siku ya leo ndani ya wilaya ya kinondoni kulikuwa na kikao cha kamati ya ushauri cha wilaya yaani DCC, katika kikao hicho ambacho wajumbe wake nipamoja na vyama vya siasa waliyopo ndani ya wilaya husika.
kikao kilianza saa 9:30 asubuhi, kasheshe ilianza kwenye kupitisha agenda, ndipo alipo simama katibu wa chadema mkoa wa kinondoni bwana KILEWO, nanukuu maneno yake.
1. ndugu m/kiti kikao hiki kwa mujibu washeria nikikao batili mpaka sasa, kwanini nasema ni batili, nikwakuwa toka tulipo kutana hapa aprl mwaka jana ni mwaka mmoja na mwezi mmoja sasa, wakati kanuni na seria zinasema DCC ikutane mara 2 kwa mwaka.
2. nikwanini tunakaa DCC wakati tayari RCC imekwisha kukaa mara 2 mwaka huu yaani april na may? wakati kanuni na sheria zinasema DCC ndiyo inapswa kuiandaa RCC? huoni hapa tumekuja kupena posho na kuchekeana huku wananchi wetu wakiwa wanamambo ya msingi wakikosa fursa ya kusikilizwa?
3. DCC inapswa kukaa kabla ya baraza la bajeti la madiwani ili dcc ipendekeze mambo ya msingi yatakayo ingizwa kwenye vikao rasmi vya bajeti, maana hapa leo tutajadili bajeti ambayo imekwisha fanyiwa kazi na hatuwezi batilisha jambo lolote lile, mh m/kiti huu ni uvujanji mkubwa na matumizi mabaya ya fedha za wananchi wetu.
mimi ningependekeza kikao hiki kiahirishwe ilituondoke tusichukue hizi pesa za bure za wananchi wetu huu ni uhuni mnatufanyia. mwisho wa kunukuu.
majibu ya mkuu wa wilaya;
mbona mjumbe unaongea kwa jazba na huheshimu wakubwa zako? kilewo taarifa m/kiti futa kauli yako yakusema naonga kwa jazba kuheshimu wakubwa nataka ufahamu ukishakuwa kiongozi hakuna cha ukubwa au udogo, m/kiti kaachini> kilewo sikai nomba niishie hapo kwanza.