Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

CHUO KIKUU cha Dodoma UDOM kinadaiwa kukumbwa na kashfa ya ngono kufuatia madai kwamba baadhi ya wananafunzi wa kike wanajihusisha na biashara ya kuuza miili yao kwa lengo la kujikimu kimaisha.

Tuhuma hizo zimebainika wakati wa mahafali ya tatu ya UDOM huku takribani wahitimu 6392 wakitunukiwa vyeti, stashahada, shahada za kwanza, uzamili na shahada za uzamivu.

Chuo Kikuu cha Dodoma ambacho kilianzishwa rasmi mwezi machi mwaka 2007 kimejipatia sifa kemkem za kitaaluma licha ya ukweli kwamba bado ni kigeni machoni pa wengi.

Tuhuma za ngono miongoni mwa wanafunzi wa kike zinadaiwa kusababishwa na ukata hatua inayowalazimu kutoroka chuoni nyakati za usiku na kujiunga na baadhi ya wasichana wa mitaani waliokubuhu kwenye ukahaba maarufu kama machangudoa kwa lengo la kujiuza.

Baadhi ya wahitimu wanathibitisha uwepo wa vitendo hivyo vilivyo kinyume na maadili.

Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Idris Kikula anatoa onyo kali kwa wote watakaobainika.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amenukuliwa kwa nyakati tofauti akisisitiza suala la maadili chuoni hapo hatua inayodaiwa kupuuzwa na wanaojihusisha na vitendo hivyo.

My dear Young Master, hapo kwenye RED: You have got it all wrong!! Hakuna elimu UDOM, kama ilivyo kwenye shule za kata tu!!

Halafu hii siyo kashfa ya UDOM peke yake. Ni kashfa ya vyuo vyote: UDSM, Saint Johns, etc
 
Acha uongo na uzush wewe! Kwa hyo hcho chuo hakina ma dr wala ma prof? Mbona wapo wa ndan na nje ya nchi? Uzush mwngne bhana!?.Usimsifie baba mkwe wako sifia mkeo.Uwe unatoka udsm,mzumbe,sua,muce,muccobs,makumira,saut,dit haijalishi,2nataka kujua una nin kchwani na kinasaidiaje jamii?Et ooh mim udsm ooh mim sua mara mzumbe.Ya nin hayo?.Mbona wapo weng tu wanaojiita wametoka vyuo vikongwe had sasa wanasota tu kitaa?You must thnk critically!

umemaliza kila kitu, swala sio unasoma chuo/faculty gan bali ni umefaidika nn? Una nn kchwan na unaitumiaje elimu yako kwa manufaa ya jamii inayokuzunguka na taifa kwa ujumla
 
Wana UDSM acheni kupaka matope chuo cha waelevu na critical thinkers UDOM, tatizo la wanaUDSM wakishaishiwa boom kwa ajili ya kuuzia sura basi wanaingia JF na kuanza kuiponda UDOM.
Hakika mbinu zenu chafu za kuichafua UDOM kamwe hazitafanikiwa na mkae mkijua UDOM sio size yenu nyie majuha na kama huu ndio utumbo mnaokaririshwa nkurumah hall na vilaza wenu wakina prof shivji basi mjue hamtofanikiwa. Ebooo toekn hapa koz nyie mnaboa sana yani hamna vyuo vingine yan daily ni UDOM tu ndio mmeona? Au mna wivu na majengo ya kimataifa? Na msipoangalia ipo siku tutawafungia safari tuje tuwape kichapo mpaka wote mlale hoi kama walevi wa mirungi na hapo nadhan ndipo heshima itakaporudi na kuanza kutuheshimu.
Too sad.
 
CHUO KIKUU cha Dodoma UDOM kinadaiwa kukumbwa na kashfa ya ngono kufuatia madai kwamba baadhi ya wananafunzi wa kike wanajihusisha na biashara ya kuuza miili yao kwa lengo la kujikimu kimaisha.

Tuhuma hizo zimebainika wakati wa mahafali ya tatu ya UDOM huku takribani wahitimu 6392 wakitunukiwa vyeti, stashahada, shahada za kwanza, uzamili na shahada za uzamivu.

Chuo Kikuu cha Dodoma ambacho kilianzishwa rasmi mwezi machi mwaka 2007 kimejipatia sifa kemkem za kitaaluma licha ya ukweli kwamba bado ni kigeni machoni pa wengi.

Tuhuma za ngono miongoni mwa wanafunzi wa kike zinadaiwa kusababishwa na ukata hatua inayowalazimu kutoroka chuoni nyakati za usiku na kujiunga na baadhi ya wasichana wa mitaani waliokubuhu kwenye ukahaba maarufu kama machangudoa kwa lengo la kujiuza.

Baadhi ya wahitimu wanathibitisha uwepo wa vitendo hivyo vilivyo kinyume na maadili.

Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Idris Kikula anatoa onyo kali kwa wote watakaobainika.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amenukuliwa kwa nyakati tofauti akisisitiza suala la maadili chuoni hapo hatua inayodaiwa kupuuzwa na wanaojihusisha na vitendo hivyo.

we jmaa mnafiki sana! Kachukue posho yako nkurumah hall kwa dr.kitila.
 
.
Wana UDSM acheni kupaka matope chuo cha waelevu na critical thinkers UDOM, tatizo la wanaUDSM wakishaishiwa boom kwa ajili ya kuuzia sura basi wanaingia JF na kuanza kuiponda UDOM.
Hakika mbinu zenu chafu za kuichafua UDOM kamwe hazitafanikiwa na mkae mkijua UDOM sio size yenu nyie majuha na kama huu ndio utumbo mnaokaririshwa nkurumah hall na vilaza wenu wakina prof shivji basi mjue hamtofanikiwa. Ebooo toekn hapa koz nyie mnaboa sana yani hamna vyuo vingine yan daily ni UDOM tu ndio mmeona? Au mna wivu na majengo ya kimataifa? Na msipoangalia ipo siku tutawafungia safari tuje tuwape kichapo mpaka wote mlale hoi kama walevi wa mirungi na hapo nadhan ndipo heshima itakaporudi na kuanza kutuheshimu.
Too sad.

.
Hivi we dogo uko serious? Akili yako iko sawa? Habari hii imetangazwa Star TV ukrasa wao FB waliweka pia
Welcome to Facebook
kabishane na TV basi, unakurupuka tu na makalio yako unaropoka. Mada imeletwa ijadiliwa tujue chanzo na solution ya tatizo unaleta mambo ya UD. acha kudhihirisha na kuonyesha taifa zima upumbafu wako dogo.
 
Mazingira yanayohusisha watu wengi mambo ya ajabu ajabu ni jambo la kawaida,maana kila mmoja kaja akiwa na mahitaji yake na tabia yake ndo itamwongiza ktk utafutaji wa suluhu ya mahitaji yake.Bado serikali inahusika sana ktk kuwafanya wanafunzi wapoteze mwelekeo.Kwanini wanfunzi wote wasipewe mkopo wa asilimia mia? Kuna mambo yanaweza kuepukika endapo serikali ikitimiza wajibu wake kwa muda na kwa usawa.Mtu akifanya upuuzi kama huo basi ni kusukumwa na nature yake tu.
 
Mleta mada,
Mi nadhani hiyo kashfa kila chuo kimeshawahi kukumbw, kwhiyo sio udom, udsm, wala st nini... so kikubwa ni hawa dada zetu wapevuke kiakili coz tamaa ya mda mfupi inaweza cost maisha yake yote.
 
My dear Young Master, hapo kwenye RED: You have got it all wrong!! Hakuna elimu UDOM, kama ilivyo kwenye shule za kata tu!!

Halafu hii siyo kashfa ya UDOM peke yake. Ni kashfa ya vyuo vyote: UDSM, Saint Johns, etc

Ila UDOM imekithiri mkuu...yaani huko ni balaa.
 
Taarifa ya habari ya Star tv ya saa mbili usiku ya tarehe 23/11/2012 imeeleza kuwa wanafunzi wa kike katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wanadaiwa kufanya biashara ya ukahaba katika maeneo mbalimbali ya starehe mjini Dodoma!
Habari hii inasikitisha hasa ukizingatia umuhimu wa wasomi hawa katika Tanzania na hatari inayoweza kuwapata kama taarifa hii ina ukweli.
Kama jamii tujiulize, tatizo ni nini mpaka mtu wa level kama hiyo kuamua kuvaa vichupi na kujiuza kwenye clubs na sehemu zingine??
CHUO KIKUU cha Dodoma UDOM kinadaiwa kukumbwa na kashfa ya ngono kufuatia madai kwamba baadhi ya wananafunzi wa kike wanajihusisha na biashara ya kuuza miili yao kwa lengo la kujikimu kimaisha.
Tuhuma hizo zimebainika wakati wa mahafali ya tatu ya UDOM huku takribani wahitimu 6392 wakitunukiwa vyeti,stashahada,shahada za kwanza,uzamili na shahada za uzamivu.
Chuo Kikuu cha Dodoma ambacho kilianzishwa rasmi mwezi machi mwaka 2007 kimejipatia sifa kemkekm za kitaaluma licha ya ukweli kwamba bado ni kigeni machoni pa wengi.
Tuhuma za ngono miongoni mwa wanafunzi wa kike zinadaiwa kusababishwa na ukata hatua inayowalazimu kutoroka chuoni nyakati za usiku na kujiunga na baadhi ya wasichana wa mitaani waliokubuhu kwenye ukahaba maarufu kama machangudoa kwa lengo la kujiuza.
Wakizungumza na star tv wakati wa mahafali hayo baadhi ya wahitimu wanathibitisha uwepo wa vitendo hivyo vilivyo kinyume na maadili.
Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof.Idris Kikula anatoa onyo kali kwa wote watakaobainika.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amenukuliwa kwa nyakati tofauti akisisitiza suala la maadili chuoni hapo hatua inayodaiwa kupuuzwa na wanaojihusisha na vitendo hivyo.

Je hill limekaaje kwa mategemeo ya taifa letu??
IMETOKA KWA DJ SEK BLOG
 
kwanza hiki ni kitendo cha kuaibisha chuo pia nashindwa kuelewa kuwa ugumu wa maisha mbona unakuwa mapema kiasi hicho akat bado bum tangu litoke miez 2 haijaka pia lakshar zimezid kwani kila siku disko konset zinatangazwa,pia matumiz yasiyo lazma,je kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa wa wao kujiuza pia kwa wale wavulana wenye wapenzi chuon angalia mtaandao jiulize tukowangapi?
 
Kunguru hafugiki, tatizo si fedha bali maadili kuporomoka, kwani hata watoto wa matajiri nao huenda
 
Maisha magumu yanasingiziwa kuwa ni chanzo! Lakini cha kushangaza kuna wenzao wanaishi maisha magumu lakini hawauzi miili yao!

Tamaa,tabia havina dawa!
 
Dah! Hili nalo ni janga la taifa! Huyo changundoa anahitimu chuo miaka 5 tu kazini,anafariki,!! Ndugu na jamaaa mwanetu karogwa! Kumbe yeye ndo alijiroga kabla
 
ah wacha wajiuze kwani tatizo lipo wapi? sii maamuzi yao...mie ni geshauri tuwe tunawakata kodi machangu basi.
 
Nadhani baada ya miaka 5 dawa itakua imepatikana,wasihofu waendelee tu.
 
Back
Top Bottom