Karimjee kumuaga Sumari

kamati kuu cdm itawakilisha kule arumeru.pia cdm imetoa mil.moja wabunge wa cdm wametoa mil 2.laki3 u nusu
mungu akajazie mifuko yenu pale ilipotobolewa ama kupungua na wewe kama kamanda sema
AMEN
 
Kama Rais atakwenda AruMeru mazishi ya Karimjee ni ya nini hasa? Gharama zote hizi tunabebeshwa wananchi kwa nini.
 
hojatete thanks

bado tunasubiri, usijali hao wanaosema viti wazi umewahi kurusha thread hii inawauma wao hawakuanzisha


Hivi kurusha thread nako ni ujiko?. Ningeweza kurusha wa kwanza kabisa maana niliwahi sana ila nikaunga na ile ya kanisani. Hivi mi thread kumi ya msiba mmoja ya kazi gani. Mnatuchosha kusoma. Fanyeni maamuzi kwa kutumia akili, thread nyingi zinasaidia nini?
Tuendelee...ni ukweli viti havijajaa sana, mnataka tuwadanganye au?
Does it matter, anyway?
 
imagine ingekuwa baba yako amekufa halafu Sisi tuhoj kwa nn viongoz wanashiriki kuomboleza na kuzika.
 
Back
Top Bottom