PillowTalk
Member
- Sep 24, 2010
- 95
- 5
mkuu kikao kiliendelea kwakutumia nguvu ya watumishi pale walipo piga kura wengi wakasema kiendelee ila iwe mwanzo na mwisho, ila KILEWO hakuvunjika moyo aliendeleza makombora makali na kukosekana majibu, makombora hayo nikama ifuatavyo
1. nikutaka manspaa kutoa taarifa ya tume ya lukuvi juu ya viwanja vya wazi, jibu. swala hilo lipo mahakamani.
2. kupatiwa taarifa juu ya soko la big brother, jibu tunaomba radhi kwakutoiweka taarifa hii kwenye agenda za kikao hiki.
3. kupatiwa mapato halali yanayo patikana kwa mwekezaji wa MLIMANI CIT, jibu hatuna data za kutosha kwakuwa mweka hazina hayupo.
4.tunapenda kufahamu miradi ya maji iliyopo ndani ya wilaya ya kinondoni, jibu. tuliwaomba idara ya maji wafike hapa leo ila hawajafika wao ndiyo wangekuwa na majibu sahihi , ila kwasisi hatuna majibu sahihi tutawaletea mirsdi hiyo kwenye kikao kijacho. hayo ndiyo aliyo uliza bwana kilewo ila yalikosa majibu, bravo MNYIKA kwakukuza jembe lingine kijana leo alikomaa nanafasi yako haikuonekana kupwaya
Mmmhh!Kazi kweli kweli!Dhana ya utawala bora inahubiriwa na CCM lakini bado viongozi wake wahaielewi au hawataki kuitekeleza kwa makusudi.
Hongera bw.Kilewo kwa ufuatiliaji makini.