Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

Habari mkuu..kuna dogo wangu amemaliza PCM na amepata DBB anafkiria kufanya actuarial science au geomatics vp mnazionaje hizi courses kwa soko la ajira hapa tanzania pia kwa mujibu wa results zake mtamshauri afanye course gani nyengine ambazo zina soko hapa tanzania.Natanguliza Shukrani zangu Asante
 
Habari Zenu,,Nina Ndugu Yangu Amemaliza Kidato Cha Sita Mwaka Huu 2016 Na Matokeo Yake Yapo Kama Ifuatavyo Ana Div 3.13 History D Kiswahili D Language E Gs E..Je Ni Vyuo Vyuo Gani Anaweza Kuapply Na Akapata Nafasi Na Kwa Faculty Gani.

Naombeni msaada Wana Jamii
 
Habari mkuu..kuna dogo wangu amemaliza PCM na amepata DBB anafkiria kufanya actuarial science au geomatics vp mnazionaje hizi courses kwa soko la ajira hapa tanzania pia kwa mujibu wa results zake mtamshauri afanye course gani nyengine ambazo zina soko hapa tanzania.Natanguliza Shukrani zangu Asante
Kama ni matokeo ya 2016 mwambie aombe petro geology udsm.
sijakuelewa
 
Dogo alisoma EGM ufaulu wake ulikuwa kama hivi ,Chuo amesoma IT na alipata GPA ya Upper Second ,na sasa kaajiriwa Serikalini ,swali ni je ,litakapoaza sakati la kukagua vyeti na vigezo vya kuingia chuo anaweza kupona asinyang'anywe cheti,maana anahofu sana.

D- Economics
B-Divinity
D-Geography
E-General Study
F-Maths
 
Wakuu iv social securty inayotolewa IFM inahusika na nini n ajira zake zipo sekta gan na je kuna tofaut ipi kat ya hiyo na ile ya insurance and risk management km hain ipi nd the best zaid
Asante
 
wakuu habari za asubuhi, mim nimehitimu kidato cha sita mchepuo wa CBG na nimepata Div.three ya 15
chemstry.....F
biology....E
Geography...C
nimesoma guide book ya tcu kwa course ya Nursing Udom na kcmc wanataka principle pass 2 one must be Biology.
 
Jamani nimepata phy E, chem C, Math E naweza pata bachelor of Medical labaratory science KCMC?
 
Kwa ufaulu huo huwezi kusoma degree yeyote hapa Tanzania. C, E, F Huna principle 2 zinazotakiwa angalau D, D . Utasoma degree za thermometer tu.
 
E sio principle pass mkuu. Latest principle pass n D, D, E. Soma guide book ya TCU 2016. Yaani ukipata A, E, E hapo huna two principle PASS. Hivyo huwez kusoma degree
 
E sio principle pass mkuu. Latest principle pass n D, D, E. Soma guide book ya TCU 2016. Yaani ukipata A, E, E hapo huna two principle PASS. Hivyo huwez kusoma degree

acha mawazo mgando na akili za kuambiwa wewe... tcu wanataka total of 4 points, mbona walishatafsiri kwenye jeduali lao
 
E sio principle pass mkuu. Latest principle pass n D, D, E. Soma guide book ya TCU 2016. Yaani ukipata A, E, E hapo huna two principle PASS. Hivyo huwez kusoma degree
Acha kupotosha Umma kijana halafu, pili inaonyesha hujasoma guidebook ya tcu na maelezo waliyoyatoa, hivi una maana gani unaposema E siyo principle pass je E ni nini na ina maanisha coz F ni failed, S ni subsidiary je E ina maanisha?
 
Back
Top Bottom