Katiba ya Tanzania inatamka watu wote kushitakiwa kwa mujibu wa sheria. Kwanini CCM inataka kuwapa kinga TISS?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Ibara ya 13 (1) imetanabaisha wazi kabisa kuwa kila mtu akifanya kosa anatakiwa ashitakiwe kwa mujibu wa sheria bila ubaguzi.

Leo hii CCM wanaenda kupitisha sheria ambayo itawapa kinga maofisa wa TISS wakifanya makosa . Hii ina maana gani?

20230531_075217.jpg

Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni
 
Kama wewe nifisadi jiandae lakini Kama nimtu wa kawaida uwe na amani mkuu lengo la hii Sheria ni

kuiondoa SERIKALI ILIYO NDANI YA SERIKA
unaiondoaje wakati watumishi wake wanawekewa kinga endapo wanafanya makosa ya kijinai?
 
Simbachawene ndiyo Waziri wa hovyo kabisa kuwahi kutokea toka nchi imepata uhuru
Huyo mgongo unamuonea tu, haya mambo yanaanzia kwenye baraza la mawaziri,

Walianza kinga kwa Spika na naibu wake, na Jaji Mkuu, sasa wamekuja kwa TISS,

Unaweka kinga kwa watu ambao hata kujulikana tu ni vigumu, unategemea nini kama sio kuna nia ovu iliyojificha?

Mnamchagua kiongozi halafu anawekewa kinga asishtkiwe akifanya uhalifu, hata wa wazi kabisa,
 
unaiondoaje wakati watumishi wake wanawekewa kinga endapo wanafanya makosa ya kijinai?
Labda niseme Hawa wekewi Kinga

isipokuwa wanapewa Uhuru wa kulinda Usarama wa taifa letu kwa ufanisi

Mfano kiongozi wa SERIKALI anapotaka kusaini mkataba mbovu ambao unaweza kuiletea hasara serikari

au madhara ya MDA mlefu Kama vile ushoga,mikataba ya uwejezaji ambayo itachukua MDA mlefu mfano miaka Mia moja kwa masrahi yake binafsi

basi Usarama wa taifa Wana weza kumshughurikia kiongozi huyo haraka Sana

Kwa kumuonya au kumchukulia hatua hapo hapo

lakini kukiwa Kuna Hari ya kwamba Usarama hawana Kinga ya kuwalinda kwenye majukumu yao basi Kuna wakati watajikuta wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwa kuhifia kushtakiwa na hata kuhukumiwa

Ingawa niwajibu wao

Nina Imani kwamba Kama Usarama wangekuwa nakinga hiyo hata ile mikataba ya kishenzi isingesainiwa

Fuatilia kuhusu kifo Cha raisi wa U.S.A. bwana jf Kennedy utaona alifanywa Nini alipo enda kinyume na masrahi ya taifa la marekani kwa mtazamo yake binafsi utaelewa faida ya Kinga hii
 
Pamoja sana kiongozi,naomba iwe hivyo na si vinginevyo,TISS iwe kwa ajili ya kulinda nchi na sio kikundi cha wahuni wachache ndani ya serikali
 
Kama wewe nifisadi jiandae lakini Kama nimtu wa kawaida uwe na amani mkuu lengo la hii Sheria ni

kuiondoa SERIKALI ILIYO NDANI YA SERIKA
Binafsi nimekuelewa kwenye hicho kipengele cha kuiondoa serikali iliyo ndani ya serikali.
 
Labda niseme Hawa wekewi Kinga

isipokuwa wanapewa Uhuru wa kulinda Usarama wa taifa letu kwa ufanisi

Mfano kiongozi wa SERIKALI anapotaka kusaini mkataba mbovu ambao unaweza kuiletea hasara serikari

au madhara ya MDA mlefu Kama vile ushoga,mikataba ya uwejezaji ambayo itachukua MDA mlefu mfano miaka Mia moja kwa masrahi yake binafsi

basi Usarama wa taifa Wana weza kumshughurikia kiongozi huyo haraka Sana

Kwa kumuonya au kumchukulia hatua hapo hapo

lakini kukiwa Kuna Hari ya kwamba Usarama hawana Kinga ya kuwalinda kwenye majukumu yao basi Kuna wakati watajikuta wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwa kuhifia kushtakiwa na hata kuhukumiwa

Ingawa niwajibu wao

Nina Imani kwamba Kama Usarama wangekuwa nakinga hiyo hata ile mikataba ya kishenzi isingesainiwa

Fuatilia kuhusu kifo Cha raisi wa U.S.A. bwana jf Kennedy utaona alifanywa Nini alipo enda kinyume na masrahi ya taifa la marekani kwa mtazamo yake binafsi utaelewa faida ya Kinga hii
"KILLING MACHINE "
 
kuwa kila mtu akifanya kosa anatakiwa ashitakiwe kwa mujibu wa sheria bila ubaguzi
Sidhani kama Katiba inasema na Rais ashitakiwe akiwa madarakani! Kama ndiyo hivyo, hawa ambao mmewahamishia kwenye Ofisi yake washitakiwe kwa nini?

Kumbuka Mimi si mjuzi wa Katiba wala sheria, kwa hiyo kwenye majibu uzingatie hilo.
 
Wanawekewa Kinga ili hata wakikutwa na masanduku ya kura feki kwenye uchaguzi mkuu wasitiwe hatiani.
 
Hofu ya wengi ni endapo kitengo cha usalama wa taifa kitatumika vibaya kama kilivyotumika wkt wa serikali ya awamu ya 5,Kwa kumfuata amri zisizo halali za kuumiza,kupoteza. Unless kama ilikuwa sio wao bali akina Kingahai,saa libaya,makondakta and company
 
Labda niseme Hawa wekewi Kinga

isipokuwa wanapewa Uhuru wa kulinda Usarama wa taifa letu kwa ufanisi

Mfano kiongozi wa SERIKALI anapotaka kusaini mkataba mbovu ambao unaweza kuiletea hasara serikari

au madhara ya MDA mlefu Kama vile ushoga,mikataba ya uwejezaji ambayo itachukua MDA mlefu mfano miaka Mia moja kwa masrahi yake binafsi

basi Usarama wa taifa Wana weza kumshughurikia kiongozi huyo haraka Sana

Kwa kumuonya au kumchukulia hatua hapo hapo

lakini kukiwa Kuna Hari ya kwamba Usarama hawana Kinga ya kuwalinda kwenye majukumu yao basi Kuna wakati watajikuta wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwa kuhifia kushtakiwa na hata kuhukumiwa

Ingawa niwajibu wao

Nina Imani kwamba Kama Usarama wangekuwa nakinga hiyo hata ile mikataba ya kishenzi isingesainiwa

Fuatilia kuhusu kifo Cha raisi wa U.S.A. bwana jf Kennedy utaona alifanywa Nini alipo enda kinyume na masrahi ya taifa la marekani kwa mtazamo yake binafsi utaelewa faida ya Kinga hii
Tatizo ni mfano aliyetenda jinai na kuingiza nchi kwenye hasara akawa ni rais, makamu wake, waziri mkuu,jaji mkuu, spika au naibu spika! Watachukuliwaje hatua na kushughulikiwa wkt na wao wana Kinga!?
 
Tatizo ni mfano aliyetenda jinai na kuingiza nchi kwenye hasara akawa ni rais,makamu wake,waziri mkuu,jaji mkuu,spika au naibu spika! Watachukuliwaje hatua na kushughulikiwa wkt na wao wana Kinga!?
mkuu umeuliza vema 🙏🙏

Hicho unacho kiuliza ndicho kinacho endelea sasa hivi

Tumeshuhudia mauwaji ya Wana siasa Wana harakati wakiuwawa,kudhalilishwa. nk.

Tumeshuhudia pia matumizi mabaya ya madaraka katika nyanja mbalimbali kwa viongozi wetu

Kama kupola mali,alidhi za Wana inchi kubambikia kesi watu na UFISADI wa kutisha

Tumeona bunge letu halichukui hatua na hata wakichukua hatua basi nihatua ambazo Zina chembe chembe za kuwa Linda mafisadi

Tumeshuhudia pia hujumu za chaguzi mbalimbali kupitia vyombo vya habari hujuma ambazo zingeweza kuharibu kabisa amani ya inchi yetu Tanzania Kama mungu angetaka iwe hivyo lakini tuna shukuru hakutaka itokee

lakini pamoja na hayo yote hatuoni hatua zikichukuliwa juu y a harifu hizi mafisadi bado wapo, drugs dealer bado wapo, killers bado wapo

Yote nikwasababu chombo kinacho simamia Usarama wa taifa hakipo huru kumkamata Samia akikosea, au kikwete akikosea na hata pm akikosea"

Lakini so kumkamata tu nahata kumfanya apoteze wadhifa au kumtowesha kabisa

Hivyo lengo la huu mswada ni kuyafuta haya ya pm,jaji president, sjuiNani?

kwamaana kwamba Kama kiongozi yeyote katika ngazi yoyote
atafanya Jambo ambalo linatishia Usarama wa taifa kwanamna moja au nyingine

wana haki ya ku deal nae ili mladi tu taifa Liwe sarama awe Samia mpaka huku kwa wenye viti wa vijiji lazima wa chukuliwe hatua mkuu
Usisahau Kuna sababu inayo msukuma raisi kufanya hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom