Dah hotuba ya mbowe inasikitisha watu wote wanainamisha vichwa.
mungu akajazie mifuko yenu pale ilipotobolewa ama kupungua na wewe kama kamanda semakamati kuu cdm itawakilisha kule arumeru.pia cdm imetoa mil.moja wabunge wa cdm wametoa mil 2.laki3 u nusu
hojatete thanks
bado tunasubiri, usijali hao wanaosema viti wazi umewahi kurusha thread hii inawauma wao hawakuanzisha
Hivi kurusha thread nako ni ujiko?. Ningeweza kurusha wa kwanza kabisa maana niliwahi sana ila nikaunga na ile ya kanisani. Hivi mi thread kumi ya msiba mmoja ya kazi gani. Mnatuchosha kusoma. Fanyeni maamuzi kwa kutumia akili, thread nyingi zinasaidia nini?
Tuendelee...ni ukweli viti havijajaa sana, mnataka tuwadanganye au?
Does it matter, anyway?
rais alikuwa ifakara juz na makam alikuwa karimjee.ilikuwa garama pia.Kama Rais atakwenda AruMeru mazishi ya Karimjee ni ya nini hasa? Gharama zote hizi tunabebeshwa wananchi kwa nini.
mbona kwa Regia hawakukimbia jua?acha uzushi huko watu wamekimbia jua wewe.kwanza tulia mana umechelewa
njoo uwaulizembona kwa Regia hawakukimbia jua?
imagine ingekuwa baba yako amekufa halafu Sisi tuhoj kwa nn viongoz wanashiriki kuomboleza na kuzika.
ingekuwa baba yako amekufa ungehoji?Kama Rais atakwenda AruMeru mazishi ya Karimjee ni ya nini hasa? Gharama zote hizi tunabebeshwa wananchi kwa nini.
kwani aliyekufa ni babako??
ingekuwa baba yako amekufa ungehoji?