Nape Nnauye afika Karimjee kuaga Mwili wa Lowassa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,798
218,446
Screenshot_2024-02-13-10-50-35-1.png

Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.

Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika

Mwili wa Lowassa ukitoka Lugalo

Screenshot_2024-02-13-10-43-50-1-1.png
 
Misibani wakati mwingine waombolezaji huenda na yao vichwani, hata huku mitaani tu wakija kwenye msiba wenu lazima umbea upigwe.

Kama sio watoto wa marehemu kila mmoja kwa nafasi yake kujadiliwa, basi lazima hata nyumba yenu kama haijakarabatiwa muda mrefu igeuke topic, wakati wengine wao utakuta wanaishi kwenye mbavu za mbwa.

Wengine watajidai kuwapikia wafiwa, kumbe ndio wanatafuta gap la kuiba mchele waende nao makwao, ukifiwa uswahilini jiandae kuwa na roho ngumu sana, waliokuja kukupa pole wanaweza geuka ndio wanaongeza machungu kwa wafiwa, usiwaamini.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2902459

Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.

Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika

Mwili wa Lowassa ukitoka Lugalo

View attachment 2902457
Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let him Rest Easy.
Kwa heri Lowassa,
waliokuibia Kura wengi utakutana nao huko.
Na wewe utaenda huko huko , Yani kwenye msiba sionagi sababu ya kumcheka mtu , tukubali tuu kwamba duania yetu ina mauza uza kibao , na Kwa nyakat fulan wote tunafanya maovu kila mtu sehemu yake , ni rahs Sana kumshutumu mwingine na kumcheka akifa
 
Back
Top Bottom