Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

Kwa jinsi ninavyowajuwa waheshimiwa wetu (mawaziri, wabunge) lazima watalazimisha wanafunzi wasiwe wanapata hela za mikopo ili wawe na ukata matokeo yake wao wawe wanajilia kiulaiiini huku wakiwapa magonjwa. Na siku hizi waheshimiwa wetu wamekuwa mastering wa sinema za porn maana wanapenda kunyonywa na ku abuse hawa wasichana.

hahaaa very valid point
 
Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.

POLE YAKO BWANA KILAZA!! Maana ulimejishtukia mwenyewe!
 
Jamani kama jamii mzima ya Watanzania kama msomi usifanye janga kuwa furaha katika akili za watu. Wanaposema wasichana wanaojiuza si Udom peke yake mkoa wa Dodoma una vyuo visivyo pungua kumi, sasa ninani kafanya research na kuona wasichana wanaofanya ukahaba ni wanafunzi wa udom tu.

Jamani tuache ushabiki usiokuwa na miguu. Sasa leo unasema hivyo kesho ndo wewe unaangaika na mabinti ukimwi haujui huyu ni udom au udsm chamsingi ni kuwa makini na kutoa ushauri kwa dada zetu especially wanaosoma vyuo vikuu nchi mzima. "Tanzania ni yetu"

My dear Young Master, hapo kwenye RED: You have got it all wrong!! Hakuna elimu UDOM, kama ilivyo kwenye shule za kata tu!!

Halafu hii siyo kashfa ya UDOM peke yake. Ni kashfa ya vyuo vyote: UDSM, Saint Johns, etc
mkubwa umepatia kabisa udom hakuna elimu bali kuna majanga na degree za magumashi.....
 
Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.

Tatizo la ukahaba vyuoni limetapakaa kwenye vyuo vikuu vyote. Cheki CD hawa wa mlimani

FRONTWIKIENDA.jpg
 
Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.
mdau mbona hasira sana?? palipo na wengi pana mengi UDOM wapo wanafunzi wengi soo pana mengi pia
 
Wana UDSM acheni kupaka matope chuo cha waelevu na critical thinkers UDOM, tatizo la wanaUDSM wakishaishiwa boom kwa ajili ya kuuzia sura basi wanaingia JF na kuanza kuiponda UDOM.
Hakika mbinu zenu chafu za kuichafua UDOM kamwe hazitafanikiwa na mkae mkijua UDOM sio size yenu nyie majuha na kama huu ndio utumbo mnaokaririshwa nkurumah hall na vilaza wenu wakina prof shivji basi mjue hamtofanikiwa. Ebooo toekn hapa koz nyie mnaboa sana yani hamna vyuo vingine yan daily ni UDOM tu ndio mmeona? Au mna wivu na majengo ya kimataifa? Na msipoangalia ipo siku tutawafungia safari tuje tuwape kichapo mpaka wote mlale hoi kama walevi wa mirungi na hapo nadhan ndipo heshima itakaporudi na kuanza kutuheshimu.
Too sad.

Jaman nyie watu wa udom msiwe mnaropoka, UDSM na udom haviwezi kulingana wala hatuwezi kuwa wapinzani,, umeona wapi habari za kimataifa zikasomwa pamoja na za kata.
Kukubali ukweli ni busara pia
 
Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.

Mnataka mpigwe picha ama! wewe kama hufanyi kaa kimya, wenzako wale kule wanafanya ufuska hatari. Unatetea chuo maovu, Elimu yako haijakusaidia hata kidogo ila ukweli unaujua.
Tena wakati wa bunge ndo HATARI HATARI ptuuuuuuh!
 
Kwani ww ni mheshimiwa?? Hawawauzii wenye hela za mawazo....

we umejuaje kuwa mimi nina hela za mawazo?? ukiwa na hela unakuwa mheshimiwa vingine ni mbwembwe tu...
madent wenyewe ukimrushia twenty ukamwambia hiyo ya vocha jioni tukutane chako ni chako.. kwenye mbuzi na dompo unafikiri atapindua...... ndio yale unaambiwa usiogope ukubwa samaki uliza bei....
 
mkuu inaonekana una info za kutosha kuhusu sakata hili, au uko jikoni nini? refer red hiyo

Ok, ngoja ni refer hiyo red uisemayo: House girl wa Mama yangu (mkazi wa Dodoma) siku moja alinisimulia hii kitu lakini aliniambia nisimwambie mama yangu kwani atamfukuza. Yeye (house girl) kabla mama hajamchukua alikuwa anafanya mchezo huu na waheshimiwa wetu. Mwanzoni hakujuwa (I hope she's right) kama wangemfanyia michezo ya hajabu kwani alikuwa anaonyeshwa sinema za porn halafu alikuwa anaambiwa akitaka hela zaidi inabidi aigize kama aonavyo kwenye video. Na yeye kwa kuwa ni yatima anayesomesha nduguze ilibidi afanye hivyo kwani alikuwa anapata mpaka 50,000 kwa usiku ilhali muheshimiwa kafikishwa kileleni. Wenzake ambao walikuwa si waoga walikuwa wanapata mpaka 500,000 yaani kwa wiki kwa ajili ya kuweka maisha yao rehani (provided kuwa 90% ya waheshimiwa ni wabovu kiafya). Hose girl wa mama alipopata pesa za kutosha akanunua mashamba na kuachia nduguze wajiendeleze. Kwa kuwa yuko na Mama miaka 9 kwa sasa ni kama dada yetu na tunasomesha hapa Dar. Waheshimiwa ni wachafu sana. Zamani walikuwa wanatudanganya oh eti wanamuziki ni wahuni na malaya kumbe walikuwa hawataki kushindana, wanataka kula wao tu kwa dau lolote wakati wenzao (wanamuziki) wanapendwa kwa mvuto.
 
Wana UDSM acheni kupaka matope chuo cha waelevu na critical thinkers UDOM, tatizo la wanaUDSM wakishaishiwa boom kwa ajili ya kuuzia sura basi wanaingia JF na kuanza kuiponda UDOM.
Hakika mbinu zenu chafu za kuichafua UDOM kamwe hazitafanikiwa na mkae mkijua UDOM sio size yenu nyie majuha na kama huu ndio utumbo mnaokaririshwa nkurumah hall na vilaza wenu wakina prof shivji basi mjue hamtofanikiwa. Ebooo toekn hapa koz nyie mnaboa sana yani hamna vyuo vingine yan daily ni UDOM tu ndio mmeona? Au mna wivu na majengo ya kimataifa? Na msipoangalia ipo siku tutawafungia safari tuje tuwape kichapo mpaka wote mlale hoi kama walevi wa mirungi na hapo nadhan ndipo heshima itakaporudi na kuanza kutuheshimu.
Too sad.
dah na wewe ni msomi kweli??? hii nchi inakwenda wapi?? au unataka niamini yanayosemwa dhidi ya UDOM?? mods hongereni mnaifaham kazi yenu.....
 
ebu mfikirie mara mbil kila anyejiuza dom ni student wa udom kigezo gani wametumia kuwa jua achen kuchafua chuo sikatai bt we ned evidence
 
Jaman nyie watu wa udom msiwe mnaropoka, UDSM na udom haviwezi kulingana wala hatuwezi kuwa wapinzani,, umeona wapi habari za kimataifa zikasomwa pamoja na za kata.
Kukubali ukweli ni busara pia

yaan wew unaona dom ndo bora kuliko udsm basi unamatatzo.
 
We wa dodom unaekponda udsm hebu anglia top 100 universty in afrc kama utaona kiudom chako kama mambo maovu yapo kote2 ila ku2ita vilaza watu wa udsm ur wrng.
 
unaweza ukawa unachoongea just unahis au unaskia ila hakuna reseach ambayo umefanya pia untakiwa uwe unatumia akil kdogo ukichangia kwan tunasema no data no reseach no right to talk.
 
Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.

Hizo takwimu umetoa wapi na nani alifanya huo utafiti?, wavivu wa kufikiri? Wanataaluma wote wako UDSM na wanatoka hapo kuja kuwafundishen huko Dom wamekuwa wavivu tena, sasa wewe wa kukopa kwa wavivu utakuwaje?, UDOM wanafunzi wanaingia kwa CUT OFF POINT NGAPI? compare na UDSM, Tanzania one wote kama hawajaenda nje kusoma wote wako UDSM kama kuna mmoja (tena mmoja tuu) niambie huko UDOM.

Tatizo mkishakosa point za kuingia UDSM ndo mnaanza zenu, wanafunzi woootee wakiwa A-LEVEL dream zao ni kusomea UDSM na si vinginevyo (najua wengine mtabisha) tena UDOM na wengine wanaoponda UD sasa hivi mnapata shs 7500 kwa siku kwa sababu ya nani?! Eti MAZUZU, zuzu ndo mtu gani? muulize JK kwa nini hataki kwenda UD mara kwa mara anapoitajika badala yake anakuja kwenu huko...

Madada kujiuza si vibaya kama ndo tabia wanayoona nzuri kwao ilmradi wasimuingiza mtu katka chain hasiyo stshili kuingia (AIDS GRUP) kuna nchi zimeendelea kuliko nyinyi mnaopinga wadada kujisell na wamehalalisha uchangu!!!!! @ Holland....
 
Jamani Presdent hauoni hili! Tatizo ni kwamba BOOM HALITOSHI..fanyeni mchakato wa kuongeza boom angalau lifike 10000 kwa siku..
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom