Karimjee kumuaga Sumari

Tunaigharamia sana SIASA na WANASIASA kupita kiasi. Sasa hata mazishi yanakuwa ghali mno. Mzee huyu ameugua muda mrefu tu. Tumetumia gharama. Tumemlipa mishahara ya UBUNGE kwa muda wote huu akiwa kitandani tangu alipochaguliwa. Sasa gharama za mazishi tena.
WC, please just a little bit of humility is all we need for now!.
 
hojatete pamoja sana, endelea kutujuza maana wengine tuko mikoani imekuwa ni vigumu kufika. Tunategemea ushirikiano uliokuwepo katika mazishi ya REGIA ndio utakaokuwepo kwa SUMARI. Hakuna magwanda wala magamba wote walikuwa kitu kimoja na tunawaomba wawe pamoja hata katika kikao kijacho cha Bunge, Magwanda waache kususasusa.

Pamoja sana kengemUmaji
 
Pasco vipi findings za leo wameshikana mikono?

Mwananchi wanasubiri updates zako ili kesho itoke hewani.
Findings huja baada ya maziko!. Nawaombeni sana tuheshimu msiba!.
Baada ya kisa mkasa, baada ya chanzo, kitendo, naomba acha tumalize msiba hayo mengineyo yote yatafuatia!
 
WC, please just a little bit of humility is all we need for now!.
Bunge letu halionyeshi kama linajali hali ya uchumi wetu na huduma nyingine za jamii iliyowachagua zinavyoathirika kwa maraha haya wanayopeana hata baada ya kuwa wamefariki. Wabunge wetu sasa sio wenzetu. Hawatoki miongoni mwetu tena!
 
Findings huja baada ya maziko!. Nawaombeni sana tuheshimu msiba!.
Baada ya kisa mkasa, baada ya chanzo, kitendo, naomba acha tumalize msiba hayo mengineyo yote yatafuatia!
Leo unajifanya una mibusara juzi Ifakara wakati wengine wakizika wewe ulikuwa unahangaika kudandia makaburi kupata picha ya Slaa na JK acha hizo.
 
Hojatete more updates please maana nimepishana na mwili kwenye gari ya Corrona ukiongozwa na kingora cha pikipiki ya trafic!
 
WC, please just a little bit of humility is all we need for now!.
i hope hapo kwenye red hukuwa na maana hiyo!!halafu usiwe mnafiki hii tabia ya kuwa na gharama kubwa kwenye mazishi wakati alipokuwa mgonjwa hatujakanyaga kwenda kumjulia hali ni unafiki sana.nasisitiza hizo hela za mazishi ya kifahari zitunzwe na kununua vifaa vya uchunguzi ili magonjwa kama ya marehemu sumari yaweze kugundulika mapema.
 
Bunge letu halionyeshi kama linajali hali ya uchumi wetu na huduma nyingine za jamii iliyowachagua zinavyoathirika kwa maraha haya wanayopeana hata baada ya kuwa wamefariki. Wabunge wetu sasa sio wenzetu. Hawatoki miongoni mwetu tena!
WC hivi ndio leo inalijua hili kuwa wabunge sio wenzetu!?. Acha kwanza tukishazika ndipo tulijadili hili!.
 
Huyu marehemu alishawahi kumwambia Dr Slaa kama hana hoja nyingine zaidi ya Ufisadi wa EPA hakae kimya.
My take; huyu marehemu Sumari inaonesha ilikua ikimuhuma sana Dr Slaa kukomalia kashfa ya EPA, binafsi namuonahuyu marehemu ni fisadi tu wale wale.
 
Leo unajifanya una mibusara juzi Ifakara wakati wengine wakizika wewe ulikuwa unahangaika kudandia makaburi kupata picha ya Slaa na JK acha hizo.

Feedback eh umenichekesha sana mzazi,
Ila kama vp mchukulie poa Pasco!
Tusihukumiane kwa post zilizopita, si unajua hapa JF kuna mengi.
 
Back
Top Bottom