Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 70
mkifikiria sana utaona kuwa pendekezo langu kwa kweli ndilo pendekezo bora zaidi la kutusaidia kuachana na uongozi uchwara. Maana hata yeye anashindwa kufanya kazi nyingi hasa kwa mfano mwaka huu akifikiria mambo ya uchaguzi! Anaogopa hata kwenda kufanyiwa upasuaji bwana.
Alikuomba umsaidie kazi gani ambazo ameshindwa? acha uzushi
Lini umekuwa daktari wa rais? mpaka ufahamu hayo ya upasuaji?..Uzushi mwingine grow up dude!
Kikwete uchaguzi haumsumbui kitu maana kwenye chama anapita kilaini...kama wewe na wenzako mnataka kufanya siasa nendeni jukwaani...
Suggested unayoleta ni ya kukata tamaa maana wananchi hawawafahamu..kazeni buti..bado miezi 10.