CaptainDunga
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 1,567
- 1,375
Karibia vyuoo vyote vina kashfa ya aina hii.
Kwa jinsi ninavyowajuwa waheshimiwa wetu (mawaziri, wabunge) lazima watalazimisha wanafunzi wasiwe wanapata hela za mikopo ili wawe na ukata matokeo yake wao wawe wanajilia kiulaiiini huku wakiwapa magonjwa. Na siku hizi waheshimiwa wetu wamekuwa mastering wa sinema za porn maana wanapenda kunyonywa na ku abuse hawa wasichana.
Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.
mkubwa umepatia kabisa udom hakuna elimu bali kuna majanga na degree za magumashi.....My dear Young Master, hapo kwenye RED: You have got it all wrong!! Hakuna elimu UDOM, kama ilivyo kwenye shule za kata tu!!
Halafu hii siyo kashfa ya UDOM peke yake. Ni kashfa ya vyuo vyote: UDSM, Saint Johns, etc
Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.
mdau mbona hasira sana?? palipo na wengi pana mengi UDOM wapo wanafunzi wengi soo pana mengi piaHuo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.
Wana UDSM acheni kupaka matope chuo cha waelevu na critical thinkers UDOM, tatizo la wanaUDSM wakishaishiwa boom kwa ajili ya kuuzia sura basi wanaingia JF na kuanza kuiponda UDOM.
Hakika mbinu zenu chafu za kuichafua UDOM kamwe hazitafanikiwa na mkae mkijua UDOM sio size yenu nyie majuha na kama huu ndio utumbo mnaokaririshwa nkurumah hall na vilaza wenu wakina prof shivji basi mjue hamtofanikiwa. Ebooo toekn hapa koz nyie mnaboa sana yani hamna vyuo vingine yan daily ni UDOM tu ndio mmeona? Au mna wivu na majengo ya kimataifa? Na msipoangalia ipo siku tutawafungia safari tuje tuwape kichapo mpaka wote mlale hoi kama walevi wa mirungi na hapo nadhan ndipo heshima itakaporudi na kuanza kutuheshimu.
Too sad.
Exactly waheshimiwa ndo main customers wa hiyo service....
Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.
hahahaha ngoja na mimi nikafanye reseach kwa kwenda kununua nione kama ni kweli?? ila mimi siyo mteja
Kwani ww ni mheshimiwa?? Hawawauzii wenye hela za mawazo....
mkuu inaonekana una info za kutosha kuhusu sakata hili, au uko jikoni nini? refer red hiyo
dah na wewe ni msomi kweli??? hii nchi inakwenda wapi?? au unataka niamini yanayosemwa dhidi ya UDOM?? mods hongereni mnaifaham kazi yenu.....Wana UDSM acheni kupaka matope chuo cha waelevu na critical thinkers UDOM, tatizo la wanaUDSM wakishaishiwa boom kwa ajili ya kuuzia sura basi wanaingia JF na kuanza kuiponda UDOM.
Hakika mbinu zenu chafu za kuichafua UDOM kamwe hazitafanikiwa na mkae mkijua UDOM sio size yenu nyie majuha na kama huu ndio utumbo mnaokaririshwa nkurumah hall na vilaza wenu wakina prof shivji basi mjue hamtofanikiwa. Ebooo toekn hapa koz nyie mnaboa sana yani hamna vyuo vingine yan daily ni UDOM tu ndio mmeona? Au mna wivu na majengo ya kimataifa? Na msipoangalia ipo siku tutawafungia safari tuje tuwape kichapo mpaka wote mlale hoi kama walevi wa mirungi na hapo nadhan ndipo heshima itakaporudi na kuanza kutuheshimu.
Too sad.
Jaman nyie watu wa udom msiwe mnaropoka, UDSM na udom haviwezi kulingana wala hatuwezi kuwa wapinzani,, umeona wapi habari za kimataifa zikasomwa pamoja na za kata.
Kukubali ukweli ni busara pia