili hivyo Nape uwe na hoja za msingi kwani hoja hizihizi mlizipeleka huko Arumeru na matokeo yake mmeyaona,toeni sera watu hawapo tena kihivyo nyie CCM na Nape
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Ccm tafutani sababu za kukosa mvuto kwa wananchi kwanza na siyo kupambana na wenye mvuto kwa wananchi. Kama ni hila mmefanya kwa Lema kumvua ubunge bado siyo suluhu.
 
chadema ndio itasahaulika kabisa kwani taarifa za kiintelijensia nilizonazo zinaelezwa kwamba baada ya uchaguzi wa 2015h mpango uliopo ni kuifuta chadema katika ramani ya dunia
Labda unamaanisha opposite of what u say
 
halafu we nape acha unafiki! huyo mume wako JK AKIONDOKA MADARAKAN WEWE UTAENDA WAPI? ARUSHA HAMTAIPATA HATA KWA DAWA ZA BABU WALOLIONDOOO NG'OOOOO! HAPA PIGA UA KWA TAARIFA YENU BASI.. KATI TA MAJIMBO AMBAYO MMEINGIA BILA VIATU NI ARUSHA.. HAKUNA ANAYETAKA HABARI YA UCCM WENU HAPA.. NI AFADHALI MTAFUTE JIMO LINGINE SIYO ARUSHA...........PUMBAFUUUUUUUUU!
 
Nnauye we mpumbafu....hivi unadhani roho zenu za kigamba za kinyama zitawafikisha wapi? Naomba ujaribu kufatilia mafundisho ya Biblia hasa hasa Ufunuo wa Yohana....huna jipya ila minyororo inakutesa ya utumwa wa shetani....kijana mdogo mfuate mungu. CHADEMA TUNARUDI MJENGONI KWA SURA YA G.LEMA. KINYONGO MWAKA HUU UTATUMBUKA UTUMBOOOOOO......CHADEMA UIPENDE NA UIPRAISE....
 
Ndugu, siasa imekugeuza mwehu. Nakuonea huruma,I know it's something above you,but again you let it in yourself. you made a wrong choice and you chose to live with it. It's going down with you,as a person I mean,not as a politician because you've never been a good politician anyway...
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
 
kudadaadeki! I dare to speak CCM hata wakimsimamisha nabii kama Yesu au Muhamadi hawashindi Arusha... Chezea vichwa vya Rchuga nyieee!

We Mpuuuzi nini?? Acha upumbavu wako kuwafaninisha manabii wa Mungu na Siasa za dunia,Acha tena nakwambia ushindwe na usije ukarudia tena kauli yako.. Wewe unataka kumfananisha Yesu au Mohamed S.A.W na Viongozi wa CCM au Chadema... Pumbazu zako na Mungu akulaani kama usipofuta kauli yako,mjinga wa akili na maarifa wewe...
 
Mimi sipendi kubishana na NAPE ila nadhani uwezo wake ni wa mashaka sana, na naona hiyo nafasi haitendei haki CCM lazima mabadiliko yaliyotokea SENEGAL na ZAMBIA hayazuilika hata kwa mtutu ya bunduki, haki mtachelewesha ila lazima itokee si mbali, NAPE c mnapenda watoto wa vigogo CCM kutuongoza sana? Nakumbia mwisho wenu tayari hakuna njia nyingine.
 
wananchi wanahitaji mabadiliko,wasipoyapata ndani ya CCM watayapata nje ya CCM
 
badala ya kuboresha mazingira ya kuwavutia watalii zaidi kuliko hata kenya,nyie kwenye vikao vyenu mnatoa sababu yalema
 
nafadhaishwa sana na comments za mtu wa hadhi ya katibu mwenezi wa chama kinachoongoza serikali kutoa matamko yenye utata kiasi hiki.
1. anataka kusema waliomchagua lema na chadema walidhamiria kudidimiza uchumi wa arusha
2. kwamba lema ana uwezo wa kuiendesha arusha kwa namna yoyote ile ikiwa ni pamoja na kuadhiri shughuli za uchumi wa jiji la arusha
3. lakini pia anataka kuushawishi uma kuwa hukumu hii ililenga kuiokoa arusha kiuchumi na si kukizi matakwa ya sheria za uchaguzi na kulinda demokrasia
4. anaona adui wa maendeleo ya mji wa arusha ni lema/chadema na sio sera muflisi za chama chao kushidwa kujibu shida na matatizo ya arusha kwa zaidi ya miaka50 ambayo cdm na lema hawakuwepo
5.ni dhahiri pia kuwa ulikuwa mkakati wa muda mrefu kuinyima fursa arusha ili baada ya hukumu ionekane kuwa chanzo ni lema na chadema
5. ni aina ya hukumu iliyopangwa na kuratibiwa vizuri na chama kupitia mahakama.

HATMA YA KUTENGUA UBUNGE WA LEMA
1. Nawashauri chdm wasikate rufaa ili uchaguzi mwingine ufanyike ndani ya siku 90 kwa mujibu wa katiba
2. nape awe kwenye listi ya kampeni ili aweze kueleza jinsi ccm itakavyofanya uchumi upae baada ya kumilikisha migodi ya madini kwa watu wa nje na kusafirisha nyara za nchi nje km twiga,chui na simba kwa kisingizio cha kuvutia wawekezaji
3. wafanye utafiti kujua kwa nini ccm imepoteza legitimecy kutoka mwisho wa wilaya ya mwanga hadi arusha
4. ni kwa nini ccm inafukuzwa maeneo ya mijini kwa njia za kudemokrasia kupitia sanduku la kura
5. je ccm bado ni chama cha wakulima na wafanyakazi na ni kitu gani kinawaunganisha wananchi na chama chao
6. wanatambua ni kwa kiasi gani chagizi ndogo zimetumika kuimarisha upinzani kuliko kukijenga chama chao
7. anatambua kuwa chaguzi ndogo zinapotokea ni fursa nzuri za kuongeza makundi makundi na kujeruhianaccm kuliko kuwaweka pamoja
7.anajua kuwa mwisho wa siku wananchi watataka kujua ccm imefanya nini iliongoza dola na sio chaguzi ngapi imeshiriki kabla ya 2015
 
Ndiyo, ccm wameweza.

hawawezi kitu,ata chadema wakisimamisha jiwe litapewa kura kuliko kutoa kura kwa magamba! mmebakia kutumia mahakama,na itakula kwenu,kitambulisho changu kile pale kwaajili ya cdm. peopl'sssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
sasa mkuu hizi gharama haziwaumizi kichwa? Ni watoto wangapi wanakaa chini kwa kukosa madawati?

CCM watajali saa ngapi suala la madawati na madawa hospitali? Suala la madawati wakisha waachia vodacom na nbm etc ili watangaze vizuri biashara zao. Serikali ilishajitoa kabisa kwenye mahitaji muhumu ya jamii. Hivyo gharama za uchaguzi wa kurudia rudia kila leo haziwaumizi kichwa! Yaani natamani kuwa-lusinde!
 
ccm mnafurahia arusha kutokua na mbunge na madiwani sio!natumai wakati wa kaskazini kuomba nchi yao umefika
 
Kwanza hao watalii wenyewe huwa wanapenda kukutana na Lema, Yaani Nape baada ya kushindwa kuwatoa gamba vigogo naona sasa anakaria kufikisha gamba shingoni mwake. A town imepanda sana chati baada ya Lema kuingia mjengoni. Safari hii chamtemakuni kitaonekana.
 
Back
Top Bottom