Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,025
- 32,472
Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi