A
Anonymous
Guest
Habari,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha dodoma (UDOM) ndaki ya kompyuta na elimu angavu (CIVE).
Hapa ndaki kwetu (College) kuna tatizo la maji sasa kufikia wiki ya pili maji hayajatoka tatizo wakaja kusema kuwa pump imeharibika lakini ukiangalia mda ambao maji hayajatoka kama ni matengenezo yangekuwa yamekamilika tukisema tatizo ni hela sio kweli kwani chuo kina mapato makubwa lakini hili swala inaonekana wanalipuuza.
Wanachokifanya sasa hivi ni kuleta maji katika magari ambayo yatatatua tatizo kwa siku moja au mbili alafu tunarudi tena kule kule.
Naomba taarifa ziwafikie wahusika kwani hapa palipofikia hii hali inaonyesha kuwa kuna uzembe na kutojali afya za wanafunzi.
ASANTE.