Karimjee kumuaga Sumari

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
watu wamefurika mno.Viongozi wa kitaifa,wa serikali,vyama vya siasa, wabunge na wananchi wa kawaida.wanachama wa ccm ni wengi sana.
 
Mhe Rais atajumuika na wananchi kuongoza mazishi jumatatu Arusha

Slaa, Lissu, Sugu na Samwel Sitta wameingia
 
mukama wa ccm atatoa salam za chama zito anaingia.ametanguliwa kdg na ole sendeka
 
Hojatete ahsante sana kwa update,
kwakweli nmekukubali sana mkuu...
Tutakuwa wote jamvini mzazi.
 
kamanda mbowe atatoa salam za kambi ya upinzani.govt itawakilishwa na lukuvi
 
Back
Top Bottom