Kashfa kubwa ya ufisadi yaitafuna CHADEMA

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
47,025
32,471
Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi
 
Mimi sishangai maana inavyoonekana ufisadi ni tatizo la kijamii. Watu wanaoonekana kuushambulia sana ndio wanaoathirika sana nao.
 
Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi

hii inanikumbusha kipindi cha uchaguzi. kulikuwa na link ya kupiga kura kwa wagombea urais. baada ya gazeti moja la kila wiki kutangaza kuwa 'wanamtandao wampa 76% dr. slaa, liliibuka kundi la watu wakawa wanapiga kura za maruhani kutaka kumpandisha chati mchakachuaji, lakini hatimaye walishindwa na kampeni zao chafu. now they are comming again baada ya kujivua gamba.

we are ready. well equiped.

karibuni sana.
 
Tatizo sio ufisada hapo, tatizo ni kutaka kununua vitu vilivyotumika, ndio ilikuwa hoja ya msingi, wamejadiliana wamefika tamati. Ufisadi ungetokea endapo wangesema wamenunua vitu vipya wakati sio. Upande wa serikali, sheria inatamka bayana kuwa serikali haitakiwi kununua vitu used, endapo itatokea imenunua vitu used huo utakuwa ni uvunjivu wa sheria ya manunuzi ya serikali. Rejea, "procument act" .
 
Mti wenye matunda utapigwa mawe!
Hongereni vilaza ccm mshaona ndo topic yaleo, Mshindwe na mlegee na kisha muanguke kifudifidi halafu cdm tuwararie na kuwapumulia kisogoni!!!!!
 
hii inanikumbusha kipindi cha uchaguzi. kulikuwa na link ya kupiga kura kwa wagombea urais. baada ya gazeti moja la kila wiki kutangaza kuwa 'wanamtandao wampa 76% dr. slaa, liliibuka kundi la watu wakawa wanapiga kura za maruhani kutaka kumpandisha chati mchakachuaji, lakini hatimaye walishindwa na kampeni zao chafu. now they are comming again baada ya kujivua gamba.

we are ready. well equiped.

karibuni sana.

Kama na ww unashabikia ufisadi huu basi una walakini kichwani mwako ! na kwenye uchaguzi nani aliyeshinda kwa kishindo ? jibu
 
Na kweli Zitto amewalalia nyie wote vilaza na mliotaka kufanya ufisadi huu na sasa anakupumulia , wajisikiaje ?
 
Kama na ww unashabikia ufisadi huu basi una walakini kichwani mwako ! na kwenye uchaguzi nani aliyeshinda kwa kishindo ? jibu

habari ya kikuda hii. haina source wala sink.

kishindo kwa kisumuma ni matusi. sitaki kumtukana rais wenu.
 
Huo ufisadi mimi mbona hapo siuoni??
Kwani manunuzi yameshafanyika?? na kama yamefanyika kuna mtu amekula cha juu au 10%??
Sasa definition ya ufisadi ndo hii? Saa nyingine bana mnaleta bla bla tu hapa.
Huu naona ni kutofautiana kimtazamo ambapo ni kawaida kwa chama cha kidemokrasia, sioni ufisadi hapa!!
 
hii inanikumbusha kipindi cha uchaguzi. kulikuwa na link ya kupiga kura kwa wagombea urais. baada ya gazeti moja la kila wiki kutangaza kuwa 'wanamtandao wampa 76% dr. slaa, liliibuka kundi la watu wakawa wanapiga kura za maruhani kutaka kumpandisha chati mchakachuaji, lakini hatimaye walishindwa na kampeni zao chafu. now they are comming again baada ya kujivua gamba.

we are ready. well equiped.

karibuni sana.
ni kweli walishindwa na baadae Slaa akashinda urais!
 
Mti wenye matunda utapigwa mawe!
Hongereni vilaza ccm mshaona ndo topic yaleo, Mshindwe na mlegee na kisha muanguke kifudifidi halafu cdm tuwararie na kuwapumulia kisogoni!!!!!

Waammbie hao vilaza,ndo zao wakishashiba kangara.
 
habari ya kikuda hii. haina source wala sink.

kishindo kwa kisumuma ni matusi. sitaki kumtukana rais wenu.

Huyu ndio Rais wako na huna rais mwingine ! kodi yako anaikusanya na anaitumia kukuletea maendeleo ww , mkeo na watoto wako
 
Kama na ww unashabikia ufisadi huu basi una walakini kichwani mwako ! na kwenye uchaguzi nani aliyeshinda kwa kishindo ? jibu
unaweza kuitoa timu iliyokusaidia kushinda kwa kishindo,kama mlishinda kwa kishindo kwa nini mmejivua gamba
 
Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi
Siku zote hiki chama hawamini wanachokuwa wanaambia wananchi
 
Back
Top Bottom