Acha uongo viti vya nyuma vipo wazi
Naunga mkono hoja. Watu si wengi sanaaaa ingawa pamejaajaa.
Arusha wataenda Wabunge 50.
Acha uongo viti vya nyuma vipo wazi
Acha uongo viti vya nyuma vipo wazi
hii misiba isije tumika kama njia ya kutumia mihela yetu ya kodi,uchumi wenyewe unayumba!chonde chonde tusijetumia fedha zote kwa mazishi mpaka tukakosa fedha za matibabu ya india
Wanachama wa CCM hawawezi kujaa kama wale wa Chadema sababu hawajapewa posho wamezoea kupewa posho,kapelo,pilau na kubebwa bure kwenye malori,sasa hapo hakuna aliyefanya hivyo,wanachama wa Chadema wao ni kawaida yao kujitolea bure iwe katika misiba,sherehe au maandamano ni tofauti na hao wa CCMNimewasili japo kwa kuchelewanaa sana viwanja vya Karimjee,cha ajabu naona viongozi na wabunge ndo wengi huku viti vingi nyuma vikiwa wazi na sioni wanachama wa CCM wa kawaida kujaa mahali hapa kama ilivyokuwa kwa MH Hayati REGIA Mtema,hii inamaanisha nini?nawasilisha...