Kashfa kubwa ya ufisadi yaitafuna CHADEMA

Habari zenyewe kumbe ritz ndiyo kaposti! Nilidhani mtu mwenye akili kaposti kumbe mpumbavu ndiyo ameiposti. Nashangaa wakuu mnaendelea kujadili pumba.
 
Habari zenyewe kumbe ritz ndiyo kaposti! Nilidhani mtu mwenye akili kaposti kumbe mpumbavu ndiyo ameiposti. Nashangaa wakuu mnaendelea kujadili pumba.
<br />
<br />
Hatubaguani hapa JF! Hakuna alie mkamilifu! Mbona Godbless Lema pamoja na kuwa chizi watu wa Arusha waliamua awakilishe mawazo yao bungeni! Kila mtu ana haki ya kuheshimiwa na kusikilizwa!
 
Duh! Kweli kipendacho roho hula nyama mbichi! watu wanavyowatetea?mmh!
Kama hii habari ni kweli ningependa kujua hayo magari ni aina gani cuz hawa jamaa wanawalaumu magamba kwa kununua mashangingi
Mungu isaidie Tanzania ipate watu wenye nia thabiti kutuvusha tulipo sasa
 
Kama mumeifufua thread ya mei kuiponda chadema ili kupooza kashfa ya raisi wa awamu ya nne anayekataa hata maamuzi aliyyoshiriki akiwa mmoja wa wale walio kwenye baraza la mawaziri ya awamu ya tatu , kujenga hoteli ngorongoro nadhani munapoteza muda
Mh.Dr Jakaya KIkwete na rafiki yaki Lowassa walisema hoteli,barabara zitajengwa tuu,mpaka walivyokomaliwa na wananchi na wanaharakati ikabidi wapumulie juu,juu ,Mh Jakaya asikatae suti alizichukua ,kama laa ,atattuthibitishiaje sisi wananchi tuamini kwamba sio cheap president aliyekubali kuhongwa suti tano,ameenda faragha na mpenziwe nadhani labda alilala hapo manake taarifa inasema kuna matumizi binfsi alilipiwa hotelini
dolla 1,000,000 anaweza kuwa alipewa hakuzifikisha CCM alizitia kibindoni kunufaisha familia yake
 
Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi
sasa huu nao ni ufisadi? kuna mtu alishasema mahala fulani kwamba...nyie akili zenu ni za kukaririshwa kila kitu ...neno kwa neno...nukta kwa nukta...yaani reasoning capacity a.k.a intelligence ni zero kabisa! Sasa nani kakuambia magari ya serikali ni kama magari ya chama?
 
Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi
Soma habari mbalimbali kwa umakini ndo utapata uwezo wa kujadili mada mbalimbali humu.hapa umekurupuka kwa kweli.
 
Duhh!! Hawa magamba hakika huwakosi ktk thread zao utafikiri hawanaga vitanda. CDM twanga kotekoteeeeeee!!!!
 
Mods huo ni uonevu kabisa, yaani mme mpiga ban Daudi Mchambuzi wakati mnyama kafananishwa na mnyama mwenzake? je angesema unaakili kama ya Salma mngeweza kumpiga ban? Nguruwe ni mnyama, na binadamu ni jamii ya wanyama. hivyo Ritz kufananishwa na huyo mnyama sioni ajabu kabisa. tena mimi ningeongezea kuwa Ritz is half human being and half donkey, because he always speaks like a ndonkey, and acts like a human being.
 
Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi

Huna hoja; naomba utafute katiba ya cdm na jitahidi kutafuta financial manual ili uwe na uhakika na ujinga unaousema, kabla hujasema jitahidi kufanya research na ndipo heshima yako itakuwa ikikua kila uchao, wewe kama sio Nape basi ni Mwigulu; Mlisema oohhh Mwigulu awe mkuu wa hiyo kampeni yenu, sasa unadhani haujui kilichotokea? Mwigulu kaamua kuwaarifu nyie kwamba hali ni mbaya na anaomba msaada vinginevyo asilaumiwe!!! Tuna vyanzo vingi... Mwigulu ni footnote in the politics... Kuweni makini wajameni mnatia aibu, najua wako vijana sasa wameingilia JF ila daima tunawapua kwa kuwa na sisi tuna vyanzo vyetu vya kuaminika ccm, hakuna kitu hapa lazima tuwape changa la macho tu... Leteni basi na ile yenu ya TRA kukagua cdm na income tax ikiacha mabilioni ya ccm njenje, mnajua kilichotokea ama mnakuwa wendawazimu bila sababu? Tafakari...
 
Mods huo ni uonevu kabisa, yaani mme mpiga Daudi Mchambuzi wakati mnyama kafananishwa na mnyama mwenzake? je angesema unaakili kama ya Salma mngeweza kumpiga ban? Nguruwe ni mnyama, na binadamu ni jamii ya wanyama. hivyo Ritz kufananishwa na huyo mnyama sioni ajabu kabisa. tena mimi ningeongezea kuwa Ritz is half human being and half donkey, because he always speaks like a ndonkey, and acts like a human being.
Mods msipompiga Ban huyu Mungi kwa kunitukana basi tachukuwa sheria mkononi mimi mwenyewe..PAW upo??
 
ritz, kumbe unajua kujenga hoja! kaombe kaz uhuru magazet the news wewe! wah nafasi ni chache atakuwahi maralia sugu na ff, ohoo shauri yako yaan kama wikileaks vile dah!
 
hii inanikumbusha kipindi cha uchaguzi. kulikuwa na link ya kupiga kura kwa wagombea urais. baada ya gazeti moja la kila wiki kutangaza kuwa 'wanamtandao wampa 76% dr. slaa, liliibuka kundi la watu wakawa wanapiga kura za maruhani kutaka kumpandisha chati mchakachuaji, lakini hatimaye walishindwa na kampeni zao chafu. now they are comming again baada ya kujivua gamba.

we are ready. well equiped.

karibuni sana.
Gamba rostam
 
Back
Top Bottom