Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

acha mawazo mgando na akili za kuambiwa wewe... tcu wanataka total of 4 points, mbona walishatafsiri kwenye jeduali lao
Huelewi nini principle pass ni D ukiona course inayohitaji point 4 means atlest uwe na 2Ds. Course ya point zaid ya 4. Unahesabu masomo yote 3 but you must have atlest 2principles/2Ds. Ndio maana mnaitwa Vi.la.zaaa
 
nina D masomo yote ya sayansi na F ya mathematics,,,ni chuo kipi kinanifaa na kozi gani
 
Huelewi nini principle pass ni D ukiona course inayohitaji point 4 means atlest uwe na 2Ds. Course ya point zaid ya 4. Unahesabu masomo yote 3 but you must have atlest 2principles/2Ds. Ndio maana mnaitwa Vi.la.zaaa

ata CAS ya TCU kwenye upande wa A level result inatambua two principle pass ambazo ni 2Ds
 
kwa ufaulu wa mwaka huu science huwezi kupata mdogo angu nakushaur labda jarbu education....vigezo vya mwaka huu kwa afua ni vigumu sana na vyuo vingi vinavyotoa coz ya afya wamevitoa kwahiyo competition ni kubwa sana
 
Ninaomba msaada hivi kozi ipi nitapata ya afya manake
Nina dvn two ya 12 nimepata D ya geos,C-chemia na E ya bios vipi hapo naweza pata walau hata nursing
 
Hapana kwa mwaka huu hapo Afya sahau maake hiyo D ya geography ingekua kwenye bios
Na competition ni kubwa mano kuliko kawaida kutokana na vyuo vingi vya Afya kuondolewa
 
Jamani me nme plan ku reseat ACSEE mwakan 2017, mweny uelewa wa hii plan waweza NI saidia sehemu ya kuanzia,, in shot mm tokeo lang Co zuli nina E flat yaan div 3 ya 15

USIJARIB KURESEAT HATA KIDOGO KWAN KATIKA MIA WANAO RESEAT ANAFAULU MMOJA.. NAKUSHAUR NENDA DIPLOMA.. AKILI KUMKICHWA
 
Naomba ushauri nilimaliza form six mwaka 2014 nikafanikiwa kupata div three ya point 12,pcb
General studies. C
Physics E
Biology B
Chemistry B
Basic math C...
naombeni mnishauri nichague kozi gani itakayonifaa na chuo gani kitakachonifaa mm ni mtu wa hali ya chini sana...2015 nilichaguliwa open science with education lkn sikuripot chuo kabisa,ivyo nilifuata taratibu zote nicancel tcu na kile chuo cha open ivyo nipo huru kuchagua chuo kingine naomba sana mnisaidie

Nakushaur kasomee ualimu hutojutia na hutakosa nafas kama mwak huo uliokosa baad ya kuapply kozi zako..
 
Kijana kapata Chemistry-D...Biology-D...na geography-C vipi wnaa jamii anaweza somea pharmacy,medicine kwa vyuo vya binafsi kama bugando,kcmc,kampala,archbishop james songea
 
Kijana kapata Chemistry-D...Biology-D...na geography-C vipi wnaa jamii anaweza somea pharmacy,medicine kwa vyuo vya binafsi kama bugando,kcmc,kampala,archbishop james songea
Kwa ninavyojua hawez kupata kozi yoyote ya Afya kwa sababu hana Physics ila ngoja waje wajuzi zaid.......
 
Unajua mi nashindwa kuelewa kwa nini udaktari kwa sasa unabaki kuwa na combination moja tu ya PCB tofauti na fani zingine? Ningeomba hapo wajuzi wanipe ufahamu pia wanipe na mifano ya nchi zenye mfumo huo
 
Kijana kapata Chemistry-D...Biology-D...na geography-C vipi wnaa jamii anaweza somea pharmacy,medicine kwa vyuo vya binafsi kama bugando,kcmc,kampala,archbishop james songea
Hapana, hataweza. Kwenye health science courses wanazingatia sana ufaulu wa Chemistry na Biology nawameeleza kabisa katika TCU Guidebook na pia Physics kwa baadhi ya vyuo.

Nina mdogo wangu alisoma CBN na ana Chemistry "C" Biology "C" na Nutrition "D" ila bado hatuna uhakika kama atasoma Pharmacy au Doctor of Medicine.
 
Msaada jamani Division 3.13 HKL (DDE)+ Gs(E) Msaada Wa Chuo Kizuri Cha Kuapply Pa1 Na Faculty
 
Nimeona kuna thread nyingi zimefunguliwa kila mtu akiulizia kuhusu kujiunga na chuoo na watu wamekuwa na Matokeo tofauti tofauti!!!

Kwa utaratibu ulio tolewa hivi karibu na tume ya vyuo vikuu ni kuwa CUTT POINT minimum ni 4.0 SASA BASI KATIKA MATOKEO YAKO AU YA NDUGU YAKO HAKIKISHA KUWA ANA (D,D)! NAKUENDELEA

Kama atakuwa ana D moja kushuka chini huyo chuo kikuu hataweza kwenda bila kujari combination alio isomaaa!!!

Na watu hao wengi wapo kwenye Division Three (3) ya point 15. Na wengine point 14! Usihangaike kuomba chuo kama huna D 2 na kuendelea!

Kwa watu wa Diploma ni GPA ya 3.5 kinyume cha hapo ni usisumbuke kuomba chuo kikuu

Huo ndio uelewa wangu kulingana na utaratibu wa chuo ulivyo kwa sasa!!!

Kama kuna mwenye nyongeza karibu
hapo nyuma ulikua kama una Principal moja unaenda foundation programme halafu ukifauli unaenda Bachelor.ila kwa ssa ndo basi tena...Hamna namna.
 
Back
Top Bottom